Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

Mwanaume mwenye akili pale ambapo amemkosea mkewe na haswa kwenye suala la usaliti, anapaswa kumkana na kumpotezea mchepuko na kutumia ujuzi, uelewa na ufala wake wote ili kumuweka sawa wife, sio kuwa mbabe tena, ukifumwa au kushtukiwa na kama kweli huwa tunakua wapole kwa wake zetu na kuwatii ili tusiharibu ndoa/familia
 
Dah! Hii ngumu kidogo...

Kwani, hii ndoa ni ya muda gani? Anyway, ni rahisi kuomba msamaha na ni rahisi kuchukua maamuzi magumu kama kuachana na mtu wakati mtu yupo kwenye hasira. Kwenye dunia mengi hutokea ya kumstusha mwanadamu lakini muda hua unasaidia katika kusahau!

Kuna ndoa nyingi mtaani zinasonga kwa sababu wanandoa wana mambo yao pembeni. Wakifika home, mambo shwari. Ndio fomula ambayo inasukuma gurudumu lao.

Ila kwa huyu jamaa, kwa kuwa taa imeangukia kwake (maana hatujui ya mwenzake), basi aombe msamaha lakini pia akiri kosa. Ila mpaka amefikia huko (kuchukua mzigo mwingine), kidogo hii inahitaji itazamwe kiroho zaidi na sio kibinaadam.

Pagumu!
Mwanaume kuomba msamaha ni kosa kubwa sana. Asisubutu kufanya huo ujinga, asikilize wimbo wa Shaggy "It wasn't me" mwanaume halisi hatakisi kuomba samahani hata kama ukutwe juubya kiuno
 
Angeomba talaka endapo moja, angemkuta mshkaji ndio analiwa, hii Haina mjadala maana mnakua wote hamna tofauti, lakini kama kkakuta jamaa anagonga ngozi aagh hio poa sana! Unajua uko kwa kidume!
 
Huyu mwanaume nae, kuuleta mchepuko kwenye matrimonial bed ni kitu kibaya sana. Angekwenda kugegeda huko huko, take away zinaliwa hukohuko nyumbani ukirudi ni kuoga na kulala.

Mnalalamika mikosi inawaandama laana nyingine ni za kujitafutia wenyewe.
Wewe unaufahamu wa family Law?
 
😬😬unatakiwa ukatae mpaka mwisho.?

Yo
(Open up, man) What do you want, man?
(My girl just caught me) You let her catch you?
(I don't know how I let this happen) With who?
(The girl next door, you know) Man
(I don't know what to do) Say it wasn't you
(Alright)


PS:
Picture this, we were both butt-naked Banging on the bathroom floor.
 
Back
Top Bottom