Mbuzimtu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 355
- 178
Wanabodi,
Kuna kila sababu ya sisi wananchi kuangalia ni ni kwa namna gani tunapata viongozi wasiochafua heshima ya taifa letu. Mfano, ni miaka michache imepita tulishuhudia kiongozi mmoja mkuu ndani ya chama cha siasa akifumaniwa na "mywife" wa mtu huko kanda ya kati.
Kwa bahati mbaya sana huyo kiongozi jina limenitoka ila nakumbuka yuko CCM na ni mtu maalufu sana tu tangia apatwe na masahibu hayo. Yeye mwemyewe ule msemo wa Mke wa mtu sumu anaujua maana yake maana yamemtokea.
Sasa lazima watanzania tujiepushe na viongozi kama hawa ambao wakipata madaraka wanahararisha kila kitu kuwa ni chao.
Mke wa mtu sumu!. Muulize mbunge na bwana mkubwa atakusimulia mkasa mzima!