Mke wa mtu anataka nizae nae

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto
 
bora muachane na wapenzi wenu,muendeleze ufuska wenu vizuri...
kwa nini mnawadhulumu???
:embarrassed:
 
Kuna wimbo mmoja ullimba hivi.

Mke wa mtu ni sumu
usijaribu chombezaaa
yatakuja yakutee usiyoyategemea

Nilivyochek jina lako tu nikatambua kua ww ni shetani la ukweli
Imagine ndio mke wako anachakachuliwa ungejisikiaje ww, ndugu yangu nakushauri achana kabisa na mambo hayo
wewe una mke nawe una ana mume yanini tena hayo jamani.Tuheshimu ndoa zetu jamani
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto

Unatafuta kuuwawa mapema
 
Mwambie huyo maana nilivyosoma tu juu nikaanza imba huo wimbo...mke wa mtu ni sumu. Mke wa mtu ni sumu. Mambo ya mapenzi na wake za watu huyu shetani abaki huko huko kuzimu
 
kwa sasa things ziko very fine na naona kama unajisifu kabisa ila One day u will pay for what your doing...
utalipwa haki yako kabisa
 
ungekuwa unakaa Arusha . ungekuwa tayari kwa mola . huko hawanaga huo ujinga ni risasi zitakutembelea. acha ujinga wewe we unaona ni sifa . subiri maana za mwizi ni arobaini.
 
C bora hata auwawe maana aibu haitamfika mwenye mke akimjeruhi tena kumfanya yy awe mke mdogo...c ndo itakuwa balaa????
 
Mke wa mtu ni sumu, utakuja kukojoa dagaaaa, we chezea tu shilingi kwenye tundu la choo. Utajakatwa mapanga au kupigwa shaba. Acha mchezo huo mchafu!
 
Utakuja juta kijanaaaaaaaaaaa ohooooooooooooooooooo me simoooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kama unaona sifa endelea tu, na siku nenda ukapigie home kwake ila vizia kama jamaa yake yuko town
 
Nawewe shetani huonyeshi ushetani wako!? Piga kitu hapo wewe! Wala usiombe ushauri!
 
Mkeo amekosa nini hadi uchukue wake za watu wewe Shetani? Ndugu yangu Shetani mkubwa, sikiliza, siku ukigundua mkeo nae anatoka nje ya ndoa, utaweza kumgombeza kwa namna yoyote kweli! Au utachukulia poa tu! Tatizo kijana umekurupuka tu kuingia kwenye ndoa kwa kuwa umeona ni utaratibu tu kuoa. Narudia tena. Achana na mchezo huo wa kishetani. Mshauri na kimada wako, aka kitopiki, muache mara moja. Kuna mtu kati yenu atajapelekwa buchani kama nyama ya ng'ombe. Ohooooo!
 
kaa ukujua kama ni muislam basi we huna ndoa tena wal huyo mwanmke hana ndoa tena kwa ajili kila mmoja wenu keshazini,,,ya allah !!!!! Nainachomba mimi ni mungu akuongoze tuu,,,akuonyeshe noor ya rab akufumbue macho ulozibwa na iblisi na shetani,,,ishallah kheri na jina lako badili usiitwe shetani ndio mana yakukuta yote hayoo,,,,
 
Mke wa mtu ni sumu, utakuja kukojoa dagaaaa, we chezea tu shilingi kwenye tundu la choo. Utajakatwa mapanga au kupigwa shaba. Acha mchezo huo mchafu!

sio kukojoa dagaa tu, anaweza akakojolewa yeye na wanaume wenzake!
 
Unauliza kwa sababu unataka kuhalalisha tu wakati dhamira kidogo iliyobaki inakuambia kuwa ni kosa na unachokifanya pia ni kosa kubwa. usipotubu na huyo mke wa mtu asipotubu na kuacha basi moto unawasubiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom