Mke wa Kirk Douglas, Anne Douglas amefariki dunia; huyu ni mama wa kambo wa Michael Douglas.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,182
1619879062245.png

Michael Douglas kwa uchungu amesema isingekua Anne Kirk asingepata mafanikio aliyoyapata maishani mwake.
 
Kama Watanzania tunashukuru sana kwa hii taarifa, rambirambi anapokea nani?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom