Mke wangu ana majibu ya rejareja

Yani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana, mfano,niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini anasema " wakutembelea"
Ni mengi ya aina hiyo, dawa yake ninini?
Mimi wa kwangu kipind ana ujauzito Kuna siku nilimkuta kanuna

Nikamuuliza 'mbona sura umeikunja hivyo'

Akanijibu 'nataka kuiweka kwenye begi'
 
Yani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana, mfano,niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini anasema " wakutembelea"
Ni mengi ya aina hiyo, dawa yake ninini?
kwa uandishi huu, ndoa yako si ya kanisani, msikitini, wala bomani. ukiishakuwa dereva wa bodaboda haina maana unaweza kuoa na kutunza mtoto wa watu.
 
Naomba namba ya shemeji nimshauri tafadhari...Huyu mwanamke ulitafutiwa nini na wazazi?halafu unaulizaje mkeo anakula nini kwani ukitoka huwa huachi ela ya matumizi...Utachapiwa na vijana shauri yako
 
Yani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana,

Mfano: Niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini anasema " wakutembelea"

Ni mengi ya aina hiyo, dawa yake ninini?
Anatia chachandu ndoa yenu
 
Back
Top Bottom