Mke wa Rais ana madaraka gani hapa nchini?

Ni uwezo mdogo wa kutambua mambo waliyonayo wote wawili Salma na Dokta wetu wa heshima. Kwanza hao maDC wengi wao waliteuliwa na Salma wakiwa kitandani na Dokta!
 
Ni uwezo mdogo wa kutambua mambo waliyonayo wote wawili Salma na Dokta wetu wa heshima. Kwanza hao maDC wengi wao waliteuliwa na Salma wakiwa kitandani na Dokta!
Una nongwa! mwambie mumeo ahakikishe anakuwa Rais ili nawe uwe First Lady ufaidi kama anavyofaidi Mama Salma.
 
kwa mujibu wa katiba ya tanzania, mke wa rais ni naibu makamu wa rais na ni waziri asiye na kazi maalum, ofisi yake iko ikulu next door to Mkweres office
 
Huyu mama hana mamlaka yoyote, kinachotuletea wingu la haya mambo yote kufanyika/kutokea kiholela ni mapungufu ktkt katiba yetu.
 
madaraka yake aliyonano ni kuhakikisha MADAWA YA KULEVYA YANAKUWA AVAILABLE wakishirikiana na mbunge wa viti maalum MH; getrudi wakatare anayebisha aje kanisani kwa getrudi tutampa ukweli wote .














.
Naomba kuwasilisha.[/QUOTE]
 
mkuu pride goes before all, ndo maana unaona kina mama flani wakikanyaga magogoni huelewi wana madaraka kiasi gani na ukomo wake ni upi, kwa uelewa wangu finyu sidhani kama wanayo madaraka makubwa sana. Uswahili, aaaaaaElimu kiduchu, n.k
 
Salma ni First Lady kama alivyo Mama Obama, hivyo anastahili kupewa heshima
 
Ana madaraka ya kwenda kulia dhiki na kuomba pesa nchi za watu., kwa kupita mgongo wa WAMA.
 
Kama 1st lady hana faida je mawaziri vivuli wanafaida gani. wote ni sawa. Jina kubwa bila kazi yeyote.
 
its a million dollar question....

siyo kila kitu kiandikwe kisheria....kwenye nchi kuna tamaduni na mazoea ambayo wenye nchi hujiwekea...

Hayo mazoea ndio tusiyoyataka katika kuendesha nchi. Kwa kufanya mambo kimazoea ndipo kumeifikisha Tanzania ICU
 
Mwishowe watatuambia rais akisafiri madaraka atashikilia mkewe maana ccm hawana adabu
 
ni watu wamemwekea madaraka katika hali ya kumtukuza tu ila hana mamlaka yoyote
 
Hivi nyie wote hamjui kuwa hamna mwanamme mwenye mafanikio bila kuwa na mwanamke mwenye nguvu nyuma yake?

Unafikiri huyo Rais bila mkewe angeupata huo Urais? Mnanchekesha!
 
Mama Maria Nyerere, Mama Sitti Mwinyi na Mama Mkapa walitukuzwa kama first ladies! Leo kwa nini mnakosa heshima kwa FIRST LADY wetu? Wivu muache, sie wa Hoyohoyo anatuwezesha kulima pilipili hohoho kwa kutumia wataalam wa kilimo.
 
Watu hapa sijuii wanaandika wakiwa wamelewa? Nadhani wengi niliosoma post zao ni walevi tu. Namna hii hatuwezi kujenga nchi. Linapozuungumzwa suala la mke wa rais lazima tujue ni mke wa rais kikatiba na kisheria anazungumzwaje? Hatuwezi kuendelea kufanya mambo kuhuni kihuni kwa kuwa eti ni utamaduni ulio katika nchi zote duniani. Tunahitaji utawala wa kisheria na tunahitaji kila kitu kiwe stipulated kwenye katiba na sheria zetu. Je mke wa rais ana nafasi gani kikatiba katika uendeshaji wa nchi? hili ndilo liwe jambo la kujadiliwa hapa na kama hana nafasi hiyo na ijulikane wazi kwamba hana nafasi yoyote katika uendeshaji wa nchi yetu. Alafu tuangalie je tunahitaji kumpa nafasi kwenye katiba ijayo? Lakini huu uhuni wa kusema sijui ni utamaduni au imezoeleka ni uhuni tu na siku moja atatoa maamuzi kama rais na hakutakuwa na maswali maana imezoeleka kuwa mke wa rais naye ni kama rais. Kumbukeni ni rais tu anayeapa na si mkewe wala hawaapishwi wote wawili. Heshima yetu kwake haimaanishi tunampa nafasi kama kiongozi, hapana. Nchi isianze kuendeshwa kama mali binafsi ya mtu. Hii haijalishi ni mke wa rais wa chama chochote kile. Narudia kwamba tuchangie michango yetu tukiwa hatuko katika hali ya ulevi wowote kwa manufaa ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom