Mke wangu ana tatizo la uzazi(negative blood group)

AdamAdam

Member
Dec 4, 2013
39
4
Alipata ujauzito wa kwanza bila kufahamu kuwa yeye negative group akafanyiwa operation na mtoto ikawa bahati mbaya, baada ya hapo tatzo likafahamika ikatakiwa achomwe sindano eti inaitwa AntD ndani ya saa 72 kutokana na mazingira na maelezo hafifu ilishindikana.

Akapata tena mimba ya pili kwa vile hatukupata maelezo ya kidaktari ya kutosha wakati wa kujifungua alipata tena matatzo ya kujifungua na pia akakosa sasa hapo ndo tukapata maelezo ya kutosha kwamba bila kuchomwa hiyo sindano AntD ujauzito ujao itakuwa tena ni kazi bure.

Ilikuwa ni hostal kubwa sana inayoheshika hapa tz lakini uzembe uliofanyika hapo hospital kwa kutopatiwa tena ile AntD ndan ya masaa 72 mpaka leo kila nkukumbuka natokwa na machoz. Sasa naomba mtaalamu yeyote anayefahamu njia mbadala baada ya kukosa ile AntD ili mke wangu apate ujauzito na ajifungue salama na mtoto awe salama anashauli cha kufanya.

ASANTENI.
 
Pole sana mkuu wa janga hilo, hilo ni tatizo nyeti sana, cha msingi nakushauri utafute expert/ specialist wa maswala ya mfumo wa uzazi akueleze kinaga ubaga tatizo lako na nini cha kufanya katika kipindi kijacho.
 
Kaka ni kweli hilo ni tatizo lakini nenda hosp na wife ukapate ushauri mzuri.....ni kweli hayo matatizo usipofuata ushauri hayo matatizo yataendelea? ukitaka elimu zaidi unaweza Google na kupata elimu zaidi .
 
Alipata ujauzito wa kwanza bila kufahamu kuwa yeye negative group akafanyiwa operation na mtoto ikawa bahati mbaya,baada ya hapo tatzo likafahamika ikatakiwa achomwe sindano eti inaitwa AntD ndan ya saa 72 kutokana na mazingira na maelezo hafifu ilishindikana. Akapata tena mimba ya pili kwa vile hatukupata maelezo ya kidaktari ya kutosha wakati wa kujifungua alipata tena matatzo ya kujifungua na pia akakosa sasa hapo ndo tukapata maelezo ya kutosha kwamba bila kuchomwa hiyo sindano AntD ujauzito ujao itakuwa tena ni kazi bure. Ilikuwa n hostal kubwa sana inayoheshika hapa tz lakini uzembe uliofanyika hapo hospital kwa kutopatiwa tena ile AntD ndan ya masaa 72 mpaka leo kila nkukumbuka natokwa na machoz. Sasa naomba mtaalam yeyote anayefahamu njia mbadala baada ya kukosa ile AntD ili mke wangu apate ujauzito na ajifungue salama na mtoto awe salama anashauli cha kufanya. ASANTEN.
Inawezekana wewe ndo tatizo, yaani mara zote hizo unashindwa kuandaa mazingira ya kupata hiyo tiba muhimu wakati tayari ulishajua tatizo. Pole kwa huyo mama ila mimi naona tatizo no wewe huyomama akimkosa mtoto wa kumwachia urithi. Isitoshe mahala sahihi siyo humu jamiiforum, nashangaa hadio muda huu ujawaona madaktari specialist halafu unapata muda wa kuleta longolongo zako humu.
 
nashauri muende mkawaone wataalam wa uzazi

Mimba ya kwanza ilikuaje hakupimwa blood group? Na ya pili pia?

Cc Riwa
 
Last edited by a moderator:
Hilo tatzo lipo sana na ukilichukulia serious mtoto hutokosa ht mara moja..unaendaga hospital gani.? Km upo dar nenda muhimbili. ..au private za uhakika..ukienda chochoroni utapoteza mtt kila siku
 
Jaman kuhusu hili tatizo la wife nimeanza na muhimbili baada ya kuona mafanikio n madogo sasa nimehamia regency ambako nako naona kama napoteza muda vile!
 
Jaman kuhusu hili tatizo la wife nimeanza na muhimbili baada ya kuona mafanikio n madogo sasa nimehamia regency ambako nako naona kama napoteza muda vile!

muhimbili umemwona nani mkuu? Nakushauri nenda pale Namanga Mbuyuni Maria Clinic, umwone Professor Mgaya. Is a good Gyna, ninaamini atakusaidia. Huko regence wataishia kukwambia uene India ilhali unaweza kuhudumiwa hapa hapa nchini.
 
Back
Top Bottom