Mke wangu ameacha kutumia sindano za uzazi lakini hapati ujauzito

haki8

Member
Jun 7, 2016
26
35
Ni miezi kama saba imepita tangu mke wangu aache kutumia sindano za uzazi but mpaka Leo hapati mimbaaa
 
Duu mkuu hicho kijiti ni cha mti gani maana hii stori ni wewe ni mtu wa kama mia mbili hv nasikia ukisema kijiti kwani hua ni kinini
 
Alikuwa anatumia sindano wakuu..na utakuta akiingia bread ikimaliza mda mwingine nikifanya nae sex after first round anatokwa dam
 
Mkuu fanya kwenda hosp ukawaelezee madaktari usifiche kitu huku wana jamii watakusaidia kwa kiwango kidogo sana. waone wataaalam hao watakusaidia naamini
 
Nenda hospitali nadhani mirija yake ya uzazi itakuwa imeziba na pia atakuwa na uvimbe kwenye kizazi kutokana na utumiaji wa vidonge vya majira pamoja na sindano.
 
Ni miezi kama saba imepita tangu mke wangu aache kutumia sindano za uzazi but mpaka Leo hapati mimbaaa
Kama mkewangu nampenda kwa dhati kabisa siwezi kumruhusu atumie dawa yeyote ile kuzuia mimba tuna tumia njia ya kalenda na ina fanya vizuri kabisa ila kwa wale ambao wake zao kalenda haziko stable nadhan kuna namna isiyo na madhara itafutwe ili kum rescue mke wako na matatizo ya mbelen baada ya vidonge hivyo au sindano hizo.
 
Back
Top Bottom