Vipato vijulikane kwa wote ili muweze kufanya maendeleo, hata kama pia hafanyi kazi mkeo mwambie kila kitu
mshahara wa mme ni wa mke pia ila wa mke ni wake mwenyewe hio ni sheria
mshahara wa mme ni wa mke pia ila wa mke ni wake mwenyewe hio ni sheria
bora niambiwe ntakuwa sipress plafoma nyingi ila NIKIFICHWA ahh ntajua zipo tu so ntasend plafoma mpk atajiuliza i nini
bt nkiambiwa/nikiusishwa ntahisi m part of t so ntatunza na statapanya...nikifichwa ntakomoa daily chumzi hakuna ,faigio limeisha,.... chup IMETATUKA..
maisha yanabadilika na binadam wanakua na roho mbaya sana ya kutaka kutawala Mali na umiliki pia huwa nafika mahali naogopa sana mwanamke yaani kumwamin kwenye suala la Mali hivi Kuna umuhimu mke au girlfriend kujua mshahara wako au kipato unachoingiza au miradi unayomiliki? daa huwa naogopa sana navyoona wanawake wanaua waume zao afu wamiliki Mali au mwanaume unahangaika ala izo izo ela mwanamke anaenda mhonga mwanaume mwenzio tena unakuta fala tuu daa....
Tawile mkuu,habari za masiku,wewe ni mume bora baba wajibika sihitaji kujua kupato chako hudumia familia.Katika vitu nilivyo wahi kuambiwa na mzee wang icho kilikua chakwanza kabisa ni mwiko mwanamke kujua michakato yako ya ela kikubwa mtimizie maitaji yake muhim yote then unaweza mfungulia biashara ambae anaimiliki yy mwenyewe si kuajiliwa MARUFUKU!!
Hata kama hazipo wewe unataka tu..Mie nnachotaka pesa tu sitaki kujua unapewa ngapi unafanyia nini nachotaka ziwepo yani nikijitahidi nisizikose
Ndo manakeHata kama hazipo wewe unataka tu..