Mke na Mume, Nani mkosaji?

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Je ni nani mwenye makosa,je ni mume anaetambua kabisa yeye ni mume wa mtu anaekwenda kumtongoza mke wa mtu na kwenda kuvuana nguo au ni mke wa mtu anaetambua yeye ni mke wa mtu aliyelipiwa ng'ombe 20 au pesa taslim sh milioni moja,anakubali kwenda kutoa nguo zake zote mbele ya jamaa mwingine?Yupi ni mjinga hapa??
 
Japokuwa wote wana makosa lakini mke ndiye mwenye makosa zaidi, kwa sababu mwanaume ni kawaida kumtongoza mwanamke bila kujali au kujua yeye ni mke wa mtu, au si mke wa mtu. Lakini kitendo cha mwanamke kukubali kuvua sketi, gauni, suruali na chp yake na kumkaribisha mume wa mtu hapo ni kosa kubwa zaidi,
 
Well said
 
Touché! Mwanamke ndiyo mwenye uamuzi wa mwisho kukubali au kukataa. Kwa hiyo, kama ulivyosema, wote wana makosa lakini mwanamke ana makosa zaidi kwa kukubali.

Hee jamani kwani wakati mwanamke anavua sketi/gauni/chupi huyo mwanaume ndo anachomekea shati?!!!
 
Wote wana makosa.
 
Hee jamani kwani wakati mwanamke anavua sketi/gauni/chupi huyo mwanaume ndo anachomekea shati?!!!

Naye anakuwa anajiandaa kutimiza malengo yake ya kumchapa nao huyo mwanamke mhusika. Kumbuka kuwa sisi wanaume tumeumbwa kutamani kwa kuona hivyo mvuto wa kwanza wa mwanamke kwetu ni wa kingono zaidi then romance inafuatia, ilhali ninyi wenzetu ni kinyume chake.

kwa hiyo swali ni kwa nini mwanamke amruhusu mwanaume mwingine amfanye wakati ana mume nyumbani?

Mwanamke ndiyo mwenye hatia zaidi, naomba kutoa hoja.
 
Touché! Mwanamke ndiyo mwenye uamuzi wa mwisho kukubali au kukataa. Kwa hiyo, kama ulivyosema, wote wana makosa lakini mwanamke ana makosa zaidi kwa kukubali.

na mwanaume hana kosa KWA KWENDA KUMTOKEA MKE WA MTU?
wote wana makosa full stop.
 
Naye anakuwa anajiandaa kutimiza malengo yake ya kumchapa nao huyo mwanamke mhusika. Kumbuka kuwa sisi wanaume tumeumbwa kutamani kwa kuona hivyo mvuto wa kwanza wa mwanamke kwetu ni wa kingono zaidi then romance inafuatia, ilhali ninyi wenzetu ni kinyume chake.

kwa hiyo swali ni kwa nini mwanamke amruhusu mwanaume mwingine amfanye wakati ana mume nyumbani?

Mwanamke ndiyo mwenye hatia zaidi, naomba kutoa hoja.

Wote wanamakosa hakuna cha mwanamke ndo ana makosa zaidi. Nani alisema kuna dhambi kubwa na ndogo? Zote ni dhambi tu
 
na mwanaume hana kosa KWA KWENDA KUMTOKEA MKE WA MTU?
wote wana makosa full stop.

mwanaume atajuaje kama wewe ni mke wa mtu kama hukumwambia?wewe umetongozwa ukajiachia kwa msela, na akakupiga ngozi kumbe mke wa mtu!je, huoni kama hapo mwanamke una makosa.Laiti kama ungemwambia kuwa ni mke wa mtu na bado jamaa akaendelea kukusumbua basi hapo kunakuwa na walakini!!
 
Japokuwa wote wana makosa lakini mke ndiye mwenye makosa zaidi, kwa sababu mwanaume ni kawaida kumtongoza mwanamke bila kujali au kujua yeye ni mke wa mtu, au si mke wa mtu. Lakini kitendo cha mwanamke kukubali kuvua sketi, gauni, suruali na chp yake na kumkaribisha mume wa mtu hapo ni kosa kubwa zaidi,

huu ni upupu unaochangia hapa, hakuna mwenye nafuu hapo usijidanganye!! No justification, basically, wote ni wakosaji sawasawa mbele ya macho ya mungu.
 
Je ni nani mwenye makosa,je ni mume anaetambua kabisa yeye ni mume wa mtu anaekwenda kumtongoza mke wa mtu na kwenda kuvuana nguo au ni mke wa mtu anaetambua yeye ni mke wa mtu aliyelipiwa ng'ombe 20 au pesa taslim sh milioni moja,anakubali kwenda kutoa nguo zake zote mbele ya jamaa mwingine?Yupi ni mjinga hapa??

Wote wana Level sawa ya upofu
 
wote wana makosa, kosa linaanzia pale mwanaume anaanza kumtani mwanamke mwingine wakati una wako ndani

Sheria ya mungu inasema usitamani mwanamke asiekuwa mke wako,
 
mwanaume atajuaje kama wewe ni mke wa mtu kama hukumwambia?wewe umetongozwa ukajiachia kwa msela, na akakupiga ngozi kumbe mke wa mtu!je, huoni kama hapo mwanamke una makosa.Laiti kama ungemwambia kuwa ni mke wa mtu na bado jamaa akaendelea kukusumbua basi hapo kunakuwa na walakini!!
sjakwambia kwamba mwanaume hajjui km una ndoa...ANAJUA KM UMEOLEWA NA UNA NDOA IMARA STLL ANAKUFATA
APO NAPO NI KOSA LA MWANAMKE PK AKE?
NISISCHOKITAKA APA NI WEWE KUSEMA PBM NI YA MWANAMKE
APANA 2ME WOTE WANA MAKOSA TENA MAKUBWA.
 
wote wana makosa, kosa linaanzia pale mwanaume anaanza kumtani mwanamke mwingine wakati una wako ndani

Sheria ya mungu inasema usitamani mwanamke asiekuwa mke wako,

Utajuaje kama mwanaume amekutamani we bidada?
 
Back
Top Bottom