Mke Wa Zamani Wa Tiger Woods Anunua Nyumba Kwa Sh. Bilioni 19 Na Kuibomoa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
Mke Wa Zamani Wa Tiger Woods Anunua Nyumba Kwa Sh. Bilioni 19 Na Kuibomoa

70_article-2082667-0F58D97B00000578-295_634x401_popup.jpg

Mke wa zamani wa mcheza golfu maarufu na tajiri duniani Tiger Woods, amenunua jumba la kifahari kwa zaidi ya shilingi bilioni 19 na kuamua kulibomoa ili ajenge upya jumba lingine la kifahari litakaloendana na hadhi yake.

Mwanamke huyo anayeitwa Elin Nordegen ambaye ni raia wa Swden aliinunua nyumba mwaka uliopita katika mji wa North Palm Beach katika jimbo la Florida nchini Marekani baada ya kuachana na Tiger Woods.

<ins style="display: inline-table; border-top-style: none; border-right-style: none; border-bottom-style: none; border-left-style: none; border-width: initial; border-color: initial; border-image: initial; height: 600px; margin-top: 0px; margin-right: 0px; margin-bottom: 0px; margin-left: 0px; padding-top: 0px; padding-right: 0px; padding-bottom: 0px; padding-left: 0px; position: relative; visibility: visible; width: 160px; "><ins id="aswift_2_anchor" style="display: block; border-top-style: none; border-right-style: none; border-bottom-style: none; border-left-style: none; border-width: initial; border-color: initial; border-image: initial; height: 600px; margin-top: 0px; margin-right: 0px; margin-bottom: 0px; margin-left: 0px; padding-top: 0px; padding-right: 0px; padding-bottom: 0px; padding-left: 0px; position: relative; visibility: visible; width: 160px; "><iframe allowtransparency="true" frameborder="0" height="600" hspace="0" marginwidth="0" marginheight="0" scrolling="no" vspace="0" width="160" id="aswift_2" name="aswift_2" style="left: 0px; position: absolute; top: 0px; "></iframe>



elinmansionfla.jpg
</ins></ins>
Picha Ikionyesha eneo ya lilipokuwa jumba hilo la kifahari ambalo hivi sasa limebomolewa kupisha uj


Ujenzi wa jumba lingine la kifahari.

Utajiri wa mwanamke huyo ambaye amezaa watoto wawili na Tiger Woods, ulitokana na malipo makubwa aliyopewa yanayofikia kiasi cha shilingi bilioni 159 ikiwa ni makubaliano ya wanandoa hao kutalikiana hapo Agosti 23, 2010.

Uvunjikaji wa ndoa yao ulitokana na mcheza golfu huyo kuwa na mahusiano ya nje ya ndoa na wanawake wengine mbalimbali.


Jumba hilo la kifahari linalovutia ambalo lilikuwa na ukubwa wa futi za mraba 17,000 huku likiwa na vyumba sita, vyoo vinane na bwawa la kuogelea.



tigerandelin.jpg


Kweli baadhi ya watu wakiwa na pesa nyingi wanakuwa na jeuri katika maamuzi yao mbalimbali ya kimaisha.
 
Du!
Mambo ya fedha haya!...hivi siwezi kupata namba zake za simu anipe hata hiyo debri?
 
Kufuru hii.........angekuja kununua hizi nyumba zetu za mabondeni ili tupate cha kuanzia Mabwepande
 
Elin Nordegren, Tiger Woods'sex-wife, last week let loose a bulldozer on the $12-million oceanfront mansion she bought last year because, her builder tells PEOPLE, starting over made the most economical sense.The 17,000-ft., six-bedroom home in a gated community in North Palm Beach, Fla., was built in the 1920s, Dan Reedy of Onshore Construction and Development, tells PEOPLE. "It wasn't built to the South Florida wind-loading codes of today that were put in place because of hurricanes. We had an architect and a structural engineer out here and everyone agreed that it made more sense &#8211; structurally and economically &#8211; to tear it down and start over."But it wasn't a total loss. Nordegren gave Habitat for Humanity of Martin County, Fla., four weeks to methodically go through the structure and salvage tens of thousands of dollars worth of cabinets, hardware and fixtures. That's when termite and carpenter-ant infestations were discovered, says Habitat's director of deconstruction, Bobbi Blodgett.Nordegren, who celebrated her 32nd birthday on New Year's Day, is living in a nearby rental home with her two children &#8211; daughter Sam, 4, and son Charlie, 2 &#8211; while construction on her new home is ongoing. As for reports her romance with wealthy New York businessman Jamie Dingman is heating up, a friend of hers tells PEOPLE, "They are still dating, that's all. Nothing new there."
 
Back
Top Bottom