Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

2011 nilizika kaka yangu kwa ushenzi wa namna hii anaokufanya mkeo...broo kahangaika weee..
Kajijenga kiuchumi hatar sana...kaishia kufa kwa kutochukua hatu kwa matendo na maneno ya mkewe
 
Kweli mkuu umesema ukweli, ni miezi miwili cijakutana namwana mke yoyote kwasabb ya safari, ila sina hamu nae kabisa kalala mie niko sembuleni na citamgusa kabisa paka pale nafsi itakapo ridhia......jamani wanawake ni mtihani mkubwa
Naona kama wewe ndo una gubu kwa maelezo yako ya juu juu, mkeo ashakwambia anaogopa kukaa peke yake hapo ukizingatia wewe una safiri safiri basi ungewaza hata kumwambia alete mdada wa kazi maana wawili ni wawili tu,

Sijaona kitu kikubwa kilichokununisha hapo,
Ulipoenda kufata funguo ungemwambia mrudi nyumbani lakini ukafanya jambo liwe kubwa eti umchape viboko vitano roho yako iridhike,
Umesema uongo wake hauna madhara kwako sasa akushughulisha na nini, muache na uongo wake na shika kweli zako maisha yasonge mbele.
 
Mimi nimefurahi namna unavojieleza bila shaka unastahili kuwa baba wafamilia uko makini ushauri wangu jipe mda kidogo mwanamke akishakuwa nawatoto itabidi uchague moja watoto waishi kwafuraha ili wewe ujiongeze kaa hawa viumbe wanaumhim sana kwetu sema ndohivo naona matatizo yake hayatosha kumuacha.
 
Inawezekana kweli anaogopa kukaa peke yake nyumbani, tafuta uvumbuzi wa hilo wala usimchape. Nyumba kukaa peke yake, tena mwanamke! Fikiria vizuri hilo.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Kwanini asimshirikishe mumewe hofu yake na watafute ufumbuzi. Hakuna mwanamke anajielewa anaweza kudanganya mumewe kwa mwezi mzima kuwa yupo nyumbani.Narudia HAYUPO.
 
Mbona kama ya kutunga? Ila kwasababu watu wengi sana wamechangia positive acha tu ninyamaze.
Yaani haiingii akilini mke kabisaa mke atelekeze nyumba yake mwezi mzima eti anaogopa na amfiche mumewe
Kwa hili mkuu sioni kosa kwasabb unijui sikujui wala mke wangu umjui public opinion ni nzuri sana katika kufanya maamuzi muhimu tena ukiwa unajua kuchuja ushauri, so far nimejifunza mengi, mimi sio mtu wakukaa na mambo kifuani na punguza stress kwa njia ya kujadili na watu wasio nijua manaake hawana upendeleo wowote.
Kiufupi mkeo anakudanganya vitu vingi sana kua MAKINI.
 
Kwa kifupi mke wako anachepuka.

Wewe kutokua na ushahidi ina maana anafanya mambo yake Smartly sana.

Lakini na wewe sio Smart kwenye suala la familia na mahusiano. Ndio maana matokeo ya uchaguzi wako pia sio sahihi.

Pia kama ni kweli basi hata bargain Power yako sio kubwa pia. Ndio maana kwenye ku settle mgogoro wako umekaa uka bargain jambo lisilo na maana(viboko). Come on man, unawezaje kupendekeza kutoa adhabu ya viboko kwa mkeo???🙄🙄, mimi naona kama mzaha hivi.

Kwa kifupi huyo mke anajua udhaifu wako vizuri na anautumia vizuri.


KUWA NA MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI.
Kama ameshindwa kujua mtu hayupo nyumbani mwezi ataweza kujua anachepuka? Hatakaa ajue
 
Hilo wazo lakua na bwana wake bado halijaniingia kwasababu hi kipi kilimuzuia kumleta bwana ake nyumbani? wakati iko peke yake nyumbani na kuna uhuru na ulinzi wakutosha, pamoja na hayo huyu mwanamke akili zake nazijua sio za kufuata bwana 'libido' yake iko low sanaa pia simu yake na imonitor bila yeye kujua hamna kitu kama mahusiano naona ni ujinga na makuzi ma mambovu kutoka kwa wazazi wake.
Wewe mkeo mjanja kukuzidi kwahio unadhani ana simu hio hio ulio Imonitor? Libido ipo low kwako sababu hakufeel.
 
Kabisa kuna mwamba atakuwa anamla hadi kumfukunyua mtr itakuwa
Hapo jamaa ampige chini tu
Kama anataka ampime marnda pia kama bado yako fit

Ova
Ukute upweke unamsumbua labda na mume ndo wale wale wanawake wana shida sana kwa hizi ndoa
 
Mkuu maisha ni uvumilivu, unataka kusema tangu uanze nae hili ndo kosa kubwa sana kuliko alivyo wahi kukukosea?

Naamini kuna makubwa na bado upo nae, kuishi kwa dada mtu naona poa tu, mtafutie hata mwanandugu wako au house girl awe anakaa nae sasa akiondoka tena ujue kashindikana.

Sio kosa kukaa kwa dada kama anaogopa hata kama ni wewe usichukulie uanaume wenzetu hawa wana uoga sana usiku mzima.kwa mwezi mzima ndani peke ake ???

Msamehe man.
Una hakika alikuwa kwa dada?
 
WEWE NI TAHIRA, BWEGE, JINGAAAA MAMAEE.

YAAAN KWANZA NI MUONGO

PILI, HAKUA KWA DADA YAKE, ALIKUA KWA BWANA NDIO MAANA FUNGUO KAKULETEA DADA YAKE.( WANAWAKE.WACHEPUKAJ WATAKUAMBIA ALIOGOPA UTAMPIGA ,UONGOOOOOOO)
UKWELI NIKUA ALIKUA KWA JAMAA, NAIVO AKAONA INSHU KUAGA GHAFLA.

TATU, YAAN YEYE NDO ANAKUAMBIA WAPI MKUTE???? MSENGEE WEWE ,LIDHAIFUUUU FALAAA WEWE..NAWEWE UKAENDESHA KIDUDS KAKO KUMFATA ??? MANYOKO ZAKO.

NDIO MAANA AKAONA AWE MKALI KUBADILI MADA

NNE, UKUMAA NI KUMPA ADHABU ZA KUCHAGUA , WEEE FALA KABISA, YAAAN UMPE OPTIONS??? MAMAEE ETI VIBOKO VITANO????

AMEKUONA FALAAAAAAAA MBWAAA KENGEEE KABISAAAAA.


BOYA WEEE HUONI KUA DEM KESHAKUPIMA KAONA WEE NI MWANAUME DHAIFU SANA????? KWA TAARIFA YAKO, DADA YAKE NAYEYE MWENYEWE WOTE WANAJUA HUO MCHEZO , NAANAJUA HATA AFANYEJE HUWEZ MUACHA.


MPUUZI WEWE, ET NAWEWE UNASEMA HUWEZI KUMUACHA???

KWA TAARIFA YAKO ALIKUA KWA BABA MTOTO WAKE .

KUBALI KATAAA, HUYO MTOTO SIO WAKO. NA INAWEZEKANA KABISA HAO WATOTO WOTE SIO WAKOOOOO.


KUZAA NA MWANAMKE MTOTO AU WATOTO SIO.KIGEZO CHA YEYE KUKUDHARAU NAKUKUTENDA UTUMBO HUO.

YAAN WEEE SIJUI NIKAJAMAA KA PWANI.


HUYO DADA MTU ANAKUBALIJE KUKAA NA MKE WA MTU MWENYE MTOTO????


FALAAA WEWEE, HUNA AKILI, WEWE NI MJINGAAAA WA KUPINDUKIA.


NMEKUTUKANA.
Comment bora kabisa kwa huu uzi
 
Back
Top Bottom