Mke wangu amenenepa mno

Paubae5

Senior Member
Oct 9, 2021
115
250
Shabaaaash! Habarini wanajukwaa.! Mke wangu ana muda usio mrefu tangu ajifungue na anakaribia kuacha kunyonyesha sasa kwani mtoto ameshakuwa mkubwa.

Tatizo ni kuwa nilimuanzishia diet ya kurudisha virutubisho kwani hili dume lilikuwa linanyonya mno so alipungua kiasi. Sasa amenenepa kuanzia matiti, na hasa makalio japo mwili wote kanenepa.

J pili mchana tulikuwa home, kama ada, tukaanza kutaniana vizuri tu, tulikuwa on bed ila not for sex at that instant, kuna kitu nikamuambia akachukia japo utani, akanikalia, kutokana na uzito mkubwa sikuweza kuinuaka, nilikuwa napumua vizuri ila kujitoa ilikuwa ngumu.

Akaniambia "yaani leo nahakikisha nakutegua nyonga", nimemnukuu. Yaani kunenepa kwake anafanya ni kama silaha? Nikamlegeza kwa maneno matamu hatimaye akainuka. Neno lenyewe nililomuambia ni kuwa kanenepa mno atakuwa mzito kwenye sex.

Nimepanga kumfanyisha diet na mazoezi apungue kinguvu. Hivi vyakula gani ale? Ananisononesha mno huyu mama watoto wangu.!
ni PM nikupe diet plan
 

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
15,294
2,000
Oa mke wa pili na ajue lazima akonde


Au raha jipe mwenyewe tafuta vibinti hilo nguruwe achana nalo
Naomba nikukosoe ndugu yangu.Si Sahihi kumuita binadamu mwenzako Nguruwe,nimeumia Sana japo hainihusu lkn sio vizuri, Kumbuka "Mungu alituumba sisi binadamu wote kwa sura na mfano wake", Kumbe tusiitane Majina mabaya Wala kudharauliana.
 

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
6,129
2,000
Pia asifikiri kuwa JF ni mama yake kwamba itampa kitu ambacho hakuomba. Bila kusahau kuwa kuweka mkokoteni kabla ya farasi ni kosa!
Picha iko wapi?

Uzi wako unakosa chain of custody, relevancy na competence tunachangiaje sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom