Mke wa bahili huwa hapendezi

atapendezaje sasa mme anabana mshiko wa mabling bling na pamba nyepesi.... ngoja nimuite Preta atoe ufafanuzi.
 
Last edited by a moderator:
kidum kinanafasi yake na mume pia nanafasi yake kwa hiyo wewe MTAMBUZI unategemea kidum ndo kimpendezeshe mkeo
 
Ahh nani anasema mimi ni bakhili kama nini, lakini WIFE wangu anavaa si kawaida, mpaa wanawake wenzake wanaulizana, huyu huwa anafanyia shopping wapi.

Huwezi kunikuta nachezea pesa zangu kwa ujinga, zaidi ya kumpa starehe mke wangu na watoto zangu.

Nyie kalieni tu na ujinga eti wake wa mabakhili hawapendezi :biggrin1:
 
Nadhani ubahili ni kupenda kupata pesa/mali lakini unachukia,kereka kuzitumia, kama mtu ni namna hii kuna kila dalili yakawa ni kweli hata waifu na watoto hawavai ipasavyo au wakivaa ni mchina bei chee sana.

Wengine wanajichanganya na kumuita BAHILI mtu anayetumia pesa zake kwa uangalifu na kwa umakini nikimaanaisha ni mtu wa mipango na vitu vilivyo nje ya mipango yake haviintateini hata kidogo labda emergencies. kwa hiyo mtu wa namna hii si bahili bali anatumia alichonacho kwa usahihi/uangalifu. (mwenye jina kamili atatusaidia yaani kinyume cha bahili ataitwaje?)

''ni vizuri kutumia tulivyonavyo kwa hekima na busara lakini tusichukie kutumia maana kila atumiaye/atoae kwa moyo na shukrani apanda mbegu, naye atavuna kwa wakati wake''
 
Ahh nani anasema mimi ni bakhili kama nini, lakini WIFE wangu anavaa si kawaida, mpaa wanawake wenzake wanaulizana, huyu huwa anafanyia shopping wapi.

Huwezi kunikuta nachezea pesa zangu kwa ujinga, zaidi ya kumpa starehe mke wangu na watoto zangu.

Nyie kalieni tu na ujinga eti wake wa mabakhili hawapendezi :biggrin1:

fazaa hujui lolote!!!!!!
Mimi ndo nampendezesha mkeo.
 
Ubahili wake hauhusu kama mwanamke ana kazi yake inayomuingizia kipato..kama mwanamke amekaa anasubiri ATM iteme aaaaaaah lazima apauke kama anaogea sabuni ya magadi....
 
wewe kijana wacha zako...wanawake wa siku hizi wanasema haki sawa...vipodozi anunue kwa hela yake ebo!!!! yeye nimpendezeshe alafu serengeti boys waje wamgegede loh!!
 
Apendeze kwenu ili iweje, mnataka nimpendezeshe mke wangu ili mumpate kirahisi kwa kumsifia tu? Aagh wapi,
 
Ni kastor karefu
nimekakuta hapa mtaa, nimeshndwa kukaweka jamvin kwa muda huu, lakin Je
ni kweli ama uongo.?! Na vip mume wa bahili?! Au ni kamsemo ka upande
mmoja tu?! Jadili

Chombo Kibaya wanaume mabahili huwa wanafanya ubahli kwa big house zao ila kwa small house full malipuzi!
 
Bahili?Maana yake nini hili neno?Angalieni sana maneno haya hutumiwa sana nawachochezi tena hasa k'koo,baa nasehemu zinazofanana hizo!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom