Mke wa Waziri afumaniwa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa Waziri afumaniwa....

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Lucchese DeCavalcante, Aug 12, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Duuu, mtu kamegewa. Haya mambo ya kuwa na wake wengi na uwezo huna....................
   
 3. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Waziri yupi huyo? Yale yale ya Mswati
   
 4. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Udaku sina hamu nao..inawezekana mwenye mali anaitwa Waziri na sio cheo..
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hata mimi magazeti ya udaku siyaamini hata chembe.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huyu mke wa ndoa au nyumba ndogo tu?
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Small-house! Jamaa nayeitwa "Wazir" alikwenda kuvunja jungu akukuta muuza CD keshamaliza kulivunja (funny!)
   
 8. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  lakini mwanamama anasutua na kipindi kama hiki mzee yuho biz na masuala ya kura acha vijana wamtafrije kwa raha zao
   
 9. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Inanikumbusha movie ya Unfaithful ya Richard Gere!!..
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli,
   
 11. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mimi siziamini picha hizo kwa sababu zifuatazo:
  1. Kitendo cha waziri huyo kuruhusu mkewe huyo kupigwa na huyo shemeji yake aliye kifua wazi.
  2. Shemeji mtu mwenye jeans kama hakuwa ndani alitoka wapi kuja kumpiga wakati yupo kifua wazi au alimpiga wakati ameshavua shati, kitendo ambacho si rahisi
  3. Hakuna hata picha moja hapo ya huyo aliyefumania, yaani Waziri.
  4. Huyo mwanamke mwenye baibui wanasema kafumaniwa na alikua akizini, alijiremba saa ngapi na lipstick hiyo mdomoni baada ya kutokea tukio hilo lenye utata?
  5. Sidhani kama kichwa cha huyo mwenye baibui ndiyo cha mwenye mwili huo
  6. Anaonekana alipigwa picha akipata kibano kama ni sebuleni vile. Akaenda chumbani akavaa baibui akafuatwa tena huko na waandishi akawaruhusu wampige picha akiwa amekaa kwa huzuni hivyo.

  Uzushi na uongo mtupu!
   
 12. k

  kidumeso Member

  #12
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 23, 2007
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana hilo sikia kwa jirani, wala usiombe ikutokee wewe maana inauma mno.
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Duh !
   
 14. Tuntu

  Tuntu JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashawishika huyo kwenye picha ndiye Mr. Waziri bin Rashid Kalumekenge.
   
 15. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hii inafaa palee, kwa kina shigo
   
 16. M

  MJM JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  I concur with you. Mbinu za kuuza gazeti na kwa kuwa hakuna masuala ya Mkuchika kwenye udaku haina shida
   
 17. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  au labda waziri sonyo au waziri mahadhi.
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Du lakini mwanadada kaajaliwa kwelikweli hapo lazima mtu ajinyonge,ama kuumbe wakubwa wanafaudu jamani na mahela ya EPA ndo yanaishia huko,wala hela ya EPA kumbe wapo wengi
   
 19. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  duh nini mamii,ndio mapenzi kibongobongo waziri akiwa hayupo muuza muvi anakuja kushughulikia mzigo,na inaelekea alikua anajituma kweli:A S 8:
   
 20. F

  FYA PANDOMO Member

  #20
  Aug 12, 2010
  Joined: Jun 8, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  haiwahusu!
   
Loading...