Mke wa Lowassa v/s Mke wa Magufuli

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
650
534
Iv mke wa magufur yupo wap?, mbona kwenye kampen za ccm haonekan? Hapa ni Regina mke wa Lowassa akiongea na wakina mama wa chadema..
 

Attachments

  • 1441525009393.jpg
    1441525009393.jpg
    8.5 KB · Views: 4,876
Huyu regina lowassa nae ana kiu ya ufirst lady kama ambavyo mme wake ameupania uraisi japo afya yake hairuhusu,,,na hiyo ni kwa sababu ameshaonjeshwa hela za siasa za kupiga bila kutoka jasho,,,she jus want some more,,,
kumbuka kuwa regina huwa anahusika pia kwenye deals za lowass chafu na safi na pia ni stakeholder mkubwa kwenye zile kampuni zaidi ya 3 ambazo lowassa alianzisha akiwa waziri (alphatel,barare na nyinginezo),rejea ile habari ya fred lowassa kufuatiliwa na kuchunguzwa na SFO ya uingereza baada ya kununua nyumba kihuni london miaka michache iliyopita,,regina lowassa ana own 500 shares kwenye izo kampuni,,idadi sawa na zile za lowassa
On the contrary mama magufuli yupo osterbay primary school anaendelea na majukumu yake ya kujenga nchi kadiri Mungu alivyomjaalia,ukizingatia shule hazijafungwa hivyo anaendelea kufundisha watoto wetu kwa ajili ya kizazi bora cha kesho
 
Mke wa Magufuri anajua wazi kuwa CCM itamfia Magufuri mwaka huu..
"CCM tulikupenda enzi ya Nyerere lakini siku hizi mafisadi wamekupenda zaidi…."!!!
 
Sasa mke wa watu kutomuona nayo imekua mada ya kuweka jukwaani? Na wewe mke wako yuko wapi mbona hata JF hatumuoni?
 
Sasa mke wa watu kutomuona nayo imekua mada ya kuweka jukwaani? Na wewe mke wako yuko wapi mbona hata JF hatumuoni?

Wewe acha kabisa kuitaja JF! Humu kuna vituko vya kufa mtu, watu wanajimwaga mwaga sio mchezo! Huwezi jua mume nani mke nani humu. Kwa mfano, ( nasisitiza ni mfano) hivi nani anaweza kujua kati ya Lizaboni na Simiyu Yetu nani ni mke nani ni mume? Maisha yanasonga tuu.
 
Last edited by a moderator:
magufuri kawagomea familiar take madaraka ya kurithishana karma kikwete name ridh lowasa na Fred ccm mpya imezaliwa
 
Back
Top Bottom