Mke wa mtu anaenda kuliwa huku naona dah naghairi kuoa

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,652
8,539
nina kaka yangu kaja juzi tu kunitembelea hapa ninapokaa kumbe kuna mke wa mtu alikuwa anammezea mie nilikuwa sijui sasa leo ndo ananiambia mtoto kakubari ndo anaenda kumla usiku huu,mme wake kazi zake za shifti sasa leo brother anaenda kumsaidia majukumu mwanaume mwenzie daah yaaani hapa nimepigwa nabutwaa huenda namie nikioa ntamegewa kama ndo hivi
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom