Mke wa bosi, kimada wa bosi(mhasibu), engineer na mimi twagongana kwa mganga!!! Usipime!!!!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Bwana Awe Nanyi Wakuuu! (Wakubwa zangu shikamooni!!!!)

Watu kwa kujifanya mambo ya kiswahili/ kichawi HAMYAPENDI wakati mmevamia thread kwa kasi!!! Kweli padri au mchungaji akikufuma unasoma thread kama hii utasemaje? Hahahaaaaa! Wajifunza ili usifanye? LOL!

Hii inshu ilitokea kitambo kidogo ila ni ndefu sana sasa naifupisha kisela!!!!

Mimi siamini katu katu katika ULOZI isipokuwa wapo watu wanayaabudu, i aint judging anyone!

Kimada wa bosi flani mujini hapa, BIG COMPANY, alinicosult kuwa anataka KUTAKE OVER POSITION YA WIFE WA BOSI, kachoka kuwa kimada, sasa mimi yule dada shosti wangu wa longi, alafu hapendi kuambiwa ukweli, hivo namsapoti tuu, ukizingatia bosi kampa LANDROVER DISCOVERY, na KAMPANGIA KUNDUCHI jumba lina mpaka swimming pool, aaah! mie niseme nini zaidi ya KUJIKOMBARIZE. Mjini Mipango! HAKUNA ALIYE MSAFI!!!!

Akaniomba shosti nisindikize pahala!!!!! Mie nikakubali! (USHOGA KAZIII ACHENI TUUU!) Sasa ameendeshaaa kuingia porini huko, Mi sikustuka nikajua ANAENDA KUNUNUA SHAMBA labda! Heee! Situkapaki kwenye kijumba kina TUNGURI!!! Tena bonge ya FOLENI! Ndo kustuka!

Sasa mi sikujua kama yule shosti BONGE YA DUUU VILEE kama nae anapulizia! Khaaaa! Mi sikujishughulisha ATA TAKE OVER kwa mbinu ipi! Kumbe SCIENCE ZA BABU!!! Tobaaaaa! Kiranga kikanitoka! Si ndo akaanza kunisimulia kuwa BIG BOSS Mambo yao hayaendi, tena kuna kina dalili ATATUPIWA VIRAGO KAMA KOCHA WA YANGA!!! MTUMEEEE! Wakati ilibaki kiduchu BIG BOSS AMUACHE MKEWE!!! Hivo kaja kurenew mambooo!!!!! Ndo nikajua kumbe kumpata pia alipita huku!!!! Nikabaki nimetumbua MIJICHO KAMA NIMEBANWA NA LANGO LA KANISA! (NASISITIZA USHOGA KAZIII!!!!)

Basi tukashuka si tukashuka, kutizama tu kwenye foleni tukamuona ANKO X!!!! Huyu ni engineer pale ofisini kwao, ila ANA KESI YA KUCHAKACHUA MIVUMBAAA YA PROJECT!!! Ndo KAJA KUFUTA KESI NA KUWAPUMBAZA MABOSI hivoooo! Jicho kidogo lidondoke!!! Alafu X ALISHTUKA SANA KUTUONA!!! Ila akazuga huku anagunaguna! Tukaketi kusubiri foleni!

HAMADIIIIIIII! Alietoka kwa mganga si MRS BIG BOSS MWENYE?!!!!!!!! Shosti kidogo AZIMIE!!! Uzuri Mama BIGBOSS hamjui shosti ila shosti anamjua mwenzie!!! Huyo kapita kapanda ndinga kasepa! Shosti ndo KUSHTUKIA KUWA ITAKUWA MRS BIG BOSS KAMZIDI VIPIMO VYA DAWA!!! LOL! Akawa anasonya double doule! Mi nikajua anko X alistuka nini!!!

YALIYOENDELEA NI SIRI YA KAMPUNI!!!

Hoja yangu!!! UKIWA NA FUBA KUBWA NI TABU SANAAAA! MKEO AKULISHE MAJI YA KUTAW*ZIA, NYUMBA NDOGO HIVO HIVO HADI BAR MAID UKICHUKUA LAZIMA AKUKATE KUCHA USIKU!!! HOUSE GIRL NAE HAPO BADO!!!

INAITWA SURVIVOR OF THE FITTEST!!! (THE FIT AND ONLY THE FIT WILL SURVIVE!!!!)
 
Kuna watu watachomwa moto jehanamu
Ila kuna watu watakuwa KUNI wakati wenzao wanachomwa moto jehanamu

Jesus christ
 
duh, ndo malimwengu.
Unaenda kuomba msaada kwa mtu asiye jiweza.
Raha ya maisha ni kuishi na MUNGU, ukiugua usimuache, ukipanda cheo usimtupe, hata ukipigwa ban jf usimsahau.

Hayo matunguli ni kujidanganya na kupoteza muda.
 
Wanaume tushalishwa mambo ya ajabu sana aiseee..lol
Ukute huyo shogaako ni msomi na kipato anacho..shida nini lakini nyie wadada??
Halaf na waganga wasivyojua kukataa pesa unaweza kuta na boss mwenyewe huyo ndiye mganga wake!!
 
lara 1 hakosi story aisee usiniambie ww nae utaenda kwa babu ili huyo bf wako asuchukuliwe

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu watachomwa moto jehanamu
Ila kuna watu watakuwa KUNI wakati wenzao wanachomwa moto jehanamu

Jesus christ

Hahahaaa! Acha woga weweeeee! Uzuri WHAT YOU DONT KNOW DOESNT KILL YOU!!! LOL!!! Wanaume mwajilia tu uchafu!!! SOOOO SAD!!!
 
Bwana Awe Nanyi Wakuuu! (Wakubwa zangu shikamooni!!!!)

Watu kwa kujifanya mambo ya kiswahili/ kichawi HAMYAPENDI wakati mmevamia thread kwa kasi!!! Kweli padri au mchungaji akikufuma unasoma thread kama hii utasemaje? Hahahaaaaa! Wajifunza ili usifanye? LOL!

Hii inshu ilitokea kitambo kidogo ila ni ndefu sana sasa naifupisha kisela!!!!

Mimi siamini katu katu katika ULOZI isipokuwa wapo watu wanayaabudu, i aint judging anyone!

Kimada wa bosi flani mujini hapa, BIG COMPANY, alinicosult kuwa anataka KUTAKE OVER POSITION YA WIFE WA BOSI, kachoka kuwa kimada, sasa mimi yule dada shosti wangu wa longi, alafu hapendi kuambiwa ukweli, hivo namsapoti tuu, ukizingatia bosi kampa LANDROVER DISCOVERY, na KAMPANGIA KUNDUCHI jumba lina mpaka swimming pool, aaah! mie niseme nini zaidi ya KUJIKOMBARIZE. Mjini Mipango! HAKUNA ALIYE MSAFI!!!!

Akaniomba shosti nisindikize pahala!!!!! Mie nikakubali! (USHOGA KAZIII ACHENI TUUU!) Sasa ameendeshaaa kuingia porini huko, Mi sikustuka nikajua ANAENDA KUNUNUA SHAMBA labda! Heee! Situkapaki kwenye kijumba kina TUNGURI!!! Tena bonge ya FOLENI! Ndo kustuka!

Sasa mi sikujua kama yule shosti BONGE YA DUUU VILEE kama nae anapulizia! Khaaaa! Mi sikujishughulisha ATA TAKE OVER kwa mbinu ipi! Kumbe SCIENCE ZA BABU!!! Tobaaaaa! Kiranga kikanitoka! Si ndo akaanza kunisimulia kuwa BIG BOSS Mambo yao hayaendi, tena kuna kina dalili ATATUPIWA VIRAGO KAMA KOCHA WA YANGA!!! MTUMEEEE! Wakati ilibaki kiduchu BIG BOSS AMUACHE MKEWE!!! Hivo kaja kurenew mambooo!!!!! Ndo nikajua kumbe kumpata pia alipita huku!!!! Nikabaki nimetumbua MIJICHO KAMA NIMEBANWA NA LANGO LA KANISA! (NASISITIZA USHOGA KAZIII!!!!)

Basi tukashuka si tukashuka, kutizama tu kwenye foleni tukamuona ANKO X!!!! Huyu ni engineer pale ofisini kwao, ila ANA KESI YA KUCHAKACHUA MIVUMBAAA YA PROJECT!!! Ndo KAJA KUFUTA KESI NA KUWAPUMBAZA MABOSI hivoooo! Jicho kidogo lidondoke!!! Alafu X ALISHTUKA SANA KUTUONA!!! Ila akazuga huku anagunaguna! Tukaketi kusubiri foleni!

HAMADIIIIIIII! Alietoka kwa mganga si MRS BIG BOSS MWENYE?!!!!!!!! Shosti kidogo AZIMIE!!! Uzuri Mama BIGBOSS hamjui shosti ila shosti anamjua mwenzie!!! Huyo kapita kapanda ndinga kasepa! Shosti ndo KUSHTUKIA KUWA ITAKUWA MRS BIG BOSS KAMZIDI VIPIMO VYA DAWA!!! LOL! Akawa anasonya double doule! Mi nikajua anko X alistuka nini!!!

YALIYOENDELEA NI SIRI YA KAMPUNI!!!

Hoja yangu!!! UKIWA NA FUBA KUBWA NI TABU SANAAAA! MKEO AKULISHE MAJI YA KUTAW*ZIA, NYUMBA NDOGO HIVO HIVO HADI BAR MAID UKICHUKUA LAZIMA AKUKATE KUCHA USIKU!!! HOUSE GIRL NAE HAPO BADO!!!

INAITWA SURVIVOR OF THE FITTEST!!! (THE FIT AND ONLY THE FIT WILL SURVIVE!!!!)

Hahahah! You have made my day....... Kazi kweli kweli, sasa jamaa si atakuwa taahira madawa yote hayo!
 
duh, ndo malimwengu.
Unaenda kuomba msaada kwa mtu asiye jiweza.
Raha ya maisha ni kuishi na MUNGU, ukiugua usimuache, ukipanda cheo usimtupe, hata ukipigwa ban jf usimsahau.

Hayo matunguli ni kujidanganya na kupoteza muda.

Yaani unavosema hivo, UNANIFANYA NIWAZE NAENDAJE TUBU HII ZAMBI YA KUKANYAGA KWA WHITCH Dr. BILA KUTETEA NENO LA BWANA!!!! Naungamaga parokia ya UDSM, yule father White anatakaga FULL STORY!!! Sijui itakuwaje? Mara ya mwisho kidogo anichape makofi kwa kumungunya munguja MIDHAMBI YANGU!!!! Ni NOMAAAA!
 
Hakuna watu waongo kama witch doktaz...mara ooh niletee kuku mweusi aliyetoka kuharisha siku mbili kabla khaa! sasa kali ni pale unapopeleka kuku mweupe ambaye ndio kwanza umetoka kumnunua panda la Mchagga, unadhani mganga atamkataa!
 
lara 1 hakosi story aisee usiniambie ww nae utaenda kwa babu ili huyo bf wako asuchukuliwe

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Hahahaaa! Mi siamini hivi vitu bana!!! NINGEKUWA MUENDAJI NINGEKUWA NISHAOLEWA KITAMBO MBONAAA!!!! Tatizo UKIWA NA BWANA MWENYE FUBA HATA USIPOENDA WENZIO WANAKUTUMISHIA MIVITU TU!!! SO SAAAD!!! LABDA UOKOKE!!!!!
 
Hili nalo neno ila kwa ni wazi kuwa nyumba ndogo nyingi zinaishi kwa ndumba na wanaume wengi ni kulishwa uchafu wa kupindukia. Mke hawezi kwenda kwa tunguli kama mume hahamletea madharau. Wake wanawatenda waume kupitia matendo mabaya ya waume but nyumba ndogo zilizokubuhu ni sharti akushikilie na dawa zenyewe ni hatari. Tujipime kabla ya kuamua ku land kwa hao nyumba ndogo.
 
Hahahaaa! Mi siamini hivi vitu bana!!! NINGEKUWA MUENDAJI NINGEKUWA NISHAOLEWA KITAMBO MBONAAA!!!! Tatizo UKIWA NA BWANA MWENYE FUBA HATA USIPOENDA WENZIO WANAKUTUMISHIA MIVITU TU!!! SO SAAAD!!! LABDA UOKOKE!!!!!
Sure watu hupenda kwenda palipofanikiwa yaani binadam hapendi mwenzake afanikiwe akiona mtu yuko na mtu anataka yy ndie awe kwenye ile nafasi akiona anashindwa anaenda kwa babu na kama humuamini Mungu imekula kwako.
"Mtegemee Yesu kwa kila kitu "

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hatari aisee yaani mjini watu ukiwafuatilia unaweza usiamini mambo wanayofanya.
 
mambo haya yanatokea....

Na chanzo ni KIHEREHERE CHA WANAUME......

Mwisho wa siku VIMADA (imagine wako 5) wote wamlishe......
MKE AMLISHE.......
House girl amlishe......
Mhudumu wa ofisi amlishe.....
Bar ya masawe wzmlishe......

Mwisho matumno yanakuwa kama vitufe.... Wataishia kukaukiana.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom