Je, ni sahihi mpenzi wako kufahamu kipato chako unachokipata?

ahahaha ni kweli mkuu ndo mana hata ile salary slip unakabithiwa mwenyewe, anyway ngoja tuwasubir wachangiaji wengine wana tuone wana mawazo gn
 
ahahaha ni kweli mkuu ndo mana hata ile salary slip unakabithiwa mwenyewe, anyway ngoja tuwasubir wachangiaji wengine wana tuone wana mawazo gn

Kama simu ni kuingiliana privacy basin a mshahara nao ni ku violate confidentiality.
 
wadau, mimi sijaingia kwenye ndoa bado. Hili swali nalielekeza kwa wenye ndoa zaidi ili kupata mwanga kwenye hili, je ni muhimu au haina haja ya mwenzi wako kujua mshahara wako?
<br /> <br / br?br!br!br?kama mwanaume ulivyo wewe ni kichwa cha familia ni lazima ujue unayetaka kumuoa unaoa mshahara au unaoa mke kwa maana kwenye ndoa ni tofauti kabisa
 
mimi sijaingia kwenye ndoa ila mimi nitamkabidhi mshahara wote kabisa lakini anipe matumizi yote bahati mbaya matumizi yangu ni mara 3 ya mshahara wangu
 
Ni muhimu sana kwa ajili ya kujipangia mikakati yenu ya kimaisha, pia kwa wale wasioaminiana kujua matumizi ya mwenzio kunaweza kukufanya umjue ni mtu wa aina gani kwa haraka. Kwa mfano, unaishi na mtu analipwa take home 1,000,000/= then kipato chake hakionekani kabisa na hujui fedha yake anafanyia nini. Kutaka kujua kipato kinakwenda wapi inaweza ikwa ni mwanzo wa kuvumbua maovu yake!!

NB: Mwanamke anaweza kujua kipato cha mumewe but ni kawaida kwa wanaume kutokujua vipato vya wake zao!!!

milioni moja umeona inaweza kuonyesha nn ktk hii hali ya sasa nikikupa wewe utafanyia kitu gan
 
1.kwa mwanmke ni muhimu ujue
2.kwa mwanamume hainahaja ya kujua salary ya wife wako,unaitakia nini??? Ni yake haikuhusu.
 
Naomba busara zenu wanaJF wenzangu. Ati ni haki ya mke kujua kila senti iingiayo mfukoni mwa mume kama kipato?
 
Ayeyeyeeeee...wewe usithubutu kabisa yaani hilo ni kosa zaidi hata ya la jinai sijui niliiteje, yaani wewe kama unataka ugomvi kila siku ndani ya nyumba mueleze tu kila senti unayoipata, kitu cha msingi ni kumpatia mahitaji yake yote muhimu yaliyo ndani ya uwezo wako lakini, hayo mambo ya kujua kipato chako piga pembeni kabisa!!
 
Hii inaapply both sides jamani kwa mke na mume au likua unaongelea mwanamke ambae hafanyi kazi?
Swala la kujulishana ni makubaliano kati yenu kwa kua mmeshakua mwili mmoja na upendo wa dhati upo coni haja yakutokuambiana otherwise hamna uhusiano mzuri kati yenu hapo ni wazi hamwezi ambiana. Binafsi baado sijaona kitu chochote chakuficha kama mpo ndani ya ndoa,kuna leo au kesho huwezi jua ya Mungu. Pengine unastruggle kwa kitu ambacho mwenzi wako anaweka kukusaidia kwa urahis tu ni vizuri wanandoa kuweka mambo yao yote wazi
 
Back
Top Bottom