Mke una ghorofa, Mume ana two bedroom house. Mtaishi wapi?

Sonnet

Senior Member
Oct 22, 2013
170
130
Mtaishi wapi baada ya ndoa na kwanini (Where will you live after marriage and why?)
IMG_20190522_161609_988.JPG
 
Kama ni ndoa ya kiislam hapo nyumba ya mwanaume ndo inahusika.
Ila kwa wakristo wanakua mwili mmoja. Hivyo nyumba yoyote kati ya hizo unaishi bila wasiwasi.

Ndoa sio nyumba. Ndoa ya kweli ipo ndani ya moyo wa mtu
 
Bila shaka nyumba ya mwanaume ndo wataishi. Hata kama ingekua one bedroom house.
 
Ehhhh ehhhh ehhhh hehehehehhehe hatari
Kwa kweli kuhama mjengoni yaweza kuwa mtihani esp km nyumba ndogo haina amenities za nyumba kubwa
 
Kama ni ndoa ya kiislam hapo nyumba ya mwanaume ndo inahusika.
Ila kwa wakristo wanakua mwili mmoja. Hivyo nyumba yoyote kati ya hizo unaishi bila wasiwasi.

Ndoa sio nyumba. Ndoa ya kweli ipo ndani ya moyo wa mtu
Hujielewi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom