Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho auawa kwa kupigwa risasi alipokuwa akirejea nyumbani kwake

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,471
2,000
_96501379_lilopelo.jpg

Mke wa Waziri Mkuu mpya wa Lesotho,Bwana. TOM THABANE ameuawa kwa kupigwa risasi jana usiku katika kijiji kimoja kwenye vitongoji vya Mji mkuu wanchi hiyo Maseru.

Taarifa zinasema Bibi. LIPOLELO THABANE,alipigwa risasi na kuuawa alipokuwa anakaribia kwenye lango kuu la kuingilia nyumbani kwake wakati mtu aliyekuwa na silaha kumpiga risasi na kuuawa papo hapo.

Rafiki yake ambaye alikuwa naye amejeruhiwa vibaya katika shambulio hilo hali yake imeelezwa kuwa ni mbaya katika hosptitali moja anakaopatiwa matibabu.

Msemaji wa Poli si Bwana CLIFFORD MOLEFE amethibitisha tukio hilo lakini hakutoa maenezo zaidi
Bwana MOLEFE amesema hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kuhusika na shambulio hilo.

=====

The estranged wife of incoming Lesotho Prime Minister Thomas Thabane has been shot dead two days before his inauguration.

Lipolelo Thabane, 58, was travelling home with a friend when both women were shot by an unknown assailant, the police say.

The police add the motive is unknown and an investigation is continuing.

The couple had been living separately since 2012 and filed for divorce which hasn't been granted yet.

BBC southern Africa correspondent Karen Allen reports that neighbours claim there had been an incident earlier in the week when a group of unidentified men were spotted hammering on the First Lady's door.

She won a high court battle against her husband to secure the privileges of a First Lady, instead of Mr Thabane's youngest wife, Liabiloe, reports the AFP news agency.

Mr Thabane is now living with a third wife.

Samonyane Ntsekele, the secretary general of Mr Thabane's All Basotho Convention party, told AFP that the prime minister was devastated by the shooting.

"Everyone is traumatised by these developments," he said.

The election took place earlier this month and was the third election in three years.

There is a bitter power-struggle in the country and Mr Thabane still has enemies in the military, our correspondent adds.

His inauguration is still expected to take place on Friday.

Source: BBC
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,379
2,000
Mke wa Waziri Mkuu mpya wa Lesotho,Bwana. TOM THABANE ameuawa kwa kupigwa risasi jana usiku katika kijiji kimoja kwenye vitongoji vya Mji mkuu wanchi hiyo Maseru.

Taarifa zinasema Bibi. LIPOLELO THABANE,alipigwa risasi na kuuawa alipokuwa anakaribia kwenye lango kuu la kuingilia nyumbani kwake wakati mtu aliyekuwa na silaha kumpiga risasi na kuuawa papo hapo.

Rafiki yake ambaye alikuwa naye amejeruhiwa vibaya katika shambulio hilo hali yake imeelezwa kuwa ni mbaya katika hosptitali moja anakaopatiwa matibabu.

Msemaji wa Poli si Bwana CLIFFORD MOLEFE amethibitisha tukio hilo lakini hakutoa maenezo zaidi
Bwana MOLEFE amesema hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kuhusika na shambulio hilo.

WAmemuonea tu mama wa watu. Yawezekana hata yeye alikuwa kaiisoma namba vilevile.
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,379
2,000
Sisasa za kiafrika pasua kichwa wanashindwa kwenye hoja wao wanapiga risasi.
Tatizo la viongozi wengi wa kiafrika hawatawali kwa hoja na wala hawakai madarakani kwa hoja. Zaidi sana ni kwa hila na mabavu. Ukitumia mabavu utaondolewa kwa mabavu. Nidy dawa ilyobakia ahdi wajirekebishe.!

Neno hoja linakuja kama funika kombe mwanaharamu aipite. Hakuna asiyejua ingawa sifahamu kwa nini mama wa watu kauawa. Bila shaka ni visasi kwa kumuumiza mtu mmoja aliye kariabu naye.

Upumbave na ubatili mtupu!
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,887
2,000
Mke wa Waziri Mkuu mpya wa Lesotho,Bwana. TOM THABANE ameuawa kwa kupigwa risasi jana usiku katika kijiji kimoja kwenye vitongoji vya Mji mkuu wanchi hiyo Maseru.

Taarifa zinasema Bibi. LIPOLELO THABANE,alipigwa risasi na kuuawa alipokuwa anakaribia kwenye lango kuu la kuingilia nyumbani kwake wakati mtu aliyekuwa na silaha kumpiga risasi na kuuawa papo hapo.

Rafiki yake ambaye alikuwa naye amejeruhiwa vibaya katika shambulio hilo hali yake imeelezwa kuwa ni mbaya katika hosptitali moja anakaopatiwa matibabu.

Msemaji wa Poli si Bwana CLIFFORD MOLEFE amethibitisha tukio hilo lakini hakutoa maenezo zaidi
Bwana MOLEFE amesema hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kuhusika na shambulio hilo.
Lesotho nao kumbe siku hizi wameanza Kukengeuka na kuwa wa hovyo hovyo hivi?
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
28,014
2,000
Wanaiga ya Kibiti - Rufiji, Ikwiriri,
walaaniwe watu wanaokatisha uhai wa wanadamu wengine kwa makusudi!!!
:(:(:(:(:(:(:(:(:(:(
 
ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,521
2,000
Sisasa za kiafrika pasua kichwa wanashindwa kwenye hoja wao wanapiga risasi.
Nitaitetea Africa yangu milele, hukuona kwenye CNN Leo? Nani kapigwa risasi? Au USA iko Africa! Tujifunze kujipenda na kujithamini, ni muhimu sana kujitamkia mambo mema maishani kwani mdomo unaumba ndugu yangu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom