Mke wa babu................!!!!!!!!!!

SINGLE RASHID

Member
Nov 8, 2012
71
15
Natumain wote wazima...
jaman ndugu zako naombeni ushauri wa bure hapa mtaani kwetu kuna mwanamke anasumbua sana, huyu mama ni mke wa babu wa mtaani kwetu hapa umri miaka kama 55 hivi.. Ana nyege mbaya kwa vijana bahati mbaya kaniangukia mimi anataka ``MSHEDEDE`` hivi nimpe kitu au................
 
natumain wote wazima...
Jaman ndugu zako naombeni ushauri wa bure hapa mtaani kwetu kuna mwanamke anasumbua sana, huyu mama ni mke wa babu wa mtaani kwetu hapa umri miaka kama 55 hivi.. Ana nyege mbaya kwa vijana bahati mbaya kaniangukia mimi anataka ``mshedede`` hivi nimpe kitu au................

ukimtendea mwenzio ubaya yatakurudia siku moja kabla hujafunga historia yako katika hii sayari dunia. Labda usioe, ukimpa, siku moja hapa hapa duniani na wewe mke wako atafanyiwa hivyo na vijana na mbaya zaidi atakupiga chini baada ya hapo.
 
acheni kutembea na mama zenu ninyi ala!:confused2::confused2:
 
Hiyo ni laana, unajua madhara ya kulala na bibi kama huyo? Madhara ni 1.Mbegu za uzazi lazima zipigwe short na kuungua 2.Ukipona kwenye na 1, ujue ukija kupata mtoto wa kiume akitaka kuoa lazima mkewe amzidi miaka 40, na hilo tendo ukilifanya mdomo wako utakuwa unalendemka na kutoa maji pembeni
 
Natumain wote wazima...
jaman ndugu zako naombeni ushauri wa bure hapa mtaani kwetu kuna mwanamke anasumbua sana, huyu mama ni mke wa babu wa mtaani kwetu hapa umri miaka kama 55 hivi.. Ana nyege mbaya kwa vijana bahati mbaya kaniangukia mimi anataka ``MSHEDEDE`` hivi nimpe kitu au................
kama mshedede hauna longolongo kwenye kusimama, wee mpe tu, mkinasa usinitafute nije kukuvuta
 
Hebu jitazame...huoni kama huyo bibi atakuwa ana umri sawa na mama yako. Usijidhalilishe kisa K,utapata majuto ya maisha!!!
 
Vijana wa siku hizi, unatamani mpaka kikongwe? Utapata nini? Utaweza kukikunja au utamvunja bure? Kinakuvutia nini? Kuna raha gani hapo? Kibibi cha watu, mke wa babu still bado unafikiria kuwa na mahusiano naye ya kingono?! Jamani vijana! Hebu tuwe tunaenda nyumba za ibada yumkini tukaguswa na kubadilika!!! Aaaghhh!!!!
 
mtoto akililia wembe... Na mkubwa je naye anaweza kung'ang'ania kumpa mtoto wembe?
 
Vijana wa siku hizi, unatamani mpaka kikongwe? Utapata nini? Utaweza kukikunja au utamvunja bure? Kinakuvutia nini? Kuna raha gani hapo? Kibibi cha watu, mke wa babu still bado unafikiria kuwa na mahusiano naye ya kingono?! Jamani vijana! Hebu tuwe tunaenda nyumba za ibada yumkini tukaguswa na kubadilika!!! Aaaghhh!!!!
mkuu anajileta yeye mwenyewe tena kwa mambo ya kingono haswa na hivi mashaallah kajaaliwa kijungu ndo kabisaaa akipita hapo ni kujitingisha tuu mpaka kero
 
Mkuu nenda ukapige picha kitu cha bibi utupositie ili tujue tunakokwenda
 
Back
Top Bottom