Mke wa kuolewa anahitajika kwa wanaoishi dar tu

mannu

Member
Jun 6, 2013
36
5
Mm ni mwajiriwa nahitaji mke wa kuoa kwa wanaoishi Dar tu umri wangu ni miaka 38 .Awe mkristo, rangi yeyote awe mrefu mwenye umbo zuri ,umri miaka 20-32,mwajiriwa au mfanyabiashara naomba ni PM haraka
 
ww acha kabisa sumbawanga tena mpaka aje anione leo barabara ziko vizuri?
 
Hahaha. Yaani wewe ni bahili na mke ndo maana haujapata! Ungesema unataka na wa dar sehemj gani usije ukawa unaishi mbagala na kulazimika kuchoma wese hadi tegeta!
 
kuwa wazi swala hapo sio mbagala sema unadharau na watu wanaokaa huko usijikweze atakayenipenda tutaishi naye popote kwani hiyo itakuwa mipango yetu acha dharau hujafa hujaumbika ubarikiwe lakini maana hayo ni mawazo yk uko huru, big up!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom