Mke uliyenae ungekuwa sasa unamchumbia ungemuoa??

Preta taratibu
Pdidy hakuna kitu kama hicho sijui kuletewa na shangazi sijui mama au nani sijui
TF huna uhakika au nini
Eiyer mhhh sijui
Kwa upande wangu sijaregreat na wala siwezi kujuta hata bnaada ya miaka kumi au ishirini ijayo
Bado ana nafasi na wala siwezi kusema sikustahili kumuoa huyu
Nikiangalia wale niliokuwa nao miaka hiyo naona hakuna ambaye anadeserve nafasi ya kuwa wife kama huyu niliye nae. She is perfect wife to me
 
Preta taratibu
Pdidy hakuna kitu kama hicho sijui kuletewa na shangazi sijui mama au nani sijui
TF huna uhakika au nini
Eiyer mhhh sijui
Kwa upande wangu sijaregreat na wala siwezi kujuta hata bnaada ya miaka kumi au ishirini ijayo
Bado ana nafasi na wala siwezi kusema sikustahili kumuoa huyu
Nikiangalia wale niliokuwa nao miaka hiyo naona hakuna ambaye anadeserve nafasi ya kuwa wife kama huyu niliye nae. She is perfect wife to me
Nimefurahi sana kuona comment hii asubuhi
 
lol,pdiddy unataka wenzio wafichue siri kama wameshaoa afu kwenye pm mambo yaweje? hapa hakuna ushabiki,ungeweka option ya mke/gf aaah,hapo ungeshapata page 10. mtihani mgumu,na ulisha-leak,mgomo ndo unafuata!
 
yaani tofauti na kipindi kile namuoa kulikuwa na washindani wanne,ingetokea kwa sasa hivi asingekuwa na mpinzani,angepita bila kizuizi, after miaka kumi kuwa naye anazidi kuwa mpya kila siku,God bless her! pamoja na mapungufu ya kawaida ya kibinaadam ni yeye pekee ambaye sijawahi kumchoka
 
Ni Mamaa Moria tuu! katu, asilani siwezi fanya uchaguzi mwengine..p'didy sante kwa mada fundishi..'Na WIVU utakuwa juu ya mumewe naye atamtawala'...mw'ke 18-90yrs ndani kabisa (udadisi/wasiwasi/hisia) anafikiria kunyang'anywa (mume),kutendwa,kuachwa nk.(soma Sara vs Hajir)...siku hizi mamaa Moria hasomi magazeti-udaku,kisaa yanamuharibia siku yake..Pdidy kutendwa limekuwa jambo linalopigiwa debe pasina uhalisia wwte (media inayumba na hisia kike!?)..vinginevyo ndoa ni saafi..check wanandoa tz wanavyofurahi/nawiri..na kuiacha media nk..na fitina (zushi!?) za ndoa sasa eti ni mtego/ndoano..mmh!.
 
naona wanaume wamegoma kujibu; wamepata kigugumizi. Mimi mume niliyenaye pamoja na mapungufu ya hapa na pale ambayo nimekuja yagundua baada ya kuishi several years; nikiangalia nyuma na kukagua wale niliokuwa nao kabla ya kuolewa, he is still the choice now and forever. Sijawahi ku regret ile ya bora ningeolewa na fulani. Nope. Wote ambao wangeweza kuwa kwenye nafasi yake maisha yao na wake zao wala hayani impress.

mkuu nakupoa fantastic iddi mubarak na my shemeji ungekuwa unakula ngoooooo ngrrrrrrroooo nakukaribisha pale kwa kakobe kwenye kagorofa cha kilele cha ngroooooooo ngrooooooo wale wanaoliwa usiku tuu
ndio maana anabaki kuitwa "your wife""na wengine w,h,x gfriends""
 
Duh nimecheka sana na hili swali ahahahaaaaa, kwa ukweli kaka zetu wanaogopa kujibu kwa wingi thou tunashukuru kwa waliojibu, but hakuna humu atakaesema asingemuoa ila lazima watakuwa wengi sana tu
 
MKE U
Kati ya mambo muhimu ambayo binadamu yeyote huota siku moja akutane nayo ni siku ya harusi kama kaka Gilbert Mongi na dada Bertha Mlay wakati ya sherehe ya harusi yao Istana jijini Dar es Salaam tarehe 26/07/2008
(Picha kwa hisani ya fomafoma blog)
Kuna mahali wanandoa waliulizwa swali hili:
Je, mke uliyenaye au mume uliyenaye sasa kama ingetokea sasa hivi iwe ni ule wakati unachumbiana naye kuwa mke au mume ungemchagua kuoana naye?

Zaidi ya asilimia 70 walisema wasingekuwa tayari kuoana nao kwani wamegundua kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyenaye sasa na yule alikuwa kabla ya kuoana.

Je, wewe ungeliulizwa swali hili leo ungekuwa na jibu gani?
Ukweli jibu unalo wewe ndani ya moyo wako na ni siri yako.

Ukitaka kujua ndoa yako ina joto kiasi gani unaweza kujibu maswali yafuatayo kwa usahihi na uaminifu kabisa kwa kuchagua jibu sahihi kwako.

1. Tunaweza kumaliza mgogoro au tofauti ya mgongano wa kimawazo chini ya dakika 15.
A. Hata siku moja.
B. Mara chache sana
C. Mara kwa mara
D. Mara zote

2. Huwa tuna tabia ya kumaliza matatizo yetu kabla ya kulala
A. Hata siku moja
B. Mara chache sana
C. Mara kwa mara
D. Mara zote

3. Huwa nawaza kuhusu talaka
A. Hata siku moja
B. Mara chache sana
C. Mara kwa mara
D. Mara zote

4. Namkumbatia na kumpa busu mpenzi wangu kwa mahaba
A. Hata siku moja
B. Mara chache sana
C. Mara kwa mara
D. Mara zote

5. Mapenzi katika ndoa yetu yanaridhisha sana
A. Hata siku moja
B. Mara chache sana
C. Mara kwa mara
D. Mara zote

Hadi hapo naamini umepata picha kamili ya wapi unaelekea na mpenzi wako.

Je, yafuatayo nayo ni wimbo wa kila siku katika ndoa yako?
Kama ni kweli basi unahitaji msaada haraka iwezekanavyo.

Mawasiliano ovyo
Hakuna tendo la ndoa na kama lipo basi ni bora wajibu hakuna ladha halisi
Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
Hakuna mahaba
Hakuna kutiana moyo wala kupeana asante
Migogoro isiyoisha
Kuumizana kihisia
Kukosa uaminifu kati ya mwanandoa
Migogoro ya matumizi ya fedha
Tabia ya kukefyakefya




LIE NAE UNGEKUWA SASA UNACHUMBIA UNGEMWOA??
Nina uhakika wa 100% maandishi haya hayajaandikwa na Pdidy ninaemfahamu mimi hapa JF, i can bet one million dollars.
 
Back
Top Bottom