Mke una ghorofa, Mume ana two bedroom house. Mtaishi wapi?

Ghorofa na hiyo nyumba ni ghorofa kwa maana hiyo ni kubwa kwa familia ile ndogo mupange.
Hakuna cha dini hapo ni akili tu ni mali
 
Hiyo ghorofa mno, nitamshauri mke ageuze kuwa apartment apangishe, then tutaspend maisha yetu ktk kiota changu kiroho safi kabisa, ya nini kujipa stress.
 
Hujanielewa au? Ambae anaoa ndo mwenye haki ya kufatwa, anae olewa ni sharti afate matakwa ya Muoaji.
Mhhhhh ndo mambo ya kuishi maisha duni
Acheni wenye pesa waendelee kupendwa tu ndg msomaji

Bora mwanaume akuzidi
 
Mhhhhh ndo mambo ya kuishi maisha duni
Acheni wenye pesa waendelee kupendwa tu ndg msomaji

Bora mwanaume akuzidi
Mtu kulala sio kosa, ila umelala wapi na umelala na nani? Ndo kosa linapo anzia, Popote waweza kwenda wakaishi baada ya kujiuliza swali hilo kwanza.
 
kila mutu atakaa kwake alipopazoea so yeyote kati ya hao akishikwa na nyege amfuate mwenzake atombwe au atombe, basi alale huko mpaka asubuhi anywe chai asepe mjengoni kwake,
vile vile kutembea
vile vile watoto wakijisikia wapi pa kwenda kutembea.

vilevile wazazi wakija
vile vile ndugu wa pande zote.nk
 
Mwanaume aliye kamili na anauthamini uanaume wake hawezi ishi kwenye nyumba ya mwanamke.
Kama kakupenda nyumba yake awaachie ndugu zake muendelee kuishi.
Mtakuja kujenga nyingine.
Nyumba zenyewe wanajengewa na wanaume wenzio aafu ujipeleke kuishi!!
 
Back
Top Bottom