Mke wa balozi mtamu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,670
432366cb905a177f0cd7df208cac9b0f.jpg
kuna kawimbo kakichokozi mno kanaimbwa na wazee fulani hivi kibarazani huku wakinywa bia
Mmoja anaaza....
Matembele.....
Wengine wanaitikia...
Matembele ni matamu kama mke wa jirani...
Halafu wanaendelea kwa kupokezana
Matembele ni matamu kama mke wa mwenye nyumba
....Matembele ni matamu kama mke wa balozi .....!!!
Ni kawimbo kanakoleta burudani lakini ile ni tafsida.... usiniulize zaidi sitakwambia
 
k

Kabishwa... Muka omushaija kiba Kibira kitahwa abaigi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom