Mke wa bosi, kimada wa bosi(mhasibu), engineer na mimi twagongana kwa mganga!!! Usipime!!!!

labda ukila steers kila siku uko safe lol
boss kuna nywele, kucha, chupi chafu kitambaa cha shahawa, kuchotwa unyayo yote haya yanatumika. istoshe majina yako na hasa na la mama yako pia, chezea watu wewe..................
 
Last edited by a moderator:
Kumbe abunuasi bado anaishi dah...!
Kweli sufuria kubwa likazaa sufuria dogo...!
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
hebu nifafanulie hiyo ya kitambaa cha shahawa
imenigusa lol..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom