Mke wa Chenge ahojiwa na TAKUKURU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa Chenge ahojiwa na TAKUKURU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TATOO, Sep 23, 2012.

 1. T

  TATOO Senior Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MKE wa Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM), amehojiwa na Taasisi ya Kupambana na Kudhibiti Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za ufisadi.

  Wakati mama huyo, Tina Chenge, akinaswa na kuhojiwa na TAKUKURU kwa rushwa, Chenge mwenyewe ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitajwa ndani na nje ya chama chake kuhusika na kashfa ya ununuzi wa rada kutoka Kampuni ya BAE-System, alisafishwa na Rais Jakaya Kikwete kwamba hakuna rushwa katika ununuzi wa kifaa hicho.

  Habari ambazo Tanzania Daima Jumapili imezipata, zilisema kuwa Tina alihojiwa juzi na TAKUKURU na kisha kuachiwa huru wakati uchunguzi dhidi yake ukiendelea.

  Haikuweza kujulikana mara moja endapo amehojiwa kuhusiana na vitendo vya rushwa vinavyoendelea kwenye uchaguzi wa ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), nafasi ambayo Chenge anawania au la.

  Kukamatwa kwa mke wa kigogo huyo na hatimaye kuhojiwa na TAKUKURU, kulithibitishwa jana na Mkurugenzi wa taasisi hiyo nchini, Dk. Edward Hosea.

  SOURCE: Tanzania Daima
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 6,025
  Trophy Points: 280
  Familia ya ajabu sana hii!
   
 3. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,263
  Likes Received: 10,448
  Trophy Points: 280
  magamba haya ndiyo yanayotia doa ccm.
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hawa sasa wamezidi!wameshajisahau !!
   
 5. i

  iseesa JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Je siyo kwamba naye "alihusika" na mauaji ya wale "Madenti" wawili wa KIBAJAJ? Mumewe akaibeba kesi ili "KUPOTEZEA"
   
 6. s

  sanjo JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  PHP:
  mbona familia kama hizi ndani ya CCM ni nyingi sana. Magamba ni kansa ambayo imefikia terminal stage.
   
 7. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Umeona mbali sana ........................... !
   
 8. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Kila siku wanahojiwa tu. Mbona hawahukumiwi na kutupwa gerezani!? Hii nchi ya ajabu sana, waiba kuku na vyupi kwenye Kamba ndio wanaotumikia vifungo huku hawa wahujumu uchumi na wauaji wanapeta ushuani. Muda utafika.
   
 9. K

  Kailanga Senior Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anajiita Mtemi Chenge!
   
 10. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,634
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  SOURCE: Tanzania daima
   
 11. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  mkuu sio hiyo tu familia za wanamagamba wote ni the same conditions, the same characteristics and the same behaviours
   
 12. we gule

  we gule Senior Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi je mtoto wao hajagombea ndani ya UVCChenge?
   
 13. we gule

  we gule Senior Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfupa uliomshinda Fisi Paka atauweza?
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nadhani sis watanzania ndo watu wa ajabu sana
   
 15. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #15
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yatoeni, mnasubiri nini?
   
 16. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Baba na mama wala/watoa rushwa kwa mikono yao wanajenga familia ya rushwa. Si watoto tu hadi wajukuu na vitukuu wanarithishwa rushwa.
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Maigizo yanaendelea, pigeni chini huu upuuzi unaitwa ccm tujue mbivu na mbichi, sasa hivi hamwezi kufanya lolote chama lao litawalinda km kawaida
   
 18. the blower

  the blower Member

  #18
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena mkuu. Yote yanayotokea nchi hii-ubabe, dhuluma, uonevu, unyanyasaji n.k ni kwasababu watanzania tuko kama tulivyo. Wasingefanya ujinga wote huo tungeonekana si watu wa kuchezea
   
 19. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  amehojiwa tu..kawaida..'anaisaidia polisi' si unajua..hana ksi, bongo ukiwa mkuu unahojiwa unaachiwa gazeti linauza basi
   
 20. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  VWamemuhoji ili kama ilivyokuwa kwa "mchawi" chenge iwe na kwa mkewe, asafishwe!!!!!!

  Hansad za bunge zilionyesha akifanya ulozi kwa kumwaga unga unga bungeni, ikatafsiriwa alikuwa anaweka ndumba!!!!!!
   
Loading...