Mke wangu amenisaliti 'live', naombeni ushauri wenu tafadhali

mh, pole sana kaka kwa matatizo hayo. Mimi ninavyoona, inabidi kwanza uangalie upya namna unavyoiongoza na kucontrol nyumba yako wewe kama baba wa familia. Pili mi naona huyo dada atakuwa kapagawa na penzi la huko nje kiasi kwamba hata kama utaamua kumsamehe ukaendelea kuwa naye, hataacha tabia hiyo, na mbaya zaidi atazidi kukupa wakati mgumu pale anapokuwa anakununia kila wakati hadi uchikie nyumbayako. Sasa, nakushauri upeleke habari yote hii kwa wazazi wake na wazazi wako pia, au wale wazee wenu wa karibu ili wajue taarifa hii, ili wasije kukulaumu pale utakapoamua kuachana na huyo dada. Nasisitiza pia kuachana naye baada ya kutoa taarifa kwani atakuletea maradhi ukafa siku si zako bure...muhimu zaidi, wanajf tusimsahau huyu bwana katika dua zetu ili Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika mtihani huu. Inshaallah Mungu atakuwa nawe!
 
mimi nakushauri mpige chini tu! Huyo mtoto pima DNA yawezekana umeingizwa kingi! Huyo kuacha kwenda kwa huyo jamaa itakua ngumu!
 
2012 Dunia ni yako chaguo ni lako, Dunia imeshavaa kimini hii, sikiliza moyo kwanza si wanaume si wanawake wote tumepinda, ila Mwanamke akimegwa ndio huwa inatuuma.

Kama unampenda mke wako fuata moyo wako timiza wajibu piga mashine inavyotakiwa na siyo unalembalemba, unapokabidhiwa kazi na Mwanamke inabidi uache kazi ufanye kazi.

Hii issue ni nzito nimeshashuudia watu wanaachana halafu baadaye wanaanza kuibana wanakwenda kupigana mikasi kwa siri, hii haijatulia, Nilichokigunduwa mimi hakuna 100% happiness marriage, ukijiweza kiuchumi linakuja tatizo lingine na ni lazima mwanamke hamtoelewana, ziko facts nyingi lakini kila mtu na atimize wajibu wake na haya malalamiko mengine yatapunguwa.
 
Ndugu zangu wana JF,

Mke wangu ni mwalimu wa sec, ana mtoto mdogo wa miezi 6, toka ajifungue vituko vilikuwa haviishi....kuninunia daily sometimes hadi 3 weeks or mwezi. Nilipoona mambo yanazidi nilimrudisha kwao kwa muda kama wa mwezi mmoja hivi kwa sababu alikuwa ana maternity leave. Hata hivyo nilijua huenda postnatal period ndio inamfanya awe vile hivyo kwangu nikaona ni busara kuwa mpole ili kuepusha shari.

Aliporudi kutoka kwao tuliishi kwa maelewano mazuri kwa muda wa wiki moja tu, then yakarudi yale yale...ful mnuno kwangu lakini stori nyingi tu kwa mashost zake na majirani.

Mke wangu anafundisha kibaha, na tulikuwa tunaishi sote Dar sababu ndiko nilikojenga kibanda chetu cha kuishi na pia mimi ndiko ninakofanyia kazi. Mwezi uliopita nilishangaa mke wangu kuniambia kuwa yeye anataka kuhamia kibaha ili awe karibu na kituo cha kazi, pili ili aweze kupunguza gharama za usafiri za kila siku. Ikumbukwe kuwa ameanza kazi toka February 2011 na mimi siulizii mshahara wake anafanyia nini yeye ndiye ajuaye....but baada ya hoja yake hiyo nikajiuliza apunguze gharama za nauli....? je hela anafanyia nini? sikutaka ugomvi nikamruhusu lakini nikamuuliza vipi kuhusu maandalizi akasema kila kitu kipo sawa...chumba, kitanda+godoro na mahitaji mengine yote.

Ameondoka tarehe 04 June kuhamia kibaha, nikamwambia nitampeleka na gari hadi kibaha alikataa kata kata na kusema nimuache tu ubungo atapanda bus. Pia aka-haidi weekend atarudi lakini hakurudi na bila kutoa sababu. Ijumaa ya juzi amerudi home but still hakuwa mchangamfu, pia kuonekana kama ana chuki nami.

Kwa kuwa ni muda mrefu sijapata unyumba na yeye ndio mke wangu usiku wa kuamkia leo nikaomba haki yangu,.....WANA JF HAMUWEZI KUAMINI LAKINI NAWAAMBIA UKWELI....Nimekuta ikulu ya mke wangu imetumika kiasi cha kutosha saana hadi kiasi kwamba nilipatwa na mshangao wa ajabu....hiyo ilikuwa round ya kwanza, nilipojaribu ya pili...nilishindwa kumaliza game...coz sio K bali ni hatari. NILIUMIA SANA.

Toka saa 8.30 usiku sijalala hadi saa 10.30 usiku/alfajiri, niliamua kumuuliza tena kwa upole huku nimemkumbatia....kuwa huko kibaha ana wanaume ana-do nao!Alikataa kata kata....but alipoona naongea kwa upole sana akaingia kingi na kusena ndio anakiri ...lakini ni mwanaume mmoja tu ndio anatembea nae lakini sio wengi. Nikahoji ni nani huyo? nikaambiwa ni mfanyabiashara, anakaa kimara baruti, mmeanza toka lini mahusiano yenu....akasema toka...mwezi uliopita, mlifahamiana wapi.....tulifahamiana kwenye bus wakati naenda kazini.

Baada ya hapo akaanza kuliaaa.....na kusema anaomba nimsamehe!Nikamuuliza uliomba ruhusa ya kuhamia kibaha ili uwe huru? Je umekosa nini kwangu au mimi nilikuwa sikutoshelezi? akajibu hapana!

......WANA JF am so sorry kwa maelezo marefu but nimechanganyikiwa na simuelewi mke wangu. Anataka nimsamehe, but kabla sijachukua maamuzi nimeona ni vema niwashirikishe nyie ndugu zangu ili niweze kujiridhisha kwa uamuzi nitakao uchukua baada ya kupata maoni yenu.

NARUDIA TENA.....SAMAHANI KAMA MTAKWAZIKA KWA KUSOMA MAELEZO MAREFU...!

Ni mimi NGOSWE.120

NGOSWE, pole sana kwa yaliyokupata na wewe ni mfano mzuri wa watu wanaozifatilia ndowa zao. Kungamuwa kutumika kwa hiyo kitu na kuwa na uwezo wa kumfanya mkeo akiri mahusiano yake ya nje na kuwa mtulivu ni sifa za wachache katika ndowa.
Ushauri wangu ni kuwa piga moyo konde umruhusu huyo dada kwa amani aende akajifunze zaidi. Tatizo ni kuwa alikuona wewe ni mjinga kwa vile unamkubalia kila analotaka na hawa wenzetu ukifanya hivyo zawadi yako inakuwa dharau.
 
kwanza kabisa pole sana..........

pia pamoja na kuwa mkeo ana kazi, na huulizi mshahara wake, je umewahi kumuuliza kama unamtosha? unamsupport mara moja moja?

wakati kanuna, ulizungumza nae kwa upendo?

kwa vile hayo yote yameshatokea, yamepita, na mkeo amekiri kosa, ameomba umsamehe...
inauma lakini samehe, fungueni ukurasa mpya wa mapenzi....
huko kibaha mwambie atafute uhamisho aje mjini........
msupport kwenye mambo madogo madogo...
bila kusahau kuwa nae karibu, mfanye ajisikie kupendwa, mfanye ajisikie unamjali...

saa nyingine wanawake huanguka kwa vitu vidogo vidogo sana...
usikute jamaa anamjali tu hisia zake, na kwa wanawake hisia ndo kila kitu...

mfanye ajisikie faraja kuwa nawe......
 
sasa Ngoswe kwanza uyo mkeo alijufungua kwa njia gani? Na baada ya kujifungua ulishawahi kukuatana nae kimwili? Inawezekana kabisa kama alifungua kwa njia ya kawaida Ikulu lazima haitakuwa ya kawaida. But pole kwa usaliti
 
dah, kweli wonders shall never end....; btw, huyu mwanamke mlikutana na kuoana katika mazingira yapi? it looks like alilazimishwa tu kuoana na wewe na probably hakuwa na mapenzi na wewe from the very beginning... halafu ana umi gani? she looks so childish and probably naive na anaweza kuwa taken advantage of kirahisi sana.... mwisho mku, hiyo sensor yako ya kujua 'K' iliyotumika imeniacha hoi.. itabidi tupeane maujuzi kwenye hili eneo aisee
 
mkuu Ngoswe! Kwanza pole kabisa kwa yaliyokukuta, mimi nikwambia huyo mwanamke hakufai na atakuja kukupa magonjwa ya moyo na kisukali bila kusahau Ukimwi, na aliamua kukwambia live kuna jamaa anammega ili uchukue maamuzi ya kumpiga chini na usipomwacha vituko vitazidi maradufu mpaka utapata magonjwa ya moyo. Ushauri wa bure mwache hakufai na anakudharau huyo mwanamke....
 
Ndugu zangu wana JF,

Mke wangu ni mwalimu wa sec, ana mtoto mdogo wa miezi 6, toka ajifungue vituko vilikuwa haviishi....kuninunia daily sometimes hadi 3 weeks or mwezi. Nilipoona mambo yanazidi nilimrudisha kwao kwa muda kama wa mwezi mmoja hivi kwa sababu alikuwa ana maternity leave. Hata hivyo nilijua huenda postnatal period ndio inamfanya awe vile hivyo kwangu nikaona ni busara kuwa mpole ili kuepusha shari.

Aliporudi kutoka kwao tuliishi kwa maelewano mazuri kwa muda wa wiki moja tu, then yakarudi yale yale...ful mnuno kwangu lakini stori nyingi tu kwa mashost zake na majirani.

Mke wangu anafundisha kibaha, na tulikuwa tunaishi sote Dar sababu ndiko nilikojenga kibanda chetu cha kuishi na pia mimi ndiko ninakofanyia kazi. Mwezi uliopita nilishangaa mke wangu kuniambia kuwa yeye anataka kuhamia kibaha ili awe karibu na kituo cha kazi, pili ili aweze kupunguza gharama za usafiri za kila siku. Ikumbukwe kuwa ameanza kazi toka February 2011 na mimi siulizii mshahara wake anafanyia nini yeye ndiye ajuaye....but baada ya hoja yake hiyo nikajiuliza apunguze gharama za nauli....? je hela anafanyia nini? sikutaka ugomvi nikamruhusu lakini nikamuuliza vipi kuhusu maandalizi akasema kila kitu kipo sawa...chumba, kitanda+godoro na mahitaji mengine yote.

Ameondoka tarehe 04 June kuhamia kibaha, nikamwambia nitampeleka na gari hadi kibaha alikataa kata kata na kusema nimuache tu ubungo atapanda bus. Pia aka-haidi weekend atarudi lakini hakurudi na bila kutoa sababu. Ijumaa ya juzi amerudi home but still hakuwa mchangamfu, pia kuonekana kama ana chuki nami.

Kwa kuwa ni muda mrefu sijapata unyumba na yeye ndio mke wangu usiku wa kuamkia leo nikaomba haki yangu,.....WANA JF HAMUWEZI KUAMINI LAKINI NAWAAMBIA UKWELI....Nimekuta ikulu ya mke wangu imetumika kiasi cha kutosha saana hadi kiasi kwamba nilipatwa na mshangao wa ajabu....hiyo ilikuwa round ya kwanza, nilipojaribu ya pili...nilishindwa kumaliza game...coz sio K bali ni hatari. NILIUMIA SANA.

Toka saa 8.30 usiku sijalala hadi saa 10.30 usiku/alfajiri, niliamua kumuuliza tena kwa upole huku nimemkumbatia....kuwa huko kibaha ana wanaume ana-do nao!Alikataa kata kata....but alipoona naongea kwa upole sana akaingia kingi na kusena ndio anakiri ...lakini ni mwanaume mmoja tu ndio anatembea nae lakini sio wengi. Nikahoji ni nani huyo? nikaambiwa ni mfanyabiashara, anakaa kimara baruti, mmeanza toka lini mahusiano yenu....akasema toka...mwezi uliopita, mlifahamiana wapi.....tulifahamiana kwenye bus wakati naenda kazini.

Baada ya hapo akaanza kuliaaa.....na kusema anaomba nimsamehe!Nikamuuliza uliomba ruhusa ya kuhamia kibaha ili uwe huru? Je umekosa nini kwangu au mimi nilikuwa sikutoshelezi? akajibu hapana!

......WANA JF am so sorry kwa maelezo marefu but nimechanganyikiwa na simuelewi mke wangu. Anataka nimsamehe, but kabla sijachukua maamuzi nimeona ni vema niwashirikishe nyie ndugu zangu ili niweze kujiridhisha kwa uamuzi nitakao uchukua baada ya kupata maoni yenu.

NARUDIA TENA.....SAMAHANI KAMA MTAKWAZIKA KWA KUSOMA MAELEZO MAREFU...!

Ni mimi NGOSWE.120

Mkuu hapo kwenye RED ulijuaje K imetumika??
 
Haijadiliki. Mwache Kibaha, oa mke mwingine, lakini usiishi nae hapo unapoishi sasa. Huyo mzazi mwenzio akitaka kuja kukusalimia, aje, but no unyumba...
 
Pole sana Ngoswe Mungu akupe hekima na busara katika kutoka maamuzi yako
Maana hili ni zito kwako na kwa akili za kibinadamu..
 
Dah pole sana mkubwa' manake hili swahibu si la kawaida. Ila nafikiri busara zaidi ni ww kuamua nn haswa unataka kufanya na huyo mkeo manake sidhani kama mawazo ya watu yatasaidia sana. Kweli ameonyesha kutokua muaminifu na kama ingenikuta mimi basi tungeachana kwa wema tu na kuendelea kumlea mtoto kama kawaida ila no love na wife. So wewe ndo mwenye say ya mwisho unataka kumsamehe wife au aondoke. Pole bro!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Waswahili pia wanasema mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe! Ko we ndo mwenye mke na ndo una say ya mwisho! Be brave

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Du, hapa napita tu jamani, naomba Mungu yasinikute hayo ntakavooa, maana red card ingekuwa njenje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom