Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

Easy mkuu
Muwekee aina mbali mbali za mifugo hapo nyumbani atakuwa na majukumu maana ni kama hana ch kumuweka busy huyo
Na kila siku utamkuta jioni kalala amechoka na shughuli
Mkuu mke wangu nikimeo hawezi, atakusafisha mazingira ya nje kwa kulima majani hawezi paka na tafuta mtu wakulipwa, sembuse kumwekea mifugo tena itakufa yote yule ni aina ya mwana mke kazaliwa Town kasomea Town kuolewa Town na atafiya Town hajawahi tembelea mkoani na hajawahi kufanya kazi yoyote hata hana utashi wakufanya kazi.
 
Nilivo safari kuenda kwenye shughuli zangu za biashara takarbani mwezi moja na nusu, jana nilirudi nikakuta mke wangu hayupo kasafiri na kuenda kwa Dada yake kukaa uko na nyumbani hamna mtu yoyote kuna giza kwote, nikakagua nyumba yote na Kigari changu nikaona vyote viko salama nikamshukuru Mungu kwa hilo, nilienda kwa majirani labda wana taarifa yoyote ka wachia na iko wapi wakaniambia huyu haipo nyumbani karibia mwezi na wiki nili dua!

Nikampiga simu yake, mbona haupo nyumbani uko wapi? kaniambia iko kwa Dada yake Kinondoni nikamuomba anipe funguo wa nyumbani nipate kuingia na kupumuzika, ka nialekeze nije nimsubirie kwenye kituo fulani nikaenda faster usiku huo nilivo fika nikampigia simu takribani dakika 10 Dada mtu kajitokeza na funguo akanipa siku msemesha kitu nikaondoka zangu paka nyumbani nikaingia ndani nikaona kila kitu kipo sawa ila kuna dalili zakua nyumba imekaa zaidi ya mwezi bila watu.

Sikumpigia simu tena kwasababu nilikua na hasira za kufa mtu nikajipa time nitulie kwanza, ila nilikua najiuliza huyu mwana mke nimfanye nini, kumtimua sio rahisi kwasababu ana kitoto changu kichanga mwaka moja na nusu kina nyonya, kwao hakuna mazingira mazuri kulea mtoto japo wanaishi Town ila mama alie kua nguzo ya familia alisha fariki, Baba ake kasha sitaafu maisha yao kwa jumla sio, hawana wakika wa kula milo mitatu, nyumba yao niya urithi tena wako zaidi ya watoto nane.

Mimi niko 38 na mke wangu iko 34 kumuacha manaake ni wakika wa kulea watoto wangu wawili utakua mgumu lakini kwasababu kipato chao ni duni sanaa, huyu mwana mke kanifanyia visa vingi kwanza ni muongo sana alisha wahi kunificha kifo cha Mama ake kasha niongopea mambo mengi lakini kwasababu hayana madhara ya moja kwa moja na ya puuzia tu, nilifikia maamuzi mtoto wetu wa std 4 kumpeleke shule ya bweni sio kwamba nilipenda hapana kumuepusha kuiga tabia mbaya za mama ake.

Niseme tu mimi sina bahati katika kupata mke sahihi, kwasababu kabla ya huyu nilikua kuna Dada moja tume date nae takribani miaka 4 tukabahatika na kupata mtoto kilicho kua kime bakia nikuenda ku kujitamblisha kwao tu, ila yule demu hapana, alikua anasafiri almost kila weekend yani yeye nasafari za kuenda makwao, aruhusi, mauleedi Dua, yalikua too much paka makonda wa ma busi ya kuenda Tanga wakaanza kumjua alikua anajua mabus yote ya route iyo duh nikaona huyu anifae kabisa nikampiga chini.....sasa this time nikashirikisha wazee wangu wanitafutie mke serious kwa kweli wazee hawakuchelewa wakaniambia tayari njoo muonane nikaenda nikaridhia na nikafanya utaratibu wa kumchukua, nilikaa nae kama mienzi mitatu duh nikaja kumkuta kumbe anakula mirungi (veve) nilichoka nikaona sina namna(mke wakutafutiwa ni shida). ndo nikaja kumpata huyu, ila nimemchoka vituko vyake ila sina lakufanya, pesa yangu elimu yangu havinisaidie kwasasa isipo kua uvumilivu tu.

Leo kama saa nane huyu bibie (mke) kanipigia simu kuniuliza hatima yake.....nikamwambia mie siwezi kuongea hi issue kwenye simu pata sehemu tuongea ana kwa ana akanielekeza pa kumkuta tuyaongee, nikaendesha ki (baby walker) changu paka pale, nilivo fika akaanza kua mkali najifanya kuleta mambo ya nyuma nikawa kimya kwasabb alilenga kuniondoa kwenye mada, tu nikamuuliza anataka lipi kajibu kurudi nyumbani kwanini ulipacha eti ana paongopa duh nikamuuliza sasa ukurudi unaenda kukaa nani kwasababu baada ya wiki moja naenda kusafiri tena utapakimbia? Akasema hapana eti hatarudia. Ila huyu mama muongo mambo mengi anaapa ila anayarudia tu.

To cut the story short nilimpa option tatu achague moja. Kum -suspend kwa miazi mitatu akiwa kwao au aombe talaka au nimpige viboko vitano. Kaamua nimchape viboko vitano yaishe. ila personally am not a violent man na sijawahi kuchapa mke yoyote ili jambo hili lime nipa wakati mgumu sanaa, namimi sitaki unafiki nataka nafsi yangu iridhike, akifanya adhabu yangu yoyote.

Wakuu ndo nimemfikisha home sina hata 30minutes sijui ndo ni mchape au kuna adhabu nyingine zaidi ya hiyo mnishauri, ila kumbukeni huyu mwana mke ni msumbufu sanaa muonģo ila sijawahi kupata ushahidi wowote wa uzinzi kwake. Naomba ushauri na uzoefu wenu ahsanteni.
Kwa kifupi mke wako anachepuka.

Wewe kutokua na ushahidi ina maana anafanya mambo yake Smartly sana.

Lakini na wewe sio Smart kwenye suala la familia na mahusiano. Ndio maana matokeo ya uchaguzi wako pia sio sahihi.

Pia kama ni kweli basi hata bargain Power yako sio kubwa pia. Ndio maana kwenye ku settle mgogoro wako umekaa uka bargain jambo lisilo na maana(viboko). Come on man, unawezaje kupendekeza kutoa adhabu ya viboko kwa mkeo???🙄🙄, mimi naona kama mzaha hivi.

Kwa kifupi huyo mke anajua udhaifu wako vizuri na anautumia vizuri.

KUWA NA MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI.
 
Kwa kifupi mke wako anachepuka.

Wewe kutokua na ushahidi ina maana anafanya mambo yake Smartly sana.

Lakini na wewe sio Smart kwenye suala la familia na mahusiano. Ndio maana matokeo ya uchaguzi wako pia sio sahihi.

Pia kama ni kweli basi hata bargain Power yako sio kubwa pia. Ndio maana kwenye ku settle mgogoro wako umekaa uka bargain jambo lisilo na maana(viboko). Come on man, unawezaje kupendekeza kutoa adhabu ya viboko kwa mkeo???, mimi naona kama mzaha hivi.

Kwa kifupi huyo mke anajua udhaifu wako vizuri na anautumia vizuri.

KUWA NA MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI.
Mkuu ninge toa adhabu gani mbali na ya kumrudisha makwao
 
Mwanamke mwenye mji wake, tena mke wa ndoa, mwenye watoto2 anahama nyumbani kwake mwezi kweli au ana ndoa mbili!??

Dah mimi mwanaume kama wewe simtaki kwa kweli, maana u mpole kupita kiasi. Mungu asaidie watoto wetu wa kiume wasiwe na huu upole kama wako jamani kha!

Raha ya mwanaume awe mkali kwa mambo ya kipuuzi kama hayo ya kuhama nyumba na awe na upendo haswa!

Yaani msimamo msimamo kweli
Umenena mama, upole ukizidi wanakuona bwege, inawezekana hata wanawake wawili wa mwanzo walimchezea sababu walimuona lofa tu, siafiki kuchapwa fimbo sio ubinadamu, lakini mkosaji lazima akoromewe ipasavyo sio kumlegezea sauti tena na adhabu juu, mfano hiyo ya talaka au kumrudisha kwa muda lazima moja litimie

Mwamba akifeli kutoa hata adhabu moja atanyanyasika sana, lakini asimpige, talaka ni bora kuliko kipigo

Kwanza mwanamke mwenyewe yuko tayari kwa talaka basi tu, inawezekanaje aache nyumba yake yenye nafasi akajibane kwenye kachumba na sebule kwa watu mwezi? Au kuna ndoa nyingine huko
 
Mkuu mke wangu nikimeo hawezi, atakusafisha mazingira ya nje kwa kulima majani hawezi paka na tafuta mtu wakulipwa, sembuse kumwekea mifugo tena itakufa yote yule ni aina ya mwana mke kazaliwa Town kasomea Town kuolewa Town na atafiya Town hajawahi tembelea mkoani na hajawahi kufanya kazi yoyote hata hana utashi wakufanya kazi.
hapo kazi kweli kweli mkuu
 
Kwa comment yako hii nimegundua mkeo ana udhaifu wake ila wewe una una udhaifu zaidi ya mkeo yaani akili yako ishamchukulia hawezi kufanya kitu chochote kisa kazaliwa Town una mawazo ya ajabu sana kusaliwa mjini hakuendani na kutokufanya kazi huyo Mwanamke umemlea kiyai yai ndo maana kaacha nyumba yake kwa kukudanganya eti anaogopa .Simama kama Mwanaume kwenye Familia yako.
 
Sio kwamba nimemlea kiyai kama unavo sema, huyu mwana mke nilishawahi kumfungulia duka la stationery worthy 8m ila lili mshinda tukalifunga, na mtaji ukafa nika mnunulia machine ya selcom ili afanye malipo pale kibandani paka sasa hivi ipo hiyo mashine, nikampa jukumu la kusimamia daladala likamshinda paka nilivo iuza...... sasa jamani nimfanyie nini ili aonekane kwamba anaweza? Yule ni hasara tu ila tu watu amtaki kukubali nikimtalaka tu kwasasa atashauriwa na ndgu na jamaa aende mahakamani huo mda sina wamahakamani kazi zitakufa duh.
 
Huyu mtoa mada anaweza kuwa analeta stori za kubumba, inawezekana vipi mke akufiche msiba wa mama mkwe bila sababu? Angekwambia ingekuwaje? Halafu inawezekanaje anasikia taarifa juu juu anakwea pipa kwenda msibani? Halafu kufika huko eti haonani na mkewe kwa sababu ana hasira, hizo hasira zilianzia msibani? Kwanini zisianze kabla hajapewa taarifa ili agome kwenda mazishini?

Katika huu uzi wa leo anasema mke amekaa kwa dada yake mwezi mzima, mbona kama nalo linanitia mashaka?
 
Sio kwamba nimemlea kiyai kama unavo sema, huyu mwana mke nilishawahi kumfungulia duka la stationery worthy 8m ila lili mshinda tukalifunga, na mtaji ukafa nika mnunulia machine ya selcom ili afanye malipo pale kibandani paka sasa hivi ipo hiyo mashine, nikampa jukumu la kusimamia daladala likamshinda paka nilivo iuza...... sasa jamani nimfanyie nini ili aonekane kwamba anaweza? Yule ni hasara tu ila tu watu amtaki kukubali nikimtalaka tu kwasasa atashauriwa na ndgu na jamaa aende mahakamani huo mda sina wamahakamani kazi zitakufa duh.
Wewe ni muongo mkuu
 
Back
Top Bottom