Mke wa Mbunge Wa Arusha anapewa jina bila kupenda

Ngurubhe

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,840
1,047
0cc67c176eb362e643036f28b6895209.jpg

Huyu mama watu wengi tulikuwa Hatumjui,japo tulijua kama Lema anamke..ila tulikuwa hatujui anaitwa nani haswa na pengine yukoje hasa watu ambao tuko nje ya Arusha.

Kupitia hili sakata la kumpleka mahakani na vibwanga vyake vimesababisha ujulikane hata kama yeye hataki kujlikana,maana naskia ni mama mmoja asiependa makuu.

Hata hivyo Serkali inaweza kujua inakukomesha kumbe inamtambulisha kwa watu na hata ajikute anaanza hata kuwaza kugombea au kuingia kwenye siasa japo awali anakuwa hakuwahi kufkiria.

Eti muda mwingine mtu akikufanyia baadhi ya vitu kaa kimya,kundelea kukionglea ndio kama unakuwa unajitukana mwenyewe.

Kwa mfano mim nipigwe kidole na mtu mataani kama mwanaume simwambiia yeyote na kaa zangu kimya pengine ntapambana na mlengwa nimavyojua mim.

Mkuu wa mkoa kuendlea kupambana na Familia ya Mbunge wa Arusha na kosa lenyewe kuwa ati alitukunwa kuwa yeye ni shoga anazdi kjjitukanisha yeye angekaa kimyaa amuite huyo Lema amkanye sasa badala yake .anaendlea kujitukanisha maana kila mtu anataka kujua sabab za Mke huyu wa mbunge kuplekwa mahakani then sabab inakuwa ati alimtukana mkuu wa mkoa kuwa ni shoga;mim hata siiependi kesi kwa mtu mkbwa kama mkuu wa mkoa.

Lakini ukiacha yeye kuendelea kuchafuka ,mda huohuo mke wa mbunge anazdi kupata umaarufu wa bure...

Nashauri vikesi vingine vinavyowapa umaarufu watu ambao hata waliokuwa hawajulikani muwe mnachana navyo..
 
Khe..! Hivi hakuna mfano mwingine mpaka ujitolee huo wa kupigwa dole??

Nna mashaka na mtoa mada!
Basi kwa mfano wewe umepigwe upigwe kidole.

Kwani kuitwa shoga na kupigwa kidole havilandani,issue ni kuwa kuna mambo sio ya kusema hadhar hata kam ni kweli..

Mwanaume kuna mambo pamabana nayo mwenyewe kuyatangaza ni kujidharirisha
 
Ila Gambo naye kazidi siasa had kwa mke wa Lema ajichunguze ka ni mwanaume kamili, sijawahi ona mkuu wa mkoa mwenye mambo ya ajabu mwanaume mzima hovyo. Hadi kuitana shoga hkukuanza tu from nowhere lazima kuna kitu nyuma.
 
....kwa mamlaka,madaraka na influence ya mkuu wa mkoa angeweza kabisa 'kupambana' nae kimya kimya ka kumnyatia kiziwi hata mimi na wewe tusingejua;ila njia alotumia ndio sahihi zaidi kwa mwenye akili ajifunze na iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama huyo mwanamke!
...hizo mboyoyo nyingine ni mtazamo wako na mfano uliojitolea unatia ukakasi uanaume wako!
 
Ukiona umetupa jiwe gizan ukaskia maweee ujue kimemkuta mtu huko.....

Kwani Kama mke wa huyu jamaa aliita shoda sjui shoda na ww sio shoda eti si unakaa kimyaaaaa yaanasahaulika..lkn sasa hadu mwanangu anajua km jamaa eti shoda
 
....kwa mamlaka,madaraka na influence ya mkuu wa mkoa angeweza kabisa 'kupambana' nae kimya kimya ka kumnyatia kiziwi hata mimi na wewe tusingejua;ila njia alotumia ndio sahihi zaidi kwa mwenye akili ajifunze na iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama huyo mwanamke!
...hizo mboyoyo nyingine ni mtazamo wako na mfano uliojitolea unatia ukakasi uanaume wako!
Mfano hauna ukakasi ww,kwani nikisema kwa mfano nikifa nakuwa nimekufa? Mbona unakuwa muoga ww mfano utabak kuwa mfano tu na ujumbe unatakiwa uende kma ulivyo
 
Mbona kamdada usijekuta kameshanogewa na maisha ya uheshimiwa kameshanza kujitongozesha kwa wakubwa
 
Mfano hauna ukakasi ww,kwani nikisema kwa mfano nikifa nakuwa nimekufa? Mbona unakuwa muoga ww mfano utabak kuwa mfano tu na ujumbe unatakiwa uende kma ulivyo
....lahaula!..basi sawa;
..labda ndo 'majaaliwa' yako!
 
Back
Top Bottom