Mke wa ndoa na Housegirl nani mtamu?

Status
Not open for further replies.

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,535
1,650
Kama takwimu nyingi ndani ya familia nyingi mahouse girl wamevunja ndoa nyingi je wanakua watamu kuliko mke au ndo chovyachovya ya baba?
 
Kama takwimu nyingi ndani ya familia nyingi mahouse girl wamevunja ndoa nyingi je wanakua watamu kuliko mke au ndo chovyachovya ya baba?
Takwimu zipi, si uweke tuzione wote, na zilifanyikia wapi?

Suala unalotaka kusema kuhusiana na housegirl kuchukuliwa na baba wenye nyumba ni kwamba lipo!.Hawana utamu wowote wa kumzidi mywife, Ila sababu kuu ni kwamba HAWANA GHARAMA, ndio maana inakuwa rahisi kuwalamba!..
Lakini pia wako available muda wote hata pale mywife anapokuwa labda kasafiri au analea!(nimeamua kuwa mkweli bana...sitauma maneno hapo")
 
Ni mtazamo tu, you don't need to compare, tulia na mkeo. In some cases we don't need to be inquisitive. Sometimes you can venture and never come back!
 
Kama takwimu nyingi ndani ya familia nyingi mahouse girl wamevunja ndoa nyingi je wanakua watamu kuliko mke au ndo chovyachovya ya baba?

Mbona kimya..........jibu haya maswali acha kigugumizi....................................
Takwimu zipi, si uweke tuzione wote, na zilifanyikia wapi?
 
beki tatu ucpime kitu kisude , wife unakuta ameshapigana vita vingi na ana watoto ths y .
 
Kumbe wewe mpwa unafikiri jibu sahihi ni lipi? kwangu mie nadhani itategemea zaidi kiwango chako cha uzinifu tu! kama unaweza tembea na HG wako possibly waweza tembea na changu na wake za watu, not good!!!
 
ndo maana mi nimeamua nitulie tuliii na NYANZALA wangu..mambo ya beki tatu mara midifildi mara winga sio kabisa
 
Wewe hizo takwimu nyingi umezipata wapi? Kama housegirl kavunja ndoa yako basi wewe una matatizo na unafaa kusaidia kisaiklojia na maombezi.
 
Kama takwimu nyingi ndani ya familia nyingi mahouse girl wamevunja ndoa nyingi je wanakua watamu kuliko mke au ndo chovyachovya ya baba?

vya kuiba vitamu hasa kama hukukamatwa! mbaya uibe mara moja halafu ugeuze fani!:A S embarassed:
 
inapofikia mahala unamkompea mkeo na HAUSGELI dah!....

hata chama chetu cha I.S.C hakuruhusu kabisa
 
na huku akina mama tunasema mmmh kumbe ma houseboy ni watamu kuliko mume wa ndoa..............safi hiyo :yield::yield:mambo ya twanga kotekote
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom