Mke wangu amenisaliti kwa ushahidi wa mazingira, nifanye nini?

Angekuwa mwanaume ndo kafanya hicho kituko, angeshasamehewa. Lakini kwa vile ni mwanamke, unaambiwa muache. Tabia ni chafu.... ila msamaha nao muhimu. Mkae na wazee muyajadili.
 
Kumbuka katika biblia mume hastahili kumuacha mke wake isipokuwa kwa dhambi ya uzinifu huyu kazini vyovyote vile utakavyofikiri ndoa yako haitakuwa ya amani tena for me sitakuwa na option zaidi ya kumpa talaka. ushahidi wa simu uko wazi na unatosha kuwa kielelezo cha kuwa na mahusiano ya nje..
 
Habari za kutembeza kichapo siyo vyema, utampigaje mkeo??Yani kwanza unaanzaje kumpiga mwandani wako? Tabia ya ajabu sana hii!!

kama ametoka nje ya ndoa&kulala na mwanaume mwingine na umeumia, muache endelea na maisha yako!! Period!!
 
Unajua pale inapokua limeharibika jambo umwandani haupo tena, unakua ni uadui mkubwa. huo ni uasi, anastaili hata kupigwa shaba ya fuvu....
 
Lawama za aina yoyote hapa hazisaidii tena maadam mkeo kasema ni mpenzi wake ina maana moja tu kwamba wewe siyo mpenzi wake tena na hapo kwako anaishi kupata hifadhi tu. Kwa maana nyingine mkuu ni kwamba wife alishakuhama siku nyingi tangu uende chuo. Mke wa namna hii ukiendelea kumwacha hapo atakuja kukufanyia huo uhuni ukiwa naye hapo home na hapo itakuuma zaidi na hutajua utachukua uamuzi gani? Bora kila mtu aanze kivyake ufanye maamuzi mengine kwani mwanamke akianza kutembea nje ya ndoa wakati ndoa haina hata miaka kumi ujue huo utakuwa mchezo wake na haka katabia kako kama kansa huo si rahisi kuacha. Heshima ya ndoa imeisha kwa ushuhuda wa mkeo na huhitaji ushahidi mwingine cha kufanya ni kuanza tu upya
 
Angekuwa mwanaume ndo kafanya hicho kituko, angeshasamehewa. Lakini kwa vile ni mwanamke, unaambiwa muache. Tabia ni chafu.... ila msamaha nao muhimu. Mkae na wazee muyajadili.

Kujadili ni kuendelea kujidhalilisha kwani hao wazee ndo walimtuma? . Hata mwanamke ukimkuta mume wako ametembea nje ya ndoa na ukawa na uhakika mpe talaka hujazuiwa ila tatizo ninyi ladies wengi mna mioyo ya huruma na kusahau haraka. wanaume ni tofauti na huwezi lazimisha mwanaume awe na huruma kama mwanamke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom