Mke wa Mfalme Mswati afumwa akila tunda na mume wa mtu ambaye ni rafiki wa Mswati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa Mfalme Mswati afumwa akila tunda na mume wa mtu ambaye ni rafiki wa Mswati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mfianchi, Aug 5, 2010.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Jamani mke wa 12 wa mfalme Mswati ana miaka 22 amekutwa mikononi mwa mwanaume ambaye ni Waziri wa Sheria na rafiki wa mfalme Mswati wakila tunda haramu,habari zinasema mfalme yuko safarini Taiwan, na njemba imewekwa ndani,huenda akahukumiwa kifo kwa kupita katika sehemu isiyoruhusiwa, mke wa Mswati aliyefumwa kapelekwa ukweni ,akisubiri hatima.
  loh kijana kashindwa kuvumilia ati ana miaka 22 damu mbichi sasa mpaka asubiri foleni ni lini,hayo yanyomkuta Mswati ndio yaliyomkuta rafiki yake comrade Zuma
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ....hata mimi akinipa Nala. whaaaayeeee
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  halafu wake wa mswati warembo
   
 4. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jamaa atakua kafaidi ile mbaya...koz wake wa Mswati wote Kifuani kama Miba...............
   
 5. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
   
 6. R

  Renegade JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  VIRGINS PARADE.
   
 7. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hukumu ya kifo....bora awe amkula kabisa ili atumikie adhabu kwa roho nyeupeeeee!!!
   
 8. K

  Kinombo JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2010
  Joined: Feb 24, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waswazi ni poa tu kumsaidia mtu kama hayupo, sasa mswati vipi roho juu
   
Loading...