Mke wa Bill Gate alikodi Mpelelezi wa siri kuchunguza mienendo ya mume wake

Niliona interview yake CNN huyo bidada si mzuri kiasi hicho ila ana ngozi nzuri sana na pale Microsoft naye ni kingunge.
Sasa hii talaka ni kuwa tu anataka kukomba pesa kumbe alijua siku nyingi kuwa ndoa ina matatizo.
 
Baada ya mume wake kuwa anatoweka ofisini muda wa kazi, Melinda alitaka kujua huwa ana kwenda wapi. Alikodi Private Investigator. Report ya PI huyo imefahamika kuwa jamaa alikua anakutana na totoz mchana, ndiyo msingi mkubwa wa talaka.

Hii Porches ya rangi ya dhahabu ndiyo aliitumia Mzee Bill kupata quick lunch menus.

Bill Gates disappeared from work in a golden brown Porsche to meet women and has been investigated by a PI appointed by someone in his wife Melinda's circle, Vanity Fair report claims
Hivi pesa huwa inazeesha au jamaa tu sura yake ngumu...?
 
Hata mie ningekuwa billgate na mihela yote hiyo na umri huo, totoz ni lazima niruke nazo tu! Tena kwa sasa naona Bill ndio anafurahia life na totoz kwa uhuru zaidi, hakuna cha wa kumfumania wala kumfuatilia kwa kukodi!
Melinda amepata alichostahili kupata, hizo mali za kugawana siyo ishu sana kwa Billgate ndio maana kiroho safi tu alikubali kutalikiana!
 
She worth 1.something bilions

I think prenup adhered .

Bill got centbilions let him enjoy his life why not!!?
 
Back
Top Bottom