Mke wangu akinuna kwa mambo yasiyo na msingi na mimi nanuna

lelulelu

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
401
366
Ikitokea akanuna kwa mambo ya kipuuzipuuzi tu mimi sina muda wa kumbembeleza mwanamke labda kwa mambo ya msingi sana.mwanamke ukimdekeza dekeza anakuwa na mambo ya kukera sana.

Mwanamke ukimuoa mdogo au mnaendana makamo usimbembeleze sana,mbembeleze mwanamke anayejua maisha kashakuwa mtu mzima kapitia mahusiano mengi sio hawa vitoto aisee wanatumia vibaya fursa hizi na kuanza kuleta mazoea ya ajabu ajabu.

Mwanamke hatakiwi kumnunia mumewe abadan ni sawa na mtoto kumnunia baba kwa lipi unanuna ? Dawa akinuna na wewe nuna tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningependa muda mwingi na mume wangu tuwe tunajadili biashara/kazi na vitu vigumu vigumu tukikosa kazi tu-Balance Chemical equation ili mradi pasiwepo mada laini laini na za mapenzi kuepusha kununa nuna kusiko na ulazima. Tuzae tuongezeke kama ilivyo sheria ya Mungu! Mapenzi tumwachie ngoswe
 
Kazi nzuri, you made my day.
Mapenzi tumwachie ngoswe (na mazoea wake)😂😂😂😂😂😂
 
Mkeo ndo huyo kwa Avatar?

Back
Top Bottom