Mke wako amekutukana ****** mbele ya mama yako mzazi utafanyaje?

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Wadau Ilikuwa ni hatari kusikia Mwanamke anatukana Matusi kama MHSENGE na Nyoko" wakati mama mzazi wa mumewe anasikiliza na hatimaye akaamua kuaga hiyo familia na kuondoka arudishwe kijijini.
Mumeo akiwa amelala sms ikaingia kwenye simu aliyoiweka mezani sebuleni. Mke akaisoma na Kuingia Chumbani kutoa kichapo cha maana na kumung'ata Meno.

Kisa cha hayo yote ni sms aliyo ikuta kwenye simu ya Mumewe iliandika [" Uko wapi?, Nimekumiss sana, Usiku mwema]

Je, Mshahara wa hiyo sms ni kung'atwa memo na matusi?:angry:
 
Hapo kwenye deshi deshi kuna tusi "MHSENGE", UTAENDELEA KUISHI NAYE?
 
Hapo kwenye deshi deshi kuna tusi "MHSENGE", UTAENDELEA KUISHI NAYE?

kwanza namsomea risala kuhusu hayo matapishi yake,
strongly namwambia ameniboa na kunitoka kama "mji uliokosa jumbe"
then namvalia miwani ya mbao,pesa ya matumiz namwachia housegirl,yaan sina shirika nae,
kitu mzungu wa4,atafungasha virago ataondoka mwenyewe.
 
unajua watu wanakosa mbinu za medani sijui kwa nini??yaani mume anafanya hivo wewe mitusi ya nini na wewr fanya halafu ajue then atakuwa wa kwanza kukuuliza then unafanya reference ya hilo lake sasa...baada ya hapao maisha mstari mtaishi miaka hata elfu 8 kama mimi na Nyanzala wangu
 
Mh iyo kali mwambie akapumzike kwao kwa muda mpaka ajifunze jinsi ya kumuheshimu mume. Akirudi atakua na adabu
 
Kamdekeza mwenyewe inaonyesha..hadi katamka neno hilo mngese..itakua kalizoea sio mara yake ya kwanza..
 
Wadau hii ni true story na maamuzi ya mume ndio yanasubiriwa, ukumbuke hapo ndo bado haijafungwa.
 
Jamani msimhukumu mwanamke ati hamheshimu mumewe. Vuguvugu la ndani ya nyumba hatulifahamu pengine wana matatizo mengi zaidi ya hilo sasa hasira zimemfanya huyu mama wa watu atukane bila kikomo. Kumbekeni mama mkwe mara nyingi ni sumu kali pengine naye anajumlisha matatizo ndani ya nyumba sasa dada wa watu akaona kama noma na iwe noma. Muhimu ni wao kukaa na kuyazungumza hamuwezi kuconclude eti amemkosea heshima mumewe, kwa ujinga huu ndio mnaona bado amemkosea heshima mumewe lets be realistic hapa. Huyu dada ni hasira ambazo zilikuwepo pengine muda kidogo.
 
Hasira haitoshi ku-justify kumuita mwanaume wako ******.huyo mwanamke hana adabu.kwanza ilibidi kutandikwa makofi mbele mama ili mama ajue wewe sio ******* ambae kakamatwa na hawala.ucje ukalogwa kuingia ktk ndoa na mwanamke wa namna hiyo
 
Jamani msimhukumu mwanamke ati hamheshimu mumewe. Vuguvugu la ndani ya nyumba hatulifahamu pengine wana matatizo mengi zaidi ya hilo sasa hasira zimemfanya huyu mama wa watu atukane bila kikomo. Kumbekeni mama mkwe mara nyingi ni sumu kali pengine naye anajumlisha matatizo ndani ya nyumba sasa dada wa watu akaona kama noma na iwe noma. Muhimu ni wao kukaa na kuyazungumza hamuwezi kuconclude eti amemkosea heshima mumewe, kwa ujinga huu ndio mnaona bado amemkosea heshima mumewe lets be realistic hapa. Huyu dada ni hasira ambazo zilikuwepo pengine muda kidogo.

Hata tunapokuwa tumekasirika ni lazima tuchague tuyasemayo pamoja na kuwa tumekasirika very careful, vinginevyo unaweza kubaki na majuto ya milele.

jamani mume naye anaheshimu wakwe au tunahukumu tu mambo ya ndoa magumu labda mama kadharauliwa mpaka vimefika kooni
 
""Quido Pro Quio"" value to value,unayomfanyia mwenzio ndio atakayo kufanyia wewe sasa huyu kajisahau kafanya mbele ya mama mkwe na ndoa haijafungwa?/balaaaa
 
inaelekea hiyo ndio lugha ya hao wapendanao tufauti tu ni
kwamba bibie katamka mbele ya mama mkwe mtarajiwa.
huyo njemba ilibidi amjibu mrembo wake kwa kumwambia
"mwenyewe" halafu anaendelea na stori nyingine lol
 
unamuwasha kakibao kidogo...hata siku nyengine ukimuudhi atafikiria mara mbili kukutusi hilo tusi.mwanaume lazima uonyeshe uko firm na yeye atakuheshimu tangu mwanzo.ukijidai kulegea ujue hio tabia itakuwa next time atakutusi tusi kubwa zaidi ya hilo...ila na yeye mwanaume ajiangalie kuna kitu kamuudhi sana huyo dada mpaka kufikiria kufanya hivyo.
 
Jamani msimhukumu mwanamke ati hamheshimu mumewe. Vuguvugu la ndani ya nyumba hatulifahamu pengine wana matatizo mengi zaidi ya hilo sasa hasira zimemfanya huyu mama wa watu atukane bila kikomo. Kumbekeni mama mkwe mara nyingi ni sumu kali pengine naye anajumlisha matatizo ndani ya nyumba sasa dada wa watu akaona kama noma na iwe noma. Muhimu ni wao kukaa na kuyazungumza hamuwezi kuconclude eti amemkosea heshima mumewe, kwa ujinga huu ndio mnaona bado amemkosea heshima mumewe lets be realistic hapa. Huyu dada ni hasira ambazo zilikuwepo pengine muda kidogo.

Huyu mke anatoka kwenye familia ya Mama yake mzazi mwenye watoto wa nne na kila mtoto ana baba yake,
Je inawezekana amerithi?
Na mama yake mzazi baada ya kusikia hivyo alimwambia mwanae " wewe unaelimu yako na mshahara mzuri, kapange Nyumba na uishi peke yako"

Ukumbuke huyu dada alishika mimba siku ya kwanza anaanza uhusiano na kijana, na sasa anamtoto wa miezi saba tuu.
Please be realistic, what should be done?

Wadau Ilikuwa ni hatari kusikia Mwanamke anatukana Matusi kama MHSENGE na Nyoko" wakati mama mzazi wa mumewe anasikiliza na hatimaye akaamua kuaga hiyo familia na kuondoka arudishwe kijijini.
Mumeo akiwa amelala sms ikaingia kwenye simu aliyoiweka mezani sebuleni. Mke akaisoma na Kuingia Chumbani kutoa kichapo cha maana na kumung'ata Meno.

Kisa cha hayo yote ni sms aliyo ikuta kwenye simu ya Mumewe iliandika [" Uko wapi?, Nimekumiss sana, Usiku mwema]

Je, Mshahara wa hiyo sms ni kung'atwa memo na matusi?:angry:

Kwa mtazamo wangu,uhusiano kati ya mtu na mtu inategemea pia lugha mnayotumia,
mfano wanywaji wa pombe wana lugha yao,ma infid... Wana lugha yao, walokole sijui wacha Mungu wana lugha yao nk nk,

Sasa inaonekana hawa ndugu mazingira yao yana lugha ya matuc, mke kumtukana mume,mume kumtukana mke ni kawaida, wakati mtu akifurahi kinywa kinatoa tusi,akichukia tusi.

Ndo maana hakuwa na brake ya kutoa hilo tusi mbele ya mm mkwe, ndicho kilichoujaza moyo wake, ikisukumwa tena na hasira inakuwa hasara kabisa.

Kuhusu msg si bure lazima kutakua na kitu nyuma ya hio msg, manake ka ni hivo watu tusiwamic hata kaka zetu kwa sababu wameoa? Tusiwatakie usiku mwema?

Lazima atakuwa anajua imetoka wapi na nini maana yke, ikafufua hasira iliokuwepo moyoni mwake. Lakini kaka UPENDO HUSITIRI WINGI WA MAKOSA, kama wampenda msamehe.
 
Apa tuangalie pande zote 2 za shillingi.
Kasheshe imeanza baada ya sms kwenye simu ya mumewe.SMS toka kwa kimada.Je mume angekuta sms katka simu ya mkewe situation ingekuwa vp? Ata kama mama mzazi wa mwanamke angekuwepo apo? Tuwe wakweli na tujali haki kwa wote no body like to be cheated jamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom