Mke ni muhimu kwetu vijana

Voxwiser

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
1,094
1,348
Habari ya kazi ndugu zangu

Kama kicha kinavyoeleza hapo juu,Nimekaa nimetathimini kwa hakika kiasi nikaona mke wa muhimu kwetu vijana.

Jana nmetoka zangu kazini nkaingia kuoga kama kawaida baadae nkaanza kupika zangu mboga...nkapika wey nakuja kumaliza kumbe gesi ilijizima tangu zamani za kare. Mboga yabaridi barafu ikasome...basi nkaila vizuri tu na ni tamu sana ila leo nmeshida t.o.i.l.e.t.

Achana na juzi nimemaliza kuosha dagaa bwana nikadekia yale maji yake, nikalala zangu. Kuja kuamka nakuta neti nyeusiii yoote. Nikasema nini hiki ,ile kuishika nzi zikanambia waaaaoh yaani tabu juu ya tabu

Mengine mengi sisemi ila mke wa MUHIMU
#Noah

Voxser empire
 
Wanaume wa hivi wakikuowa lazima upate tabu mana ajaowa msaidizi bali mpiga deki, mwosha vyombo na mpiga deki
 
Back
Top Bottom