Home is a place where love dwells. Mkipendana mnaweza hata mkaishi kwenye gari na mkawa na Furaha na amani kama Robert Kiyosaki
Tunazipangisha zote tunahamia kwenye nyumba ya kupanga huku tukijipanga kuanza ujenzi wa makazi mapya wawili......
Anaye Olewa ndo atahamia kwa mwenzake!. Hakuna maswali mengi hapo.
Popote kambiMtaishi wapi baada ya ndoa na kwanini (Where will you live after marriage and why?)View attachment 1104701
Hujanielewa au? Ambae anaoa ndo mwenye haki ya kufatwa, anae olewa ni sharti afate matakwa ya Muoaji.Acheni chenga jamani angalieni na nyumba zenyewe..
Umejibu kiume mkuu.Anaye Olewa ndo atahamia kwa mwenzake!. Hakuna maswali mengi hapo.
Hujielewi.Kama ni ndoa ya kiislam hapo nyumba ya mwanaume ndo inahusika.
Ila kwa wakristo wanakua mwili mmoja. Hivyo nyumba yoyote kati ya hizo unaishi bila wasiwasi.
Ndoa sio nyumba. Ndoa ya kweli ipo ndani ya moyo wa mtu