Mke Mzungu!

You all wrong!....kutwa kukaa na kuwasema wanawake haijalishi ni wa rangi gani....hivi mnadhani hata nyie wanaume hamnuki?....hakuna watu wachafu kama wanaume!...hebu acheni kusema wanawake na kuja na mambo yenu huko awe mchafu sijui haogi ananuka so what?....Hapa watu wanapiga domo weeh na ukute ni wachafu mbaya sana na maji mara moja akigusa paja kesha chojoa maana watu wanaopenda sana kuongea sanaaaa most of the time ni wabovu kabisa.....kama mchafu au ananuka si umfundishe jamani eeh. You need to respect women.....for god sake hujasikia mwanamke akimsema mwanaume hata kama alimfanya matusi vibaya....You all sick kichwani....

Shem kwani wewe ni mzungu....duuu! Nachukia midhungu ina mambo ya ajabu
 
Chekini kitu pointi faivu hiki....cheki kilivyotulia...

tn_23Sep09-4021453393.jpg
 
Shem kwani wewe ni mzungu....duuu! Nachukia midhungu ina mambo ya ajabu

shem mimi siyo mzungu na siyo fan wa wazungu but i respect all colors....i don't judge mtu yeyote yule..you never know waswahili wanasema "kabla hujafa hujaumbika"......
 
You all wrong!....kutwa kukaa na kuwasema wanawake haijalishi ni wa rangi gani....hivi mnadhani hata nyie wanaume hamnuki?....hakuna watu wachafu kama wanaume!...hebu acheni kusema wanawake na kuja na mambo yenu huko awe mchafu sijui haogi ananuka so what?....Hapa watu wanapiga domo weeh na ukute ni wachafu mbaya sana na maji mara moja akigusa paja kesha chojoa maana watu wanaopenda sana kuongea sanaaaa most of the time ni wabovu kabisa.....kama mchafu au ananuka si umfundishe jamani eeh

You need to respect women.....for god sake hujasikia mwanamke akimsema mwanaume hata kama alimfanya matusi vibaya....You all sick kichwani....

Kelly,
Ni mambo ya weeekend tu.
Ila ukija kwenye KUNUKA na UBAYA, mbona nyie wanawake ndiyo mnawapenda wanaume wa namna hii? Unakuta JANAUME baya na lina Unywele hadi kwenye vidole. Hilo harufu ndiyo wacha. Ila kwa sababu lina mwanya wa juu ya meno au lina pesa, basi MNALIPAPATIKIA kama ALMASI.

Hebu muone mtu kama Dr. Remmy. Alikuwa anachukua totoz hadi unashindwa kuamini macho yako. John Mashaka kaliliwa humu ndani hadi unashindwa kuamini. Nyie wanawake bana. Juzi naona kwenye TV mama mmoja aliolewa na yule Mgaidi Carlos na sasa ndiyo anamtetea.......
 
Duh! Ngosha taratibu basi...
 
ok kuhusu kunuka...sijui dhana ya mtu kunuka ila kama ningekuja kukutana na mtu ananuka of course ningejaribu kumkalisha chinina kumpa darasa....maana kuna wengine hawasikii harufu zao wenyewe....na mtu mbaya..mmh kila mtu ana uzuri wake..mfano wa huyo Dr Remmy na mashaka uliowataja kwa wewe unaweza kuwaona ni wabaya lakini kwani mtu unafuata ubaya au uziri au unafuata jinsi mtu anavyo treat wewe kama ana kutreat vizuri,he listen to you na mko compatible why not...kuliko kwenda kwa mtu ambaye anajiona mzuri na yupo very mean...naona wanawake wengi wanatoka na mtu kutokana na personality ila 5% ndiyo hao wapenda bad boys amabo at the end of the day they treat you like shit....
 
My O level Biology cross-breeds they do not breed true......

11-Miss-Nigeria.jpg

Jamani uzuri wote huo? Nikahanagaike na jimama bonge? Kisa karatasi wacha nibaki huku Kyela.

0000040097_20070525132107.jpg
 
Nilipokuwa Mazengo, headmaster wetu Mwalimu Mkoba, alitufundisha kwenye Fizikia kuwa "inabidi uwe na wanawake wawili, mweusi ni wakati wa baridi na mweupe ni wakati wa joto".

Labda dawa ni kuwa na wake wawili. Kumbuka Mwaarabu yuko race ya Weupe.
 
wazungu noma niliisha date mzungu nikaishia kuwa na cheat na keusi kenzangu....kwanza hawaogi loooo kila siku wamechoka!
swadakta shem.....na usisahau suala lile la kujiswafi kule gaza....
 
Nilipokuwa Mazengo, headmaster wetu Mwalimu Mkoba, alitufundisha kwenye Fizikia kuwa "inabidi uwe na wanawake wawili, mweusi ni wakati wa baridi na mweupe ni wakati wa joto".

Labda dawa ni kuwa na wake wawili. Kumbuka Mwaarabu yuko race ya Weupe.

Heee!

Mkuu Sikonge,

Mwakagani mkuu hapo Mazengo? Naona unawakumbuka sana walimu wa Mazengo...juzi ulimwongelea Nyanda... Tulikuwa pamoja 90`s nini?

Ulikuwa Azimio?...Mwongozo...Muungano au lile bweni BAYABAYA na lililo kama meli UJAMAA?
 
tehe ehe ati Julius.....unabadli majinaz ukamate mashori nini?

Hehehehe...ala...mboni nshakamata kaa wawili hivi. Kuna mmoja kanisifia eti nina jina zuri linaloendana na hiyo suti niliyovaa. Tena yupo hapa beneti...unataka kumsalimia?
 
Hehehehe...ala...mboni nshakamata kaa wawili hivi. Kuna mmoja kanisifia eti nina jina zuri linaloendana na hiyo suti niliyovaa. Tena yupo hapa beneti...unataka kumsalimia?
Mzungu?
 
Heee!

Mkuu Sikonge,

Mwakagani mkuu hapo Mazengo? Naona unawakumbuka sana walimu wa Mazengo...juzi ulimwongelea Nyanda... Tulikuwa pamoja 90`s nini?

Ulikuwa Azimio?...Mwongozo...Muungano au lile bweni BAYABAYA na lililo kama meli UJAMAA?

Mkuu Jimmy,
Nilikuwa Mazengo mwaka 1982-1985. Tulipokelewa na headmaster Aseri? na baadaye akaja Mkoba huku headmaster msaidizi akibaki MSASA. Mgogo yule mshenzi sana, alikuwa anapenda kupiga watu hadi akawa anaagiza ndugu zake wamchongee fimbo za kupigia wanafunzi. Hadi leo huwa naiuliza sijui alikuwa anazibebaje kuzileta ofisini kwake. Unakuta anasema " Nyanda Lusambaja, see me in my office after this dismisal". Ki-Dungu chenyewe kilikuwa kinapiga wanafunzi kwa makosa ya kijinga. Atakupiga hadi utakoma ila alikuwa hajiandai kupiga kama Msasa. Ila akikukamata na kosa la kufukuzwa shule, atakuja hapo na kulima Mkwara mzito na kusema alikukamata kwa kosa gani. Atakuambia ni nini kitafuata kwa kosa lako na kukupa heavy warning kuwa "usirudie tena". Hapo unakuta mtu kashachafua chupi tayari na milele harudii. Hata sema jina la mwanafunzi hata kama headmaster yuko pale na anataka kufahamu ni nani huyo.

Kwa bweni nilikuwa nakaa bweni la Mwongozo (bweni karibu na Vyoo). Ukitoka huko wanuka kishenzi na unaanza kujipulizia harufu nzuri kutoka kile kimti nyuma ya bweni upande wa vyumba vya form six.

Ahh, nilipokuwa form one, kulikuwa na MGOGO mwingine mshamba sana akiitwa KABUDI. Nasikia kawa Mhandisi, sijui yuko wapi. Na jamaa zake Barongo, Mabena (sijui ni refa sasa?) na Sandagila........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom