Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho auawa kwa kupigwa risasi alipokuwa akirejea nyumbani kwake

Itakuwa mambo ya kuwa First Lady wameamua kumuua kabisa, labda ni mke mdogo ambaye ni wa tatu au PM mwenyewe ajaye au wote wawili.

RIP
 
Tatizo la viongozi wengi wa kiafrika hawatawali kwa hoja na wala hawakai madarakani kwa hoja. Zaidi sana ni kwa hila na mabavu. Ukitumia mabavu utaondolewa kwa mabavu. Nidy dawa ilyobakia ahdi wajirekebishe.!

Neno hoja linakuja kama funika kombe mwanaharamu aipite. Hakuna asiyejua ingawa sifahamu kwa nini mama wa watu kauawa. Bila shaka ni visasi kwa kumuumiza mtu mmoja aliye kariabu naye.

Upumbave na ubatili mtupu!
Ni namna ya wanyonge kufikisha ujumbe kwa watawala walioziba masikio wasisikie kilio cha wanyonge watawaliwa. Labda majibu ya dhuluma , manyanyaso na uonevu.
 
Ninatamani wanglikuwa wanfikisha ujumbe kwa mhusika na si watu wasio na hatia.. Hiyo dhambi ni mbaya sana. WAtu wakianza kuuana ni laana kwa nchi na haiwezi kuwaacha salama. Kuwasilisha hisia kwa binadamu kuko namna nyingi sana lakini si kufikia hatua ya kuuana.

Mambo ya kuuana yana athari mbaya ambazo haziachi tabala lolote salama!


Ni namna ya wanyonge kufikisha ujumbe kwa watawala walioziba masikio wasisikie kilio cha wanyonge watawaliwa. Labda majibu ya dhuluma , manyanyaso na uonevu.
 
Lesotho si ndo tuliocheza nao juz pale uwanja wa Taifa?? Basi watakuwa wamedokezwa na wale washikaji wa pale Ikwiriri na kibiti wakaenda kujaribu kwao
 
Walishaachana na Prime Minister toka mwaka 2012, afu akarudi kwa gia ya kumshitaki mahakamani mke mdogo ili yeye awe first lady

Binafsi naona mipango za mauuji yamesukwa na huyo Waziri Mkuu hakutaka wagawane mali na mkewe wa zamani baada ya kutishiwa kuburuzwa Mahakamani na kuomba apewe taraka au mkewe mdogo anaweza kukodisha watu kumuua mkewenza siku mbili kabla mumewe ajakalia kiti cha Uwaziri Mkuu. hao wawili ndiyo wanapaswa kutiliwa shaka.
 
Chadema watashangilia

Ficha upumbavu we mmbwaa! Kila mahali kwenu ni siasa tu. Huna hata wazo jingine ni kuiwaza chadema tu. Ujinga wa lami huu. Lesotho umesikia ni hapo Lushoto. Natamani ungekuwa karibu nikakuchapa fimbo 12 za matakoni.
 
Kwani hakuwa kavaa "bullet proof"? Vip Je alikuwa woman alone au alikuwa na ulinzi Wa wale jamaa Wa mstari?

By the way Rest In Accordance R.I.A mama PM Wa Lesotho.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom