Mke wa rafiki yangu kanirushia uchi wake whatsapp kimakosa

Ungemjibu kwa kusema "asante" na kusindikiza na kale ka emoji ka "kiss".

Umepewa "penati" sasa usipaishe kama alivofanya John Boko!
 
hayo ndo yanaitwa majaribu. ndgu wewe futa tuu kumsaidi huyo anakutega ukiingia mkenge tuu urafiki wako na mshakaji wako unaiisha na utaanza muona boya na heshima itashuka sana
 
kweli ni mke wa rafiki yako??? rafiki yako kabisa....kama ni rafiki yako hata kumuuliza shemejio kunani ni kosa....ushamkosea rafiki yako....ungeifuta bila hata kuuliza chochote........tujaribu kuuthaminisha urafiki wetu wa kweli uwe kweli....then umekuja huku kutangaza.....kuna mchangiaji hapo kasema mleta uzi una tabia za "KIKE" namuunga mguu.....
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom