Mke na Mume, Nani mkosaji?

Hakuna mwenye kosa hapo, its a human nature kutaka vitu vya wengine au ambavyo huvimiliki wewe....we cant fight the nature!!!!
 
siwaelewi kama mwanamke ndo alitongoza unaiwekaje
Touché! Mwanamke ndiyo mwenye uamuzi wa mwisho kukubali au kukataa. Kwa hiyo, kama ulivyosema, wote wana makosa lakini mwanamke ana makosa zaidi kwa kukubali.

 
kama mlivo mnataka kuhalalisha upupu wenu kwaheri
Naye anakuwa anajiandaa kutimiza malengo yake ya kumchapa nao huyo mwanamke mhusika. Kumbuka kuwa sisi wanaume tumeumbwa kutamani kwa kuona hivyo mvuto wa kwanza wa mwanamke kwetu ni wa kingono zaidi then romance inafuatia, ilhali ninyi wenzetu ni kinyume chake.

kwa hiyo swali ni kwa nini mwanamke amruhusu mwanaume mwingine amfanye wakati ana mume nyumbani?

Mwanamke ndiyo mwenye hatia zaidi, naomba kutoa hoja.
 
Hapo hamna mjinga ila kuna wazinzi
Je ni nani mwenye makosa,je ni mume anaetambua kabisa yeye ni mume wa mtu anaekwenda kumtongoza mke wa mtu na kwenda kuvuana nguo au ni mke wa mtu anaetambua yeye ni mke wa mtu aliyelipiwa ng'ombe 20 au pesa taslim sh milioni moja,anakubali kwenda kutoa nguo zake zote mbele ya jamaa mwingine?Yupi ni mjinga hapa??
 
Kama mwenzio (Mkeo/Mumeo) anajua kuwa unakwenda kufanya hivyo kabla, basi kutakuwa hakuna kosa maana yeye atabaki tu kuwa na kazi moja ya kuamua kubanana au kukaa pembeni. Lakini kama unafanya hivyo bila mwenzio kujua, hilo ni kosa kubwa sana bila kujali jinsia, wala mwanzilishi, bali umri na nguvu iliyotumika kufanikisha hilo....!
 
Back
Top Bottom