Mke wa Prosper Mbena (wa Ikulu) Alichukua TZS 2 Billion za ESCROW

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
pac_team-2.jpg

Tarifa kwamba mke wa kigogo mmoja wa Ikulu alichukua Tzs 2 billion za ESCROW, si vizuri kuzungukazunguka, mhusika ni mke wa Prosper Mbena ambaye alichukua pesa hizo bank ya Stanbic. Chombo mojawapo kilishamhoji huyu mama mke wa Prosper.

Prosper Mbena ajitokeze kutetea au abishe kama mkewe hakuchukua pesa hizo.

Hapa ni JF where we dare to talk openly.

Kwenu wadau.

An escrow is:
  • a contractual arrangement in which a third party receives and disburses money or documents for the primary transacting parties, with the disbursement dependent on conditions agreed to by the transacting parties, or
  • an account established by a broker for holding funds on behalf of the broker's principal or some other person until the consummation or termination of a transaction; or,
  • a trust account held in the borrower's name to pay obligations such as property taxes and insurance premiums.
The word derives from the Old French word escroue, meaning a scrap of paper or a scroll of parchment; this indicated the deed that a third party held until a transaction was completed.

KWANINI ISSUE YA ESCROW INA TISHA?

Wakati akichangia ripoti ya PAC

Tundu lissue alitoa pendekezo kuwa majina ya watu waliochota pesa PAP kupitia StanBic Benk ni pamoja na Shabani Rajabu Gurumo ambaye ni ndugu na JK harafu ni State Controller.

Hi indo sababu pekee ambayo inampa Kiburi Maswi, Werema, na Muhongo kwa Kuwa wanajua hata State Controller amekula

Spika Anna makinda amekiri Bungeni kuwa Suala la Escrow limeleta usumbufu ambao haijawahi kutokea tangia uhuru!
Hadi naandika hapa Bunge bado halijapata ufumbuzi na huu ni ushahidi kuwa dola nayo imepasuka.

Pamoja na Tundu Lissu kusemtaja Shabani Rajabu Gurumo kuwa amekula escrow Shs800,000,000. Spika hamkumtaka alete Ushahidi lakin Bi Mshana aliposema Mbowe amechukua fedha za escrow Kenya Zungu alimtaka alete Ushahidi.

Hapa ndo tunapata Ushahidi kuwa Maafisa wa Ikulu, wamekula escrow nan do Maana kuna mizengwe ktk suala hili.

Ikulu yamtetea Prosper Mbena

VYOMBO vya habari nchini vimeaswa kuripoti matukio yaliyofanyiwa uchunguzi wa kina na yenye kufuata maadili na taaluma ya habari, badala ya kufanya kazi kwa kuongozwa na ushabiki vinapotekeleza majukumu yake.

Hayo yameelezwa katika taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari ikikanusha kuhusika kwa Katibu wa Rais Jakaya Kikwete, Prosper Mbena katika kumpa mwongozo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ili auruhusu uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyopo katika BoT.

Taarifa hiyo inasema baadhi ya vyombo vya habari (siyo HabariLeo) vimemhusisha Mbena kuingilia mchakato wa uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 306 katika akaunti hiyo iliyoibua hoja nzito nchini, kiasi cha Bunge kuingilia kati na kutaka baadhi ya mawaziri na watendaji serikalini wawajibike kwa kile kinachodaiwa kuchota fedha za umma, jambo ambalo bado halijathibitishwa rasmi. "Huu ni uongo na uzushi.

Ni jaribio jingine la kutia chumvi katika jambo ambalo limetawaliwa kwa kiasi kikubwa na mihemko ya aina yake.

Gavana Ndulu mwenyewe anathibitisha kuwa hajawahi kupokea barua yoyote kutoka kwa Katibu wa Rais kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow.

Akaunti ya Escrow ilifunguliwa baada ya kutokea kwa mgogoro wa kimaslahi baina ya kampuni ya kufua umeme ya IPTL na Tanesco.

Chanzo: Habarileo
 
Haijawa wazi hapa sasa mmoja amejasiri, sasa huyo mumewe Prosper Mbena aje akanushe kama mkewe hakuchukua pesa hizo, Wengine tulianza kumfikiria Mke wa Rais kumbe si kweli, pengine Kikwete atatoka msafi, kuna wanaomharibia na kumchafulia Ikulu yake.

Mwaka huu kabla hatujafikia Uchaguzi Mkuu mwakani tutashuhudia mengi.
 
Tarifa kwamba mke wa kigogo mmoja wa Ikulu alichukua Tzs 2 billion za ESCROW, si vizuri kuzungukazunguka, mhusika ni mke wa Prosper Mbena ambaye alichukua pesa hizo bank ya Stanbic. Chombo mojawapo kilishamhoji huyu mama mke wa Prosper.

Prosper Mbena ajitokeze kutetea au abishe kama mkewe hakuchukua pesa hizo.

Hapa ni JF where we dare to talk openly.

Kwenu wadau.

Njia ya mwongo fupim mlisema ni Mbena mkabezwa kuwa waongo sasa mumehamia kwa mke wake na mnataka mume ndie athibitishe kwa nini nyie msithibitishe mlioleta hii habari? kwa nini msukumie mtu mwingine?.
 
pac_team-2.jpg
​

.
Kwani huyu Mbena huko ikulu ana kazi gani?
.
 
Njia ya mwongo fupim mlisema ni Mbena mkabezwa kuwa waongo sasa mumehamia kwa mke wake na mnataka mume ndie athibitishe kwa nini nyie msithibitishe mlioleta hii habari? kwa nini msukumie mtu mwingine?.

Katika familia suala kubwa kama hilo haliwezi kutendwa na mmoja bila mwingine kujua, na pengine alitumwa na mumewe utajuaje? Ieleweke ni familia ya Mbena, lakini mkewe anatajwa kwa vile ndiye aliyeenda kubeba pesa.
 
pac_team-2.jpg
​

Tarifa kwamba mke wa kigogo mmoja wa Ikulu alichukua Tzs 2 billion za ESCROW, si vizuri kuzungukazunguka, mhusika ni mke wa Prosper Mbena ambaye alichukua pesa hizo bank ya Stanbic. Chombo mojawapo kilishamhoji huyu mama mke wa Prosper.

Prosper Mbena ajitokeze kutetea au abishe kama mkewe hakuchukua pesa hizo.

Hapa ni JF where we dare to talk openly.

Kwenu wadau.

Ndio maana Ikulu ina lugha tata?? Kwa vile wanahusika. Jana Katibu mkuu Kiongozi ana sema wanafanya uchunguzi wa kina!! ,aana yake walio fanya uchunguzi hawafai?? Kama ndivyo haikuwa na maana kuwa teua kufanya huo uchunguzi. Wangefanya Ikulu tangu mwanzo. Nchi ya vioja.. Bado watuhumiwa wako ofisini ili wapate muda wa kuharibu ushahidi.
 
kama baba anahusika katika wizi atathubutu kuwaadhibu watoto kwa wizi utawala wa J kutavunja rekodi kwa uzembe wa wizi wa pessa za umma..Uchunguzi kw CAG kazi yake ilikuwa tayari imeshafanya uchynguzi au wanachunguza nini
 
Kama hii taarifa ni kweri basi sakata hili limeshahitimishwa hata hivyo toka JK aingie madarakani hajawahi kumwajibisha kiongozi yeyote wa ngazi za juu na hili hawezi pia!
 
Ndio maana Ikulu ina lugha tata?? Kwa vile wanahusika. Jana Katibu mkuu Kiongozi ana sema wanafanya uchunguzi wa kina!! ,aana yake walio fanya uchunguzi hawafai?? Kama ndivyo haikuwa na maana kuwa teua kufanya huo uchunguzi. Wangefanya Ikulu tangu mwanzo. Nchi ya vioja.. Bado watuhumiwa wako ofisini ili wapate muda wa kuharibu ushahidi.

Ndio maana Katibu Mkuu/Katibu kiongozi wa pale Ikulu alikingia kifua tangu awali kwa kushinikiza bunge lisijadili, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutetea kwa nguvu zote, hatimaye tumbili kashinda kesi.
 
Vigumu kumnyoshea kidole kwa tetesi tu bila projection za kutoka bank, kama unazo taarifa tuwekee hapa.

tunauuliza kwa sababu JK amekuwa mgumu wa kuwafukuza wahusika huenda wapo wahusika wengine wanaomgusa
 
Kwa jinsi nilivyomsikiliza Katibu mkuu kiongozi jana kuwa wanafanya uchunguzi wa kina, naamini hakuna lolote la maana litakalofanyika. Inasikitisha sana..
 
tunauuliza kwa sababu JK amekuwa mgumu wa kuwafukuza wahusika huenda wapo wahusika wengine wanaomgusa

Kumbuka kuwa ni utamaduni wa kimapokeo kwa serikali ya CCM kulindana hata kuwe na kosa kubwa kiasi gani aliyeiba sindano atatupiwa Keko na wazito walioiba mabilioni wanatamba mitaani, maofisini, bungeni, mijini, na popote wakistarehe tokana na pesa za wavuja jasho.
 
Dili ya marelia!! Dili ya marelia nani alianza?? ...km ikulu ilitumika kupiga dili ndogo km ile marelia sishangazwi na tabia hii kuendelea now Ni mabillion na bado!..mkulu kazi kucheka Tu humu nchi ikipukutishwa na wezi
 
Katika familia suala kubwa kama hilo haliwezi kutendwa na mmoja bila mwingine kujua, na pengine alitumwa na mumewe utajuaje? Ieleweke ni familia ya Mbena, lakini mkewe anatajwa kwa vile ndiye aliyeenda kubeba pesa.
Sheria ya ndoa inaruhusu mwanandoa yeyote mume au mke kuwa na mali binafsi kwa jina lake na hawajibiki kumshirikisha mwingine.Ya ngoswe mwachie ngoswe.Kama kuna swali kuhusu mali za mke ni mke mwenyewe ndiye awajibika kuzijibu kisheria.
 
Kama hii taarifa ni kweri basi sakata hili limeshahitimishwa hata hivyo toka JK aingie madarakani hajawahi kumwajibisha kiongozi yeyote wa ngazi za juu na hili hawezi pia!

Mkuu sakata limehitimishwa jana na Katibu mkuu kiongozi kwamba bado wanafanya uchunguzi wa kina. Naamini tamko hili lilikuwa hitimisho kwa sakata hili..
 
Back
Top Bottom