Mke wa Nabii Anusurika Kuliwa Uroda

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,339
51,883
MKE WA NABII ANUSURIKA KULIWA URODA

Na, Robert Heriel

Hakuna maumivu kama maumivu ya mapenzi, yanauma, yanachoma, yanazimisha mifupa, mapenzi yanauma jamani, hakuna anayeweza kuvumilia maumivu ya mapenzi. Hata mimi Taikon, licha ya ujasiri wangu, ukulungwa, ushefa na ujemadari lakini siwezi vumilia maumivu ya mapenzi. Najua wengine watanambia kuwa mimi ni kijana mdogo iweje nijue maumivu ya mapenzi ilhali sijawahi kuwa na mke, hahaha! Acheni hizo wakubwa wangu, haya mambo kila mtu anaweza kuyaelezea kwa namna yake.

Hakika watu hawana adabu hata kidogo, dunia haina huruma. Nilichokiona ni zaidi ya tukio la kusikitisha na kudhalilisha mno. Pengine nisingetaka kuwasimulieni lakini ni kwa vile nawapenda, that why nikaona ni-share nanyi stori hii.

Jirani yangu ni Nabii, tena ni rafiki wa Mungu tangu nimfahamu, tangu nilipohamia mtaa huu.

Kuishi na Nabii ni bahati, wengi wenu mnatamani walau mngebahatika kuishi hata na kitukuu cha Nabii lakini nafasi hiyo hamjaipata. Mwenzenu Taikon Nimebahatika, na katika hili namshukuru Mungu kwa kweli.

Kuishi na Nabii yaleta raha sio mzaha, Yachekesha mchana hata usiku tunakesha kama popo kuona miujiza ya kinabii, Hatusubiri Jingobeli sisi twakesha mithili ya walevi wa Kichaga kipindi cha Father Chrismass. Anyway, sitaki mnione mtu wa Blah Blah.

Nabii rafiki wa Mungu
Nabii Mtenda miujiza
Nabii muota ndoto
Nabii mpakwa mafuta
Nabii mifungo saba.
Nabii jirani ya Taikon huyo ndiye aliyeonja joto ya jiwe ya walimwengu.

Nabii mfuga ndefu, huyo mvaa majoho na kanzu, kichwani asisahau kufunga kilemba, tena kiunoni kakaza mshipi. Loooh!

Basi afikapo mtaani nikimuona nilikuwa namuimbia nyimbo.
Nabii apendeza
Nabii ang'ara hooo apendeza
Na kilemba kichwani, heehhhe!
Na mshipi kiunoni, ewa!

Basi alikuwa akicheka, huyo nabii huku akishika kidevu chake kilichokuwa kimejaa ndevu nyingi. Looh!

Mke wa Nabii alikuwa mzuri mfano wake bado, nafikiri atakayemzidi mke wa Nabii kwa uzuri bila shaka ni yule mke wangu mtarajiwa.

Mke wa nabii ni mzuri sana, anamacho mang'avu kama hayala, anamapaja na nyonga nene kama Farasi, anasura nzuri kama paka wa kifaransa, rangi yake ya zabajaradi yavutia sio kifani. Sifa zake hazitoshi kuelezewa na mimi Taikon, ingefaa zielezwe na mtu mkuu mwenye heshima na mamlaka. Uzuri wa mke wa Nabii watisha kama nini walahi!

Hata siku nilipomtamani mke wa Nabii, macho yake yaliniua, yalimaliza shauku yangu. Niliogopa kumtamkia nimevutiwa naye, wengi tuliishia kucheka cheka kila tulipokutana naye.

Lakini wanasema, maji yaendayo kasi ndiyo yaelekeayo kwenye maporomoko. Ndivyo ilivyokuwa kwa Mke wa Nabii.

Siku ilifika, siku ya kilio na maombolezo kwa Nabii Jirani yangu. Nyumba yake ilikumbwa na Njaa, hakuwa na pesa iliyomtosheleza. Njaa kiboko, njaa ni dume la mbegu, njaa ndiyo ilimmaliza huyo Nabii rafiki wa Mungu.

Basi tangu kale nilikuwa namvizia sana huyo Mke wa Nabii, hivyo kila siku sikukosa kuchungulia kwenye dirisha lao la sebuleni ifikapo jioni. Msije kusema Taikon nimejawa na umbeya, hapana siko hivyo, ni mapenzi na mke wa Nabii yalinikolea, sasa niliutafuta utamu kolea kwa udi na uvumba, hata kwa kuchungulia.

Basi siku ile nikiwa dirishani, niliwasikia wakijadili jambo fulani Nabii na mke wake. Sikumbuki ni lini niliwahi kumuona Mke wa Nabii katika uzuri ule, alikuwa kavaa vazi la kuteleza laini lililovuta uzuri wake juu kabisa. Moyo wangu nisingekuwa mtu wa mazoezi basi siku ile ningepoteza maisha, Moyo ulinidunda, jasho lilinitoka, looh!

Nabii akamuambia mke wake, tazama njaa imeingia nyumbani kwetu, nasi tukikaa humu tutakufa, ni afadhali twende kwa Mkuu wa nchi tukaombe chakula huko.

Mke wa Nabii akasema; Mume wangu, wajua mimi siwezi pinga kauli yako, fanya vile uonavyo ni bora.

Basi wakapatana kesho asubuhi wataenda kwa Mkuu wa Nchi huko wakaombe msaada wa chakula kwa maana njaa inataka kuwaua.

Kesho ilipofika, asubuhi na mapema nadhani hata chai hawakuwa wamekunywa, walikuwa na njaa sana, jana yenyewe usiku walilalia maji tuu kama kiliwanzoki.

Waliondoka kwenda kwa Mkuu wa nchi, mimi nikiwa Nyuma nyuma tadhani mkia wao, bila ya wao kujua Taikon nawanyemelea. Tembea yao haikuwa tofauti na watu walipoteza matumaini ya kuishi, waliyumbishwa na upepo, hata yule Nabii watu hawakumtambua. Mimi pekeangu ndiye niliyejua kuwa atembeaye na mkewe, huyo anayepepesuka njia nzima kwa njaa ndiye alikuwa nabii.

Wakalikaribia lango la Mkuu wa nchi, hapo wakasimama, nafikiri nabii alikuwa anataka kusema jambo. Ndiyo kama nilivyofikiria ndivyo ilivyokuwa.

Nabii akamtazama mke wake kwa macho ya udhalili. Akasema; Mke wangu tazama wewe ni mzuri sana, nafsi yangu yaona hofu kwa ajili yako. Naogopa kufa kwa ajili yako. Watu wale watakapokuona watajua wewe ni mke wangu, nao wataniondokea mimi na kuniua, ili wapate kukuchukua wewe. Tafadhali; naomba niishi kwa ajili yako, nawe kwa ajili yangu. Tukifika pale langoni kwa Mkuu wa nchi, wale watu wakikuuliza wewe ni nani kwangu, basi waambie Mimi ni kaka yako, nami nitasema wewe ni dada yangu. Ili wasije wakaniondokea na kuniangamiza"

Maneno hayo niliyasikia masikio yangu kabisa, masikini nilimuonea huruma sana Nabii Jirani yangu, hakupenda aseme yale,lakini kama asingesema uhai wake ungekuwa mashakani.

Basi Mke wa Nabii nikamuona akimkumbatia mumewe, kisha akambusu. Lilikuwa busu la uchungu mno, busu la machozi, busu la mke wa Nabii.

Basi wakafika kwenye lango kuu, kama Nabii alivyosema ndivyo ilivyokuwa, wale watu waliokuwa lango wakamchukua mke wa Nabii, kisha wakampeleka kwa Mkuu wa nchi, wakamwambia Mkuu wa nchi; Tazama hatujaona katika nchi hii mwanamike mzuri kama huyu, wasijue ni mke wa nabii. Tazama amekuja na huyu mwanamume, wasijue ni nabii.

Mkuu wa nchi akafurahi furaha huku akicheka cheko la ngono, mwili wake ukiwaka tamaa. Mkuu wa nchi akaagiza watu wake wamchukue nabii wampeleke sehemu nzuri wakamhudumie kwa chochote atakachokihitaji,. Kisha akamchukua mke wa nabii wakaelekea chumbani.

Hapo nikamuona Nabii akimtazama mke wake, alijua siku ile ndio anaendwa kugawa uroda, looh! Machozi yalimtoka pasipo yeye kujua, pengine alijuta uamuzi wake, lakini hayo ni mawazo yangu tuu.

Walipofika chumbani. mkuu wa nchi kwa haraka ya paka aliyemuona panya, alimsaura nguo zote Mke wa Nabii. Mamaaa! Mwili wa mke wa nabii sasa ulikuwa uchi mbele ya mkuu wa nchi. Hayo yote niliyashuhudia nikiwa nimejibanza kwenye dirisha, zilikuwa ni nyakati za usiku.

Mwili wa Mke wa nabii ni kama sumaku, uzuri wake unavutia na kuzungusha hisia na akili ya mwanaume. Mkuu wa nchi akalewa, akamkumbatia, hapo akahisi joto la mke wa nabii.

Kwa upande wa Nabii huku yeye alikuwa kitandani pekeake akiwa anahangaika, masikini Nabii wa watu, alikuwa hoi kwa huzuni iliyokuu, mke wake ameenda kumegwa na Mkuu wa nchi, usiku ule ulikuwa mchungu kuliko usiku wa roho kutoka, alitamani kifo kuliko maumivu yale ya mapenzi. Yeye ni nabii huona visivyoonwa, hivyo licha ya kuwa chumba chake lakini alikuwa akiona yaliyokuwa yanatokea kwa chumba cha mke wake. Alimuona Mkuu wa nchi akimkumbatia, mke wake, akambusu, kisha akamrusha kitandani. Hapo Nabii akapiga kelele za kinabii, nafikiri ziliashiria kukataa tukio lile lakini hazikuzuia kazi kuendelea.

Upande wa Pili, huku alipomkuu wa nchi na Mke wa nabii.
Tayari Mkuu wa nchi naye alikuwa yupo uchi wa mnyama, wote wakiviringana katika kitanda cha kifalme.

Punde si punde Mkuu wa nchi alinyanyuka, hapo nami nikavuta umakini. Hee! Nini ile, nini kimetokea! Nilishangaa. Aibu! Aibu! Aibu jamani. Ati Jogoo wa Mkuu wa nchi amegoma kusimama. Hiyo haikunishangaza mimi pekeangu bali wa kwanza kushangazwa alikuwa Mkuu wa Nchi mwenyewe, wapili ni Mke wa Nabii na watatu alikuwa ni Mimi. Haaa!

Mkuu wa nchi alijitahidi wapi, jogoo wake aligoma kuwika licha ya mke wa nabii kushika kilemba cha jogoo wake..

Mkuu wa nchi ikabidi amuulize mke wa Nabii kuhusu jambo lile, kwani hiyo haikuwa kawaida yake.

Basi Mke wa nabii akasema; Mimi na yule mwanaume ni Mke na Mume. Yule Mwanaume ni Nabii na mimi ni mke wa nabii, hivyo mimi ni mama Nabii. Yule Nabii ni rafiki wa Mungu, nadhani Mungu wake hajapenda, na amekuadhibu kwa kulala na mke wa Nabii.

Mkuu wa nchi kusikia hivyo aliogopa, akamuita usiku ule ule Nabii ambaye muda huo alikuwa bado hajalala, kwani angelalaje ikiwa mkewe yupo machinjioni.

Mkuu wa nchi akampa Nabii mke wake, kisha akawapa mali, chakula, mifugo na fedha na dhahabu. Kisha alafajiri na mapema akawaambia waondoke.

Basi wakarudi nyumbani, wakiwa na chakula tele.

Basi Taikon nikasema haya nilipoyaona mambo haya kwa Jirani yangu aliye Nabii.

Ama kweli Mke wa Mtumishi wa Mungu huwezi kulala naye, kamwe huwezi kulala na mke wa mtumishi wa Mungu, na hapa nazungumzia mtumishi haswa wa MUNGU na wala sio hawa wanaobahatisha.

Pia nikajifunza kuwa njaa ni moja ya mambo yanayoweza kumfanya mwanaume akubali yaishe, mke alalwe maisha yaendelee.

Pia Mwanamke anayemcha Mungu huisaliti ndoa yake kwa ruhusa ya Mume wake, ambapo kiuhalisia huko sio kusaliti kwani amepewa ruhusa. Halikadhalika na Mwanaume mchamungu huisaliti ndoa yake kwa ruhusa ya mke wake na huo sio usaliti kwani amepewa ruhusa na Mke wake.

Simulizi hii nimeisimulia kwa namna nyingine lakini original yake ni simulizi ya Nabii Ibrahimu na Sarah.

Lengo la kusimulia simulizi hii katika mtindo huu, ni kuifanya iendane na muktadha wa zama hizi.

Nabii anaweza kuwa mwanaume yeyote, mimi au wewe.
Mke wa Nabii, anaweza kuwa wewe mke wa mtu, mke wako, au mke wangu.
Mkuu wa nchi anaweza kuwa mtu yeyote mwenye uwezo mkubwa kuliko wewe na mkeo, wanaitwa masponsor
Msimuliaji anaweza kuwa mtu yeyote ambaye ni jirani yenu atakayeshuhudia mambo ya familia yako.

Jambo moja la kuzingatia ni kuwa, Huwezi kulala na mke wa nabii hata siku moja, huwezi kulala na mume wa mke wa nabii hata siku moja. Mke anayemtii Mungu kamwe huwezi ukalala na mume wake.

Mungu atamtetea kwa vile anamcha yeye.

Ukiona Mkeo au mumeo anakusaliti ujue nawe unachangia kumfanya asaliti. Kumsaliti Mungu husababisha mtifuatano ndani ya ndoa.

Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa habari za mke wa Nabii kunusurika kuliwa Uroda.

Ulikuwa nami:

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
 
Utasoma mwenyewe. Yaani hii inahitaji mtu uchukuwe likizo ndio umalize kulisoma!Fanya muhtari kama unataka post yako isomwe na watu wengi.
 
Haya madudu gani aiseee?

Duniani kuna vitu vya ajabu sana,na huu uandishi of which ni totally stori ya uongo ni mfano!
 
kitendo Cha kimvua nguo zote na kumkumbatia inakuwa tayari ameshamla, rejea mafundisho ya Yesu kuhusu uzinzi.

yote 9,. 10 umeleta fundisho kwa mtindo mzuri Sana nakushukuru.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Asiliwe huo 'Uroda' kwani Yeye hana 'Mbunye' Mkuu? Kipi cha 'Kushangaza' hapa labda? Tena hakuna Mademu wepesi kama Wake za Wachungaji.
 
Uvuvi wa kusoma gazeti nime_jump jump ila nimekuelewa na umewasilisha mujarabu.
 
Mtiririko huu niliuelewa tangu mapema! Asante Sana mkuu! Stay blessed!
 
Back
Top Bottom