Mke wa polisi amtokea puani

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,937
26,647
AMA kweli haki hakuna. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar ( 28 ) amejikuta katika wakati mgumu wa kupofuka baada ya kuchomwa sindano inayo daiwa kuwa na sumu kufuatia kujihusisha kimapenzi na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wa askari Polisi.

Akizungumza hivi karibuni jijini Dar Es salaam, Elias alidai alikumbwa na mkasa huo mwaka 2011 wakati akiwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke huyo aliyemtaja kwa jina moja la Amina, ambaye pia alikuwa ni mke wa polisi aliyemtaja kwa jina moja la James, aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha Polisi Kilwa Road, Jijini Dar es salaam.

" Polisi huyo alikuwa akinifuata mara kwa mara na kuniambia kuwa niachane na mwanamke huyo, lakini kwangi ilikuwa ngumu kwa sababu tulipendana sana " alisema kijana huyo.

Alisema siku ya tukio, akiwa kijiweni, polisi huyo akiambatana na wenzake walifika na kumkamata bila kosa lolote na kumpeleka katika kituo kidogo cha polisi Mianzini, Temeke.

Wakiwa kituoni hapo, kijana huyo alisema kwa pamoja walimshika mikono na miguu wakai James alichukua sindano na kumchoma.

Akiwa hajui hatma yake, Elias alisema mara tu baada ya kuchomwa sindano hiyo alisikia maumivu makali yaliyopanda hadi kichwani na ghafla akapoteza uwezo wake wa kuona.

" Siwezi kuelezea zaidi maumivu niliyoyapata baada ya kuchomwa sindano ile na hapo hapo macho yangu hayakuweza kuona tena licha ya kujitaidi sana '

Alisema baada ya kuchomwa sindano hiyo, askari hao walimtaka aondoke na akajitaidi kuwapa taarifa ndugu
zake, ambao walimchukua na kumpeleka Muhimbili ambako hata hivyo walishindwa kumsaidia na hata alipopelekwa CCBRT, pia ilishindikana.

Katika hali ya kusikitisha zaidi, ndugu z ake walijaribu kufuatilia suala hilo polisi, lakini walipofika waliambiwa kirahisi kwamba askari wote hao walishafukuzwa kazi.

Alisema juhudi za ndugu zake kuhakikisha haki inatendeka zimegonga mwamba licha ya suala lake kufikishwa kwa taasisi za haki za binadamu, ambako bado linashughulikiwa, ingawa hakuna matumaini ya kupatikana kwa ufumbuzi.

" Maisha yangu yamekuwa magumu sana na sijui hatma ya kesi yangu, nitaendelea kuishi hivi mpaka lini ? kwa vile kwa sasa naomba omba tu " alisema. Alitumia fursa hiyo kumuomba Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuliangalia suala lake kwa undani ili lipatiwe ufumbuzi .

CHANZO : GAZETI LA AMANI,, DESEMBA 12, 2013.

MY TAKE : THE DEVIL SHOULD NOT BE TREATED GENTLY! A MAN WHO SLEEP WITH ANOTHER MAN'S WIFE, IS THE DEVIL AND THEREFORE SHOULD BE TREATED ACCORDINGLY!
 
Huyu naye eti nilishindwa kumuacha mbali nakuonywa mara kwa mara eti walikuwa wanapendana mno..Acha uwe kipofu..We unajua ni mke wa mtu halafu mwenye mke amekufuata kistaarabu kuwa achana naye na wewe unajifanya kijogoo bora uwe kipofu tu tuone huyo Amina kama atakufuata na ukipofu wako..
 
Well said, watu wanao ingiliwa ndoa za watu ni wahalifu wa mifumo ya kijamii, wapigwe
 
najaribu kuvaa viatu vya huyo askari aliyemegewa mke napata wakati mgumu sana,..

Pole sana Elias na ukipona mshukuru MUNGU na ubadili tabia,.
 
AMA kweli haki hakuna. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar ( 28 ) amejikuta katika wakati mgumu wa kupofuka baada ya kuchomwa sindano inayo daiwa kuwa na sumu kufuatia kujihusisha kimapenzi na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wa askari Polisi.

Akizungumza hivi karibuni jijini Dar Es salaam, Elias alidai alikumbwa na mkasa huo mwaka 2011 wakati akiwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke huyo aliyemtaja kwa jina moja la Amina, ambaye pia alikuwa ni mke wa polisi aliyemtaja kwa jina moja la James, aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha Polisi Kilwa Road, Jijini Dar es salaam.

" Polisi huyo alikuwa akinifuata mara kwa mara na kuniambia kuwa niachane na mwanamke huyo, lakini kwangi ilikuwa ngumu kwa sababu tulipendana sana " alisema kijana huyo.

Alisema siku ya tukio, akiwa kijiweni, polisi huyo akiambatana na wenzake walifika na kumkamata bila kosa lolote na kumpeleka katika kituo kidogo cha polisi Mianzini, Temeke.

Wakiwa kituoni hapo, kijana huyo alisema kwa pamoja walimshika mikono na miguu wakai James alichukua sindano na kumchoma.

Akiwa hajui hatma yake, Elias alisema mara tu baada ya kuchomwa sindano hiyo alisikia maumivu makali yaliyopanda hadi kichwani na ghafla akapoteza uwezo wake wa kuona.

" Siwezi kuelezea zaidi maumivu niliyoyapata baada ya kuchomwa sindano ile na hapo hapo macho yangu hayakuweza kuona tena licha ya kujitaidi sana '

Alisema baada ya kuchomwa sindano hiyo, askari hao walimtaka aondoke na akajitaidi kuwapa taarifa ndugu
zake, ambao walimchukua na kumpeleka Muhimbili ambako hata hivyo walishindwa kumsaidia na hata alipopelekwa CCBRT, pia ilishindikana.

Katika hali ya kusikitisha zaidi, ndugu z ake walijaribu kufuatilia suala hilo polisi, lakini walipofika waliambiwa kirahisi kwamba askari wote hao walishafukuzwa kazi.

Alisema juhudi za ndugu zake kuhakikisha haki inatendeka zimegonga mwamba licha ya suala lake kufikishwa kwa taasisi za haki za binadamu, ambako bado linashughulikiwa, ingawa hakuna matumaini ya kupatikana kwa ufumbuzi.

" Maisha yangu yamekuwa magumu sana na sijui hatma ya kesi yangu, nitaendelea kuishi hivi mpaka lini ? kwa vile kwa sasa naomba omba tu " alisema. Alitumia fursa hiyo kumuomba Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuliangalia suala lake kwa undani ili lipatiwe ufumbuzi .

CHANZO : GAZETI LA AMANI,, DESEMBA 12, 2013.

MY TAKE : THE DEVIL SHOULD NOT BE TREATED GENTLY! A MAN WHO SLEEP WITH ANOTHER MAN'S WIFE, IS THE DEVIL AND THEREFORE SHOULD BE TREATED ACCORDINGLY!

usipokuwa makini na mapenzi lazima yakuharibie maisha
 
Huu msemo wa Mke wa mtu ni sumu kuna watu wanauchukuliaga poa, ila acha kabisa siku yanapo watokea huwa wanatamani iwe Ndoto...
 
nafiikiri ungeandika ''mke wa polisi amtokea machoni''. ila bora yake wengine huuliwa kabisa.
 
AMA kweli haki hakuna. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar ( 28 ) amejikuta katika wakati mgumu wa kupofuka baada ya kuchomwa sindano inayo daiwa kuwa na sumu kufuatia kujihusisha kimapenzi na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wa askari Polisi.

Akizungumza hivi karibuni jijini Dar Es salaam, Elias alidai alikumbwa na mkasa huo mwaka 2011 wakati akiwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke huyo aliyemtaja kwa jina moja la Amina, ambaye pia alikuwa ni mke wa polisi aliyemtaja kwa jina moja la James, aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha Polisi Kilwa Road, Jijini Dar es salaam.

" Polisi huyo alikuwa akinifuata mara kwa mara na kuniambia kuwa niachane na mwanamke huyo, lakini kwangi ilikuwa ngumu kwa sababu tulipendana sana " alisema kijana huyo.

Alisema siku ya tukio, akiwa kijiweni, polisi huyo akiambatana na wenzake walifika na kumkamata bila kosa lolote na kumpeleka katika kituo kidogo cha polisi Mianzini, Temeke.

Wakiwa kituoni hapo, kijana huyo alisema kwa pamoja walimshika mikono na miguu wakai James alichukua sindano na kumchoma.

Akiwa hajui hatma yake, Elias alisema mara tu baada ya kuchomwa sindano hiyo alisikia maumivu makali yaliyopanda hadi kichwani na ghafla akapoteza uwezo wake wa kuona.

" Siwezi kuelezea zaidi maumivu niliyoyapata baada ya kuchomwa sindano ile na hapo hapo macho yangu hayakuweza kuona tena licha ya kujitaidi sana '

Alisema baada ya kuchomwa sindano hiyo, askari hao walimtaka aondoke na akajitaidi kuwapa taarifa ndugu
zake, ambao walimchukua na kumpeleka Muhimbili ambako hata hivyo walishindwa kumsaidia na hata alipopelekwa CCBRT, pia ilishindikana.

Katika hali ya kusikitisha zaidi, ndugu z ake walijaribu kufuatilia suala hilo polisi, lakini walipofika waliambiwa kirahisi kwamba askari wote hao walishafukuzwa kazi.

Alisema juhudi za ndugu zake kuhakikisha haki inatendeka zimegonga mwamba licha ya suala lake kufikishwa kwa taasisi za haki za binadamu, ambako bado linashughulikiwa, ingawa hakuna matumaini ya kupatikana kwa ufumbuzi.

" Maisha yangu yamekuwa magumu sana na sijui hatma ya kesi yangu, nitaendelea kuishi hivi mpaka lini ? kwa vile kwa sasa naomba omba tu " alisema. Alitumia fursa hiyo kumuomba Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuliangalia suala lake kwa undani ili lipatiwe ufumbuzi .

CHANZO : GAZETI LA AMANI,, DESEMBA 12, 2013.

MY TAKE : THE DEVIL SHOULD NOT BE TREATED GENTLY! A MAN WHO SLEEP WITH ANOTHER MAN'S WIFE, IS THE DEVIL AND THEREFORE SHOULD BE TREATED ACCORDINGLY!
ningekua mi ndo mwandishi ningemuuliza kama Bado wanapendana...Shen..zi sana
 
Huyu alijitakia yaaani mwenye mali anakufuata na kukuambia achia mali yangu eti sikuweza kumuacha tulipendana sana. Sasa penda ukiwa kipofu shenzi.
 
Kwa hiyo unalalama kupofuka je angekuacha ufe na ngoma ?ingekuaje hapo maana yule binti hajatulia na wewe ukawa unaendelea kumfanya asitulie
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom