Mke wa mtu sumu. Ananipenda na kusema amenimiss, sijui nifanye nini

Mkuu na ww utaoa watakugongea tu,karma is bitch
Halafu nakulaumu kwa kushindwa kuweka mipaka na usiri mpaka jamaa akagundua,
 
Anyway! Chris achana na mke Wa mtu,!
Ulifanya ujinga sana Wa kufanya Mme wake ajue.
Jilazimishe achana naye utakuja kupakuliwa vibaya sana
 
Ulivyoandika mke wa mtu sumu mi nikadhani umefumaniwa watu wametanua ndogo imekua kubwa sasa kila nikienda sioni kitu. Mi naona jiue tu.
 
Hahaha jeiefu kwa chai za mkono mmoja tu...

Hongera kwa kumiliki simu/kompyuta yenye intaneti, usisahau kulipia tangazo
 
Back
Top Bottom