Chiya Chibi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 484
- 110
Deleted
Ahh nani anasema mimi ni bakhili kama nini, lakini WIFE wangu anavaa si kawaida, mpaa wanawake wenzake wanaulizana, huyu huwa anafanyia shopping wapi.
Huwezi kunikuta nachezea pesa zangu kwa ujinga, zaidi ya kumpa starehe mke wangu na watoto zangu.
Nyie kalieni tu na ujinga eti wake wa mabakhili hawapendezi :biggrin1:
mi mi ngoja ninyamaze!
Ni kastor karefu
nimekakuta hapa mtaa, nimeshndwa kukaweka jamvin kwa muda huu, lakin Je
ni kweli ama uongo.?! Na vip mume wa bahili?! Au ni kamsemo ka upande
mmoja tu?! Jadili