Mke wa bosi, kimada wa bosi(mhasibu), engineer na mimi twagongana kwa mganga!!! Usipime!!!!

My dada where did you get this damn experience?
Are you among them?
nyie mnawakosea hawa wanaume iko hivi kuna kitu inaitwa limbwata hii ni nyama ambayo inawekwa kwenye UCHI MWANAMKE KWA SIKU 7. kisha inapikwa kwenye mboga halafu ile nyama mwanaume anaikula walllah huyu hafurukuti miaka nenda rudi wala haiish nguvu.

pia kuna kitu kinaitwa ndelenja ya kuoga na kuchanjwa basi hizi bidada anachanjwa na kuogea na kuzieka kunako basi kila ukiingia unausikia utamu wa kufa mtu na kamwe hutakumbuka uchi wa mwanamke mwingine yyte yule chini ya mbingu zaid yake huyu.

haya kuna kumuinamisha mwanaume- hapa inategemea na aina ya mganga la wengi hupenda kuchukua makombo waliobakiza wanaume wanapokula kisha unachanganya na unyayo wake, kucha na nywele za tupu na kichwania na uzi wa nguo za ndani kisha zinakaangwa jikon zinakuwa jivu zinachanganywa na madawa mengine kama udi na ubani na maji zya zamzam na tarasibu basi mwanamke anazifukia ndani yaani kwa anayeweza anabomoa hata tiles ama anafumua godoro anaweka katikati basi huyu mwanaume yaani hawez kufurukuta miaka nenda rudi kila aendapo lazima akumbuke arudi hapo.

haya nisimalize ulonzi wote hapa mwanaume ili akupende daima lazima aule mwili wako wote na hii atakula nywele za aina zote, kucha zote, maji ya kuchambia matuandu yote na maji ya kuogea. ukiona mwanaume anakuwa zuzu sana ujue wamechukua yule mdudu kiingereza huitwa earth worm wakamchanganya na ndelenja ya kutambaa kisha ikatengenezewa baruti ikalipuliwa wallah huyu mwanaume lazima mke akikohoa tu yuko kukinga makohozi na kamwe dawa hii huwa huwez kuirudisha tena.

pia kabla sijahitimisha kuna dawa inayotengenezwa kwa kutumia kitambaa cha shughuli yaani kile kitambaa mkisha kitumia basi hakifuliwi kinatiwa dawa kisha kinaekwa ndani ya kopo mwanamke anakificha chumban basi mwanaume huyu milele hatakaa asimamishe kwa mwanamke zaid ya huyu na siku kikipotea ndo esting hakuna tena milele

to me this is stupid but ni vyema mjue mnalogwaje na dhamira ni nini sasa hapa kazi kwenu kwa wanaopenda niwaambie aina za haya madawa ani pm ila masharti msigombane na wake wala wapenzi wenu lol.
 
hapana mie sio mmoja wao.
mie ni gwiji la jiji chezeya mie................. nakaa na mashangingi kujua mbinu zao ili sasa niweze kuwapiku manake lazima nijue hata kama napiga goti kusali napiga kuombea nini chenye madhara gani.

huwez kujua nimwombee mwanaume kama hujui uombee sehem gani za mwili wake kukataa nini ndani yake. maombi ya kumuombea mume yako very strategic kwania lazima u hit target vinginevyo utakesha sana.

kujua si ishu ishu ni nafanyia nini haya nilioyajua? yaani iko kama vile timu za mpira huwez kushinda asi kujua mbinu za timu pinzani
 
DAMN!!!!! The process is so GROSS!!!! Mmmmmh! KUZALIWA MWANAUME MATESOOOO! MATESOOOOO! KUHANGAIKA! * 2
Ningekuwa mwanaume namwita PASTER/PRIEST/SHEIKH fasta aje ACHUNGUZE ANGA LA HOME!!! Isijekuwa NIMO CHUPANI BILA KUJIJUA!!!! LOL!
 
HAPANA CHEZEA MUTOTO YA MJINI WEWE!!! Nimekubaliiii!
 
You are a SUPERWOMAN. Kila utakapokuwa, naomba uwafundishe wamama hii kitu. Ni wachache sana wanajua hii fact. Thanks madam, umenipa jioni nzuri sana kwa kweli. Be blessed.

DAMN!!!!! The process is so GROSS!!!! Mmmmmh! KUZALIWA MWANAUME MATESOOOO! MATESOOOOO! KUHANGAIKA! * 2
Ningekuwa mwanaume namwita PASTER/PRIEST/SHEIKH fasta aje ACHUNGUZE ANGA LA HOME!!! Isijekuwa NIMO CHUPANI BILA KUJIJUA!!!! LOL!

it is not ma dia, haya wanayataka wenyewe.............but also mke halali wanatakiwa wawalinde waume zao si kwa mapanga ila kwa sala manake it is written in Jeremiah nimeweka kitu kipya chini ya mbingu ya kwamba kila mwanamke atamlinda mwanaume so mwanamke hutomlinda kwa panga wala rungu wala bastola wala ulonzi bali kwa sala na kufunga.

to me its better kwa mwanamke ukajua mbinu za hao wezi wako kisha ukajua unajipangaje kimaombi. maombi ya kumrudisha mume aliyetekwa kichawi ni magumu sana lara 1 kuliko ya kuomba ulinzi tena kama kuna wanawake wapo humu wangeacha na kuanza kuomba ulinzi juu ya waume zao.
 
Last edited by a moderator:
HAPANA CHEZEA MUTOTO YA MJINI WEWE!!! Nimekubaliiii!
lara 1 ukikaa kusubiri waje wamtoe ndani utamrudisha kwa shida so unamkinga wasimtoe abadan. hapa mjini silaha ni tekniki tu na usikubali wakupiku daima wazunguke kwa mbele stail ya kujificha si unajua. huwa namshangaa aso penda kukaa na mashangingi kujua mbinu zao kibaya usiwe mmoja wao but storishha nao kimtindo halafu wasikusome ukitoka hapo tayari unavaa sura ya kazi ndo maisha ya mjini yalivyo.
 
Last edited by a moderator:
I hope sakapal hawezi kunilisha haya madubwasha aisee..manake kwa mwendo huu huchelewi kuwa carnibalist!
Na isitoshe sijawahi kujenga nyumba ndogo na wala sina mpango...nasikia nawa ni hatari kwa afya yako
Cuz najengaga kubwa tu..au unaonaje pacha??

Worry not my love, am not that kinda of a woman, am who i am. :love:
 
nyie mnawakosea hawa wanaume iko hivi kuna kitu inaitwa limbwata hii ni nyama ambayo inawekwa kwenye UCHI MWANAMKE KWA SIKU 7. kisha inapikwa kwenye mboga halafu ile nyama mwanaume anaikula walllah huyu hafurukuti miaka nenda rudi wala haiish nguvu.

pia kuna kitu kinaitwa ndelenja ya kuoga na kuchanjwa basi hizi bidada anachanjwa na kuogea na kuzieka kunako basi kila ukiingia unausikia utamu wa kufa mtu na kamwe hutakumbuka uchi wa mwanamke mwingine yyte yule chini ya mbingu zaid yake huyu.

haya kuna kumuinamisha mwanaume- hapa inategemea na aina ya mganga la wengi hupenda kuchukua makombo waliobakiza wanaume wanapokula kisha unachanganya na unyayo wake, kucha na nywele za tupu na kichwania na uzi wa nguo za ndani kisha zinakaangwa jikon zinakuwa jivu zinachanganywa na madawa mengine kama udi na ubani na maji zya zamzam na tarasibu basi mwanamke anazifukia ndani yaani kwa anayeweza anabomoa hata tiles ama anafumua godoro anaweka katikati basi huyu mwanaume yaani hawez kufurukuta miaka nenda rudi kila aendapo lazima akumbuke arudi hapo.

haya nisimalize ulonzi wote hapa mwanaume ili akupende daima lazima aule mwili wako wote na hii atakula nywele za aina zote, kucha zote, maji ya kuchambia matuandu yote na maji ya kuogea. ukiona mwanaume anakuwa zuzu sana ujue wamechukua yule mdudu kiingereza huitwa earth worm wakamchanganya na ndelenja ya kutambaa kisha ikatengenezewa baruti ikalipuliwa wallah huyu mwanaume lazima mke akikohoa tu yuko kukinga makohozi na kamwe dawa hii huwa huwez kuirudisha tena.

pia kabla sijahitimisha kuna dawa inayotengenezwa kwa kutumia kitambaa cha shughuli yaani kile kitambaa mkisha kitumia basi hakifuliwi kinatiwa dawa kisha kinaekwa ndani ya kopo mwanamke anakificha chumban basi mwanaume huyu milele hatakaa asimamishe kwa mwanamke zaid ya huyu na siku kikipotea ndo esting hakuna tena milele

to me this is stupid but ni vyema mjue mnalogwaje na dhamira ni nini sasa hapa kazi kwenu kwa wanaopenda niwaambie aina za haya madawa ani pm ila masharti msigombane na wake wala wapenzi wenu lol.

:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
 
hapana mie sio mmoja wao.
mie ni gwiji la jiji chezeya mie................. nakaa na mashangingi kujua mbinu zao ili sasa niweze kuwapiku manake lazima nijue hata kama napiga goti kusali napiga kuombea nini chenye madhara gani.

huwez kujua nimwombee mwanaume kama hujui uombee sehem gani za mwili wake kukataa nini ndani yake. maombi ya kumuombea mume yako very strategic kwania lazima u hit target vinginevyo utakesha sana.

kujua si ishu ishu ni nafanyia nini haya nilioyajua? yaani iko kama vile timu za mpira huwez kushinda asi kujua mbinu za timu pinzani

isije ukawa unaombea mvua kumbe wako kalogezewa jua!mimi salute yu mwalimu!:poa
 
lara 1 ukikaa kusubiri waje wamtoe ndani utamrudisha kwa shida so unamkinga wasimtoe abadan. hapa mjini silaha ni tekniki tu na usikubali wakupiku daima wazunguke kwa mbele stail ya kujificha si unajua. huwa namshangaa aso penda kukaa na mashangingi kujua mbinu zao kibaya usiwe mmoja wao but storishha nao kimtindo halafu wasikusome ukitoka hapo tayari unavaa sura ya kazi ndo maisha ya mjini yalivyo.

hii bonge la teknik!full kukuona mmoja wao,mi nna shost mmoja bibi wa kimanyema ukitukuta mkekani utasema wote wa ujiji!
 
Nilijuaga ni wanaume tu ndiyo huwa tunahaingika kuhakikisha penzi linakaa sawa! KUUUUMBE...!!! Mweeeh..! Nimejifunza kitu, wanaume tunapigana ki-material zaidi, kuhakikisha "vimia-vimiambili" (NGUVU YA PESA) vinapatikana ili tusisaidiwe kutunziwa wake! WENZETU wanapigana vita vya kiroho zaidi, hasa NGUVU ZA GIZA..!
 
Bwana Awe Nanyi Wakuuu! (Wakubwa zangu shikamooni!!!!)

Watu kwa kujifanya mambo ya kiswahili/ kichawi HAMYAPENDI wakati mmevamia thread kwa kasi!!! Kweli padri au mchungaji akikufuma unasoma thread kama hii utasemaje? Hahahaaaaa! Wajifunza ili usifanye? LOL!

Hii inshu ilitokea kitambo kidogo ila ni ndefu sana sasa naifupisha kisela!!!!

Mimi siamini katu katu katika ULOZI isipokuwa wapo watu wanayaabudu, i aint judging anyone!

Kimada wa bosi flani mujini hapa, BIG COMPANY, alinicosult kuwa anataka KUTAKE OVER POSITION YA WIFE WA BOSI, kachoka kuwa kimada, sasa mimi yule dada shosti wangu wa longi, alafu hapendi kuambiwa ukweli, hivo namsapoti tuu, ukizingatia bosi kampa LANDROVER DISCOVERY, na KAMPANGIA KUNDUCHI jumba lina mpaka swimming pool, aaah! mie niseme nini zaidi ya KUJIKOMBARIZE. Mjini Mipango! HAKUNA ALIYE MSAFI!!!!

Akaniomba shosti nisindikize pahala!!!!! Mie nikakubali! (USHOGA KAZIII ACHENI TUUU!) Sasa ameendeshaaa kuingia porini huko, Mi sikustuka nikajua ANAENDA KUNUNUA SHAMBA labda! Heee! Situkapaki kwenye kijumba kina TUNGURI!!! Tena bonge ya FOLENI! Ndo kustuka!

Sasa mi sikujua kama yule shosti BONGE YA DUUU VILEE kama nae anapulizia! Khaaaa! Mi sikujishughulisha ATA TAKE OVER kwa mbinu ipi! Kumbe SCIENCE ZA BABU!!! Tobaaaaa! Kiranga kikanitoka! Si ndo akaanza kunisimulia kuwa BIG BOSS Mambo yao hayaendi, tena kuna kina dalili ATATUPIWA VIRAGO KAMA KOCHA WA YANGA!!! MTUMEEEE! Wakati ilibaki kiduchu BIG BOSS AMUACHE MKEWE!!! Hivo kaja kurenew mambooo!!!!! Ndo nikajua kumbe kumpata pia alipita huku!!!! Nikabaki nimetumbua MIJICHO KAMA NIMEBANWA NA LANGO LA KANISA! (NASISITIZA USHOGA KAZIII!!!!)

Basi tukashuka si tukashuka, kutizama tu kwenye foleni tukamuona ANKO X!!!! Huyu ni engineer pale ofisini kwao, ila ANA KESI YA KUCHAKACHUA MIVUMBAAA YA PROJECT!!! Ndo KAJA KUFUTA KESI NA KUWAPUMBAZA MABOSI hivoooo! Jicho kidogo lidondoke!!! Alafu X ALISHTUKA SANA KUTUONA!!! Ila akazuga huku anagunaguna! Tukaketi kusubiri foleni!

HAMADIIIIIIII! Alietoka kwa mganga si MRS BIG BOSS MWENYE?!!!!!!!! Shosti kidogo AZIMIE!!! Uzuri Mama BIGBOSS hamjui shosti ila shosti anamjua mwenzie!!! Huyo kapita kapanda ndinga kasepa! Shosti ndo KUSHTUKIA KUWA ITAKUWA MRS BIG BOSS KAMZIDI VIPIMO VYA DAWA!!! LOL! Akawa anasonya double doule! Mi nikajua anko X alistuka nini!!!

YALIYOENDELEA NI SIRI YA KAMPUNI!!!

Hoja yangu!!! UKIWA NA FUBA KUBWA NI TABU SANAAAA! MKEO AKULISHE MAJI YA KUTAW*ZIA, NYUMBA NDOGO HIVO HIVO HADI BAR MAID UKICHUKUA LAZIMA AKUKATE KUCHA USIKU!!! HOUSE GIRL NAE HAPO BADO!!!

INAITWA SURVIVOR OF THE FITTEST!!! (THE FIT AND ONLY THE FIT WILL SURVIVE!!!!)

kwa hiyo ni msosi tu sio?
tukila restaurant tofauti?
 
kwa hiyo ni msosi tu sio?
tukila restaurant tofauti?

Hahahaaaaa! Hata mi ndo nilivokuwa nadhani kabla sijamsoma gfsonwin yani kama mtu nilimkataa kila akinipa kitu nile nasitaje isijeuwa mambo ya EARTH WORM!!!!
 
Noma sana, yani mpaka barmeds huwa wanatulia timing watukate kucha
 
Yaani unavosema hivo, UNANIFANYA NIWAZE NAENDAJE TUBU HII ZAMBI YA KUKANYAGA KWA WHITCH Dr. BILA KUTETEA NENO LA BWANA!!!! Naungamaga parokia ya UDSM, yule father White anatakaga FULL STORY!!! Sijui itakuwaje? Mara ya mwisho kidogo anichape makofi kwa kumungunya munguja MIDHAMBI YANGU!!!! Ni NOMAAAA!

Father Mbiku eeh? mkali huyo nakumbukia enzi za mafundisho halafu nilikuwa kwaya ya watoto. Hebu achana na hao waganga,najua ushoga kazi lakini usifanye vitu moyo wako usiopendezwa navyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom