YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Kuna maswali yaliulizwa humu kuhusu mume wa makamu wa raisi ni nani yakajibiwa vizuri na uzi watu waliujadili hadi basi picha zikaonyweshwa za mumewe vizuri na majibu murua yakatolewa.
Na mimi naomba kuuliza mke wa Mbatia mwenyekiti wa NCCR na mbunge wa Vunjo anaitwa nani tuwekewe na kapicha.
Na mimi naomba kuuliza mke wa Mbatia mwenyekiti wa NCCR na mbunge wa Vunjo anaitwa nani tuwekewe na kapicha.